kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Trump ametoa hotuba ya kibaguzi dhidi ya waafrika na Waarabu

    "HOTUBA YA DONALD TRUMP KUHUSU KWA NINI ANAWACHUKIA WAAFRIKA NA WAARABU". Hatulazimiki, hata kwa sekunde moja, kujaribu kuthibitisha kwa mtu yeyote na hasa kwa weusi na Waarabu kwamba sisi ni watu bora zaidi - tumedhihirisha hilo kwa weusi na Waarabu kwa njia 1001. Marekani tunayoijua leo...
  2. JamiiForums Tanzania Acha kuwa na wasiwasi sana kuhusu yaliyotokea nyuma au yanayo kuja mbeleni

    Acha kuwa na wasi wasi sana na mambo yaliyotokea huko nyuma katika maisha yako au ambayo yanayo kuja huko mbeleni Usiyape kipaumbele na vuta pumzi ndefu,ishi wakati uliopo sasa na kuwa mwenye shukrani kwa wakati ulionao na ulipo sasa Mda huu ndio ambao tunao,kwahiyo sahau mambo kama...
  3. JamiiForums Tanzania Maono binafsi kuhusu ukurasa mmoja wa Instagram

    Habarini za jioni ndugu zangu wakubwa na wadogo. Moja kwa Moja niende kwenye lengo la Uzi huu. Nimekuwa nikifuatilia moja ya kurasa ya mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ukurasa huo sitautaja kwa jina ila wenyewe unahusu kupeana ushauri, maono na kwa kiasi kidogo kutafuta mwenza awe...
  4. JamiiForums Tanzania Kaka usichokijua kuhusu mwanamke

    KAKA USICHOKIJUA KUHUSU MWANAMKE Kaka nakuibia siri mwanamke hapendi kutumia mto kuegeesha kichwa chake chunguza uone Mwanamke hupenda kulaza kichwa chake kwenye kifua cha mwanaume wake au alaze kichwa chake kwenye bega au kwenye mkono kwa mwanaume wake hasa anayekupenda Mwanamke hujihisi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Swali kuhusu mahusiano ya kirafiki/kijamaa kazini..

    Habarini, Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo. Nimegundua kuwa watu wanachunga sana wanachoongea kwa bosi na wafanyakazi wenzao, na waki interact na wafanyakazi wenzao...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume nendeni katika Mtandao wa Anti Ezekiel wa Instagram muwasikie Wanawake walivyosema kuhusu Sisi kutokuwa na Pesa

    Wa Kwanza kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Sufuria iliyotoboka. Wa Pili kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Jalala Wa Tatu kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Kinyesi Kibichi Halafu kwa haya Majibu yenu / yao Wanawake ndiyo mnataka tukizikamata na Kuwahongeni...
  7. JamiiForums Tanzania Simu yako inazungumza zaidi kuhusu wewe

    Katika pitia pitia yangu mitandaoni nimekutana na hili jambo ambalo binafsi lili nifanya nicheke usiku huu, nikaona hapana malegend huwa vitu vizur tunapenda kushare na wenzetu. Inasemwa simu yako inaongea vizuri kuhusu wewe, hapa haizungumzwi brand ya simu,au ama iwe ya gharama au laa,hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Maneno ya mchezaji İlkay Gundogan kuhusu kadi nyekundu ya mapema ya mchezaji mwenzake Araujo

    "This is the Champions League. No matter the opponent, it's impossible to come back if one of your players is sent off. We are very disappointed. We felt we had control of the game before the red card," he began. "I prefer to concede the goal or leave the forward with a one-on-one. He played...
  9. JamiiForums Tanzania Responded TANESCO Tabora: Kulikuwa na hitilafu ya transfoma, imetatuliwa, kuhusu Uyui umeme utakatika tena kwa ajili ya matengenezo

    Siku chache baada ya baadhi ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika maandiko ya kulalamikia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutokana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Tabora ikiwemo Kata ya Tura Wilayani Uyui na maeneo mengine ya Manispaa...
  10. JamiiForums Tanzania Fahamu Mambo 10 kuhusu Jenerali Robert Mboma, CDF pekee kutokea Kamandi ya Anga

    Leo nimeona niwaletee machache kuhusu Jenerali Robert Mboma, aliyepata kuwa Mkuu wa Majeshi wa Tanzania miaka ya nyuma huku akiwa na rekodi mbalimbali. Twende kazi… 1. Jenerali Robert Mboma alijiunga na Jeshi la Wananchi na kulitumikia katika nafasi mbalimbali mpaka pale alipostafu mwaka 2001...
  11. JamiiForums Tanzania Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

    Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Maoni na Mpendekezo kuhusu Mfumo wa Tanzania Mining Cadastre Portal

    Utangulizi Ninajisikia huzuni kila wakati ninapofikiria jinsi mabadiliko yanayofanywa katika mfumo, muundo, na ufanyaji kazi wa Tanzania Mining Cadastre Portal yanavyowakilisha changamoto kubwa kwa wachimbaji wadogo. Inasikitisha kuona kwamba mabadiliko haya yanafanyika bila kuwashirikisha...
  13. JamiiForums Tanzania Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika.

    Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika. Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la mwanadamu. Bara hili limekuwa makaazi ya falme nyingi na pia lililopoteza watu wake wengi kupitia biashara ya watumwa. Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la...
  14. S

    JamiiForums Tanzania WanaJF mnasemaje, nikamwambie baba kuhusu "mama" ama nimwache yamkute?

    Iko hivi:- Mimi ni msichana, nimezaliwa peke yangu kwa baba na mama na nina miaka 23. Bahati mbaya mamangu allifariki miaka 4 iliyopita. Kwa muda wote huo babangu anaishi single na muda mwingi yuko peke yake, maana mm bado niko chuo. Miezi 8 iliyopita baba alinitambulisha mwanamke fulani (umri...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira mpya za afya

    Hivi inawezekana mtu ukipangiwa mkoa mwingine tofauti na ulikofanyia oral interview?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira mpya za afya

    HIV inawezekana mtu ukipangiwa mkoa mwingine tofauti na ulikofanyia oral interview?
  17. D

    JamiiForums Tanzania Swali la Mbunge Ruhoro kuhusu malipo ya wastaafu halikujibiwa kwa usahihi

    Katika kikao kinachoendelea bungeni Mbunge Ndaisaba Ruhoro wa Ngara alihoji kuhusu maboresho ya pensheni za wastaafu kutokana na kupanda kwa hali ya msisha. Naibu Waziri Katambi kajibu kwa hoja za actuarial science na eti mapitio ya pensheni hufanyika kila miaka 3. Ukweli ni kwamba ktk kipindi...
  18. JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu ufanisi na uimara wa Nissan X-trail (Hybrid)

    Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
  19. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kozi hizi za Veta

    Naomba ushauri vip kuhusu hizi course veta ipi soko lake liko vizuri 1. Electrical installation 2. Auto Electrical 3. Motor vehicle mechanic
  20. JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

    Ni kweli mtakatifu Ritha wa Kashia anasikiliziwa zaidi na Mungu au ni Placebo(matibabu ya kutuliza akili kwa kuidanganya) iliyozuka ghafla kwa Wakatoliki wengi wa bongo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…