kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka amshukia Wasira: "Kumshauri Rais kuangalia upya kesi ya Lissu, sio kuiamuru Mahakama"

    Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa zamani na mbunge mstaafu, Prof. Anna Tibaijuka, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, akisisitiza kuwa wanaodai Mheshimiwa Rais hawezi kuingilia au kutafuta ufumbuzi wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kwa sababu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nisamehe sana John Pombe Magufuli mwema wa Africa

    Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Sheikh Walid na Al had Mussa warushiana maneno kuhusu kumiliki Bastola

    Akihutubu kwenye msikiti wa Kichangani. Sheikh Walid ameshangaa inakuwaje sheikh anaingia msikitini na Bastola 👇 Hapa Sheikh Walid anashangaa inakuwaje sheikh anakuwa na bodyguard na Bastola. Lakini hapa chini Al Had Mussa akajibu kuwa sheikh kumiliki Bastola ni Sunnah 👇 Kwa maoni yako yupi...
  4. JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Passport

  5. JamiiForums Tanzania Trump anajuta na kulia kuhusu Iran

    Mashambulizi ya Iran yamejeruhi takriban wanajeshi 100 ndani ya wiki mbili - Pentagon Chanzo cha picha,Getty Images Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imesema takriban wanajeshi 100 wa Marekani wamejeruhiwa katika mashambulizi ya Iran ndani ya kipindi cha wiki mbili zilizopita, hali...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Dorothy Gwajima, akulizwa kuhusu ushoga au mashoga ambao wanajitapa anakuwa anakwepa kwepa?

    Nahisi Dkt. Dorothy Gwajima upo hapa JF. Umeweza kuibua na kuzibiti maovu mengi kupitia mitandao ya kijamii na mpaka wengine kuchukuliwa hatua. Ila Dkt. Dorothy Gwajima ili la mashoga limekuwa likilalamikiwa mpaka wengine ni watangazaji, wasanii na n.k ila kiufupi nikiangalia kwa ufupi wote...
  7. JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini kuhusu mgomo wa madaktari mwaka 2012?

    Bila kupoteza muda, nadhani wengi tunakumbuka kuwa mwaka 2012 kulikua na vuta ni kuvute za hapa na pale baina ya Madaktari nchini na Serikali chini ya aliyekuwa Rais wa kipindi hicho Dr. Jakaya Marisho Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (mzee wa “utapigwa tu”), issue ambayo ilipelekea chama...
  8. JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu matibabu ya meno ya utotoni ..!? Ambatana nami uJifunze kitu Leo

    Meno ya utotoni – yana umuhimu mkubwa kuliko unavyofikiri. Wazazi wengi hudhani kuwa meno ya utotoni hayana umuhimu kwa sababu baadaye yatang'oka na kuota meno ya ukubwani. Kutokana na imani hiyo, wengine husubiri meno yakioza kabisa ndipo wampeleke mtoto kwa daktari wa kinywa na meno ili...
  9. JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ampa onyo kali Juma Lokole kuhusu Mume wake

    Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amempa onyo kali Juma Lokole akitaka aache kumzungumzia vibaya baba mtoto wake, Whozu, akidai tabia hiyo imeanza muda mrefu. "Heshima ni kitu cha bure sana kwenye maisha ya kila binadamu. Kuna jambo linanikwaza sana, na nimekuwa nikiliona mara kwa mara kwako Juma...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mufti mkuu wa Tanzania: wito wa uwazi kuhusu sakata la kuondoshwa Sheikh Walid

    KBARUA YA WAZI KWA MUFTI MKUU WA TANZANIA: WITO WA UWAZI KUHUSU SAKATA LA KUONDOSHWA SHEIKH WALID Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Yah: Ombi la kuweka wazi sababu za kuondoshwa Sheikh Walid ili haki na ukweli ujulikane Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Kwa heshima na taadhima...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi Mtoto wa kike ukiulizwa na Mwanaume anaekutaka hili swali "Niambie kuhusu wewe" huwa mnajibu nini?

    Kwangu mimi hili swali huwa linanitatanisha sana. Huwa nashindwa nianzie wapi kujibu hili swali. Kwa sababu inakuwaga kama tuko kwenye Interview ya Kazi. Au huwa wanamaanisha nini? Ni wanataka kujua kuhusu nini? Nashindwa kuelewa.
  12. JamiiForums Tanzania PFP PSYCHOLOGY: Diagnosis ya picha Cha profile Mtandaoni. Unataka kujua PFP yako inasema Nini kuhusu wewe?! Pitia hapa

    Kama Kuna kitu hujawahi kukigundua kwa muda mrefu basi ni hii👉 "Namna picha ya profile yako inavyokuelezea wewe ni mtu wa aina gani ndani na nje ya mitandao ya kijamii." Hata hapa jamiiforums kabla yakusoma hoja ya mtu, kabla hujaangalia mada zake, na hata kabla hujajua yuko upande gani wa...
  13. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI WANGU KUHUSU MCHEZAJI MPYA WA AZAM STANIC HENRI

    1. Kacheza mechi 16 ligi ya betway.akiwa mchezaji wa Stellenbosch ya afrika kusini, ni mzaliwa wa ubelgiji.ana miaka 23 tu. 2. kaanza kikosi cha kwanza mechi 14. 3.kacheza dakika 1230. 4.hajafunga bao Wala kutoa pasi ya bao katika ligi msimu ulioisha. Endelea kuwa NAMI mchambuzi wa maswala...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ubora wa huduma za Voice Calls za Vodacom Tanzania – Tarime

    Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa ya huduma ya kupiga na kupokea simu (voice calls) kwenye mtandao wa Vodacom Tanzania katika eneo la Tarime, Mkoa wa Mara. Kwa muda sasa, wateja wengi wamekuwa wakikumbana na matatizo kama simu kukatika katikati ya mazungumzo, kushindwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Michango ya Chadema: Niwape Data Kamili

    Chadema Tokea waanze kuchangisha ma michango yao asilimia kubwa ya hiyo michango haija timiza lengp. Waje hapa kubisha niwape data kamili
  16. JamiiForums Tanzania Mnatoa milio kuhusu makala za BBC?

    Hiki kikundi cha wahuni kinachojiita Serikali kumetoa tamko kuhusu mfululizo wa makala kupitia kipindi cha AFRICA EYE DOCUMENTARIES,wanalalamika kwamba BBC haizingatii weledi. Ukiangalia na kufuatilia kwa umakini utagundua namna gani sehemu nyeti zinaongozwa na matakataka ambao wanajina maarufu...
  17. JamiiForums Tanzania CCM kuhusu CHADEMA jifunzeni kwa mfano wa Kaini na Habili

    Kwenye Biblia kuna masimulizi ya wana wawili wa Adamu na Hawa, ambao ni Habili na Kaini. Biblia inasimulia kuwa Kaini ambaye alikuwa ni mkubwa alikuwa Mkulima wakati mdogo wake Habili alikuwa ni mfugaji. Inasemwa kuwa Kaini aliona wivu jinsi mdogo wake Habili sadaka zake zilivyokuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kumkosoa IGP kuhusu vikundi vya Mwaipopo wampeleka Polisi mwalimu Laulent Joseph (Mnegro)

    Hii inathibitisha kuwa hii nchi imewashinda hawa walio madarakani. Hivi kweli ingekuwa hao ni wanaojitambulisha kuwa ni waandamanaji, je wasingekamatwa? Huyu anayeitwa IGP nadhani ni bosheni tu. Huenda IGP halisi ni mafwele na wauaji wenzake ndomana wakina Mwaipopo wako na ujasiri wa kuvaa...
  19. JamiiForums Tanzania VETA: Tunawasihi wateja wetu kuwa na uvumilifu na kuzingatia taratibu kuhusu vyeti na leseni za Udereva

    VETA inatunuku vyeti vya udereva kwa mhitimu aliyefaulu mitihani na majaribio yanatotolewa katika ngazi ya chuo. Aidha, mbali na kuwa na cheti cha VETA, mhitimu anapaswa kukidhi tathmini ya umahiri inayoendeshwa na VETA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi (Kitengo cha usalama Barabarani)...
  20. JamiiForums Tanzania Maktaba Yapokea Kalenda Inayoeleza Historia ya Ukombozi wa Afrika Kusini na Kitabu Kuhusu Ubaguzi Katika Elimu

    MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku calendar na kitabu. Ingawa kalenda imekuja katikati ya mwaka lakini haikuwa shida kubwa kwangu kutambua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…