kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maoni ya wananchi kuhusu Chanjo ya Corona

    Kupitia BBC, haya ni maoni ya baadhi ya Watanzania kuhusu chanjo ya Corona iliyozinduliwa jana na Rais Samia. Kwenye video hii, walioipinga [waliokataa kuchanjwa] ni wengi kuliko walioikubali. Watu hawa sijui ndo kama wanaakisi maoni ya Watanzania kwa ujumla; yaani Watanzania wengi kuikataa...
  2. J

    Jamii kuhusu watu wenye changamoto ya ulemavu wa akili

    Ulemavu ni nini!Ni hitilafu ya Kidumu ambayo inaweza kumkuta mtu yoyote yule awe mtu mzima au mtoto kwa nyakati tofauti ambapo inaweza kuwa wakati wa kuzaliwa kabla na baada ya kuzaliwa Walemavu ni kundi ambalo limetengwa sana na kusahaulika katika Jamii zetu ambapo watu wengi sana tumekuwa...
  3. IGP Sirro: Msidanganywe kuhusu chanjo ya Corona

    Kwa kauli hii ya Mkuu wa Jeshi la Polisi maana yake kuna waliodanganya/kupotosha jamii. Tunasubiri hatua zaidi zichukuliwe!
  4. N

    Ukweli kuhusu biashara ya Vanilla

    Wadau Naomba kujua ukweli kuhusu biashara ya Vanilla ambayo inatangazwa sana na jamaa wa Vanilla International wa Vanilla Village wa kule Njombe. Kwa mahesabu ambayo wamenipa naona faida yake ni mamilioni ya shilingi kwa mfanio ukiwekeza 10m faida yake kwa mwaka huo uikshavuna na kuuza...
  5. G

    Tuache upotoshaji kuhusu chanjo ya Corona

    Kuna "misconceptions" nyingi kuhusu chanjo ya Covid19. Baadhi za kitabibu na nyingine za elimu ya tabia. Zile za kitabibu nawaachia madaktari na wataalamu wa afya wazijibie. Mimi najibu hizi ambazo ni Socio-Cultural infuenced. 1. Chanjo ya Corona ni mpango wa wazungu kutuua? JIBU: Wazungu...
  6. Kwanini Balozi za Marekani, Uingereza, EU na Canada hazijatoa tamko lolote kuhusu kukamatwa Mbowe?

    Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli...
  7. Jeshi la Polisi, naomba mtujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe

    Jeshi la Polisi hatimaye limemfikisha Mbowe mahakamani Kisutu "kisirisiri" likimtuhumu kwa Makosa ya jinai ya ugaidi. Naliomba Jeshi hilo litujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe. 1. Ni kwanini wamempeleka mahakamani Kisutu kisirisiri, bila kumuarifu yeye mtuhumiwa, ili aweze kutumia...
  8. Mungu ni mwema sana, sasa tunawafahamu waliokuwa wakimpotosha Hayati Magufuli kuhusu Corona

    Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip). Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima akazoe Dola zao kwenye mabenki watakapogeuka kuwa mazombi kama anavyosema Gwajima kuwa chanjo hizi...
  9. R

    Dr. Hosea, kauli yako ni ipi kuhusu sakata la Mbowe/uvunjifu wa Katiba na sheria?

    Tulionya kuwa huyu hafai kuwa kiongozi wa taasisi kama hiyo lakini bado akina Fatuma , Lisu and wasomi wazuri wengine wakampigia kampeni. Ona sasa hawezi kufungua mdomo kukemea haya yanayoendelea maana naye ni CCM. Lisu umepata la kujifunza angalau kwa hili? Hosea mwoga , mzee, hawezi harakati...
  10. Msaada kuhusu malipo kwa visa card za bank

    Jamani mimi niko na ATM card ya Equity bank, inaonyesha kuwa iko na uwezo wavkufanya malipo kwa VISA . SWALI LANGU KWA WAZOEFU . Naomba kujulishwa usalama wa akaunti yangu baada ya mm kilipia app au manunuzi yoyote kwenye mitandao maana nimeona wakati wa manunuzi kwe site husika nahitajika...
  11. Prof. Lipumba: Rais Samia hawezi kukwepa lawama kuhusu kukamatwa kwa Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe. "Jeshi la Polisi lingeweza kumkamata Freeman Mbowe popote hata alipokuwa msibani, kama kweli kuna tuhuma...
  12. CNN ni sehemu ya CIA: Mtazamo wao kuhusu Serikali yetu ni mtazamo wa Jumuiya ya Kimataifa. Tusiwapuuze!

    Nimejaribu kutafakari uchambuzi wa CNN kuhusu kushikiliwa kwa Freeman Mbowe, kuna kitu wanaongelea sana pale "timing of arrest". Nadhani exposure yao ni kubwa sana kwa siasa za mataifa mbalimbali ikiwemo siasa za bara la Africa. Tunafahamu katika tools za kupatia taarifa kwa mashirika ya...
  13. J

    Spika Ndugai: Asiyetaka tozo ya kizalendo atupe njia mbadala ya kupata fedha

    Spika Ndugai amesema wabunge wameshapitisha tozo ya kizalendo kwenye miamala ya simu na sasa ni sheria hivyo asiyeitaka atupe njia mbadala ya kutufikisha 2025 Roho wa Bwana akamshukia mtumishi wake Jerry Slaa mbunge wa Ukonga naye akajibu; Wabunge tuanze kulipa kodi. Labda kama Spika ana swali...
  14. Mbali na kuikosoa serikali kuhusu Makato; lakini kiukweli Watanzania kwenye kulipa Kodi tuwagumu sana

    Kwema Wakuu! Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo, suala la ulipaji Kodi Kwa sisi Watanzania ni kipengele. Watanzania wengi wetu Kama sio wote hatupendi kulipa Kodi. Hata wanaolipa Kodi ni kutokana na hawana jinsi mazingira yanawabana tu. Ila Kama wangeambiwa kwa hiyari yao nakuhakikishia...
  15. Niccolo Machiavelli na kitabu chake The Prince (Of principality). Kwa kiswahili; kuhusu Uongozi. Tusome na kujadili

    KIONGOZI (nimeonelea ndiyo iwe title) Sasa kitabu hiki kinapatikana ndani ya maktaba app (by pictuss). Inapatikana playstore. Kimeandikwa na: Niccolo Machiaveli, 1513. Kimetafsiriwa na: Pictuss, 2021. Email: Pictuspublishers@gmail.com. ©Pictuss2021 Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu...
  16. Sote tumesikia juu ya sheria ya kivutio - lakini vipi kuhusu sheria ya polarity, sheria ya umoja wa kimungu, au sheria ya mawasiliano? Hiyo ni kweli

    Sote tumesikia juu ya sheria ya kivutio - lakini vipi kuhusu sheria ya polarity, sheria ya umoja wa kimungu, au sheria ya mawasiliano? Hiyo ni kweli. Sheria 12 za ulimwengu zinafikiriwa kuwa sheria za ndani, zisizobadilika za ulimwengu wetu ambazo tamaduni za zamani zimekuwa zikijulikana kila...
  17. Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake, Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa amelala,matukio haya huwa hayaeleweki na saa nyingine huwa kinadharia zaidi mfano kuota unapaa wakati kiualisia...
  18. Vodacom imetutangazia hasara vipi kuhusu faida na fedha za CSR?

    Nimemuona CEO wa Vodacom akijiingiza kwenye Siasa kwa kujidai kuonesha hasara wanayoipata eti watu kuacha kutumia miamala. Sijawahi kumsikia akitutajia faida ipatikanayo na zaidi sijawahi kusikia shule,zahanati ,au kituo cha afya kilichojengwa kwa fedha za Corporate Social Responsibility kutoka...
  19. Utata juu ya Rais Samia kuingilia kati tozo mpya za miamala

    Mi nimetafakari kwa kina sana ila nimeshindwa kupata jibu. Yafuatayo najiuliza 1. Mh. Rais alisaini au hakusaini hiyo sheria ya TOZO mpya? 2. Kama alisaini, je alikuwa anapima upepo wa wananchi? 3. Je, ni political tension? 4. Je, itakuwa imemuongezea asilimia za kuupiga mwingi? Kama kuna...
  20. Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!” kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani (1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…