kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa computer naomba kujua kuhusu "HP laptop"

    Nimeona kuna computer nyingi sana aina HP, ususani nataka kujua kuhusiana na izi laptop aina ya HP, nataka kujua zipi lianza kutoka mpaka muda huu zipi ndio zipo updated sokoni, (hapa nataka kueleweshwa mfano kama ulivyo Iphone, ilianza iphoe1, ikaja iphone2, ikaja iphone3, ikaja iphone4...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu HR Firm ya Job Junction na ukusanyaji wake wa CV za watu

    Wadau Kuna HR firm inajiita Job junction, ofisi zao zipo Makumbusho. Wanakusanya CV za vijana then wanawambia walipe pesa kwa ajili ya registration kwa makubaliano kwamba watasambaza CV zenu kwa ajili ya kuwatafutia kazi. Kwa wanowafahamu hawa jamaa tutiririke inaweza saidia vijana wengine.
  3. JamiiForums Tanzania Wajue vizuri kuhusu wale jamaa wabishi wa Aziv Battalion, ambao wamemtia unyonge Putin pia Warusi wenzetu wa pale Tandale

    Habari ukisubiria kikao cha Kamati kuu CHADEMA tupitie hapa Nilisema nitakuja kuwaelezea vizuri kuhusu wale jamaa wabishi wa Aziv Battalion, ambao mpaka leo wamemtia unyonge Putin pia warusi wenzetu wa pale Tandika kaburi 1. Putin alisema lengo lake la kuivamia Ukraine ni kui demilitarize na...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mfumo wa ajira

    Habari za siku nyingI wana jf? Poleni sana na kazi. Nijielekeze kwenye maada. Natatizwa sana na namna mfumo wa maombi ya ajira TAMISEMI unavyofanya kazi hadi kupata idadi inayohitajika. *Hivi mfumo unachaguaje watu? *Naamini kuna watu wanaousimamia na kuulinda mfumo usiingiliwe, je unalindwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Unafahamu lolote kuhusu mchezo wa kukimbizwa na Ng'ombe? Je, Kwa Tanzania huu mchezo upo??

    Ni wakati muafaka sasa wananchi wa Tanzania wachangamkie fursa ya huu mchezo kama baadhi ya nchi za ulaya na America ya kusini wanavyo Fanya Faida zake:- 1: chanzo cha kipato 2: Burudani N.k Hasara zake:- 1: Kuumizwa (Hasa hasa ukutane na ng'ombe ambae hataki masikhara kabisa) 2: Ongezea...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Toyota Mark II 4 cylinder kwa 2.5m inafaa?

    Naomba wataalamu mnisaidie mada tajwa hapo juu nimekutana na markII namba A jamaa anataka 2.5M is he correct? Vip vipul na ulaji wa mafuta mim ni mgen kwenye magar
  7. JamiiForums Tanzania Chicken coming home to roosting place

    Soon after assassination of president John F Kennedy those days,main stream media zilimuapproach Alhaj Malik Elshabaz a.k.a Malcom X,na kumuuliza kuwa,je nin views zako kutokana na kifo hiki? Alhaj Malik Elshabaz akawajibu very shortly kuwa his death is like now 'Chicken are coming home to...
  8. JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

    Hello bosses....... Nimekaa na hii experience kwa muda mrefu ila leo nikakutana jamaa fln wanabishana khs dini nimeona ni bora niisimulie labda inaweza kusaidia. Ni story ndefu ila nitajitahidi kufupisha na pia sina uzoefu sana kuandika makala za namna hii hivyo kiswanglish na typos...
  9. JamiiForums Tanzania Maoni ya mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta nchini

    Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta. Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
  10. JamiiForums Tanzania Ujue ukweli kuhusu Nyumba za contemporary House (Hidden Roof)

    leo nakupa ushauri kuhusu contemporary house Contemporary house Wengi wanadhani kuwa ni nyumba ya gharama nafuu lakini sio kama inavyofikiriwa unafuu wake upo kwenye kupaua tu Endapo mtu atajenga contemporary house ataokoa gharama kwenye kupaua kwani huingia bati chache tofauti na nyumba ya...
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri Kuhusu Biashara ya Kukodisha CD za Movies

    Habari Ndugu Zangu Naimani Wote Ni Wazima Wa Afya.🙏 Ndugu Zangu Nimepata Wazo La Kufanya Biashara Ya Library Yani Kuban Movies Kwa empty CD Na Music Pia Kuuza Flash Na Memory Card Pia Kuuza Vifaa Vidogo Vidogo Vya Simu Kama Vile Earphones, Makava Ya Simu Na Chaji. Kwani Mtaji Ninao...
  12. JamiiForums Tanzania Putin amuomba radhi Waziri Mkuu wa Israel kwa matamshi ya Lavrov

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amuomba radhi waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennet kwa matamshi aliyoyatoa waziri wake wa mambo ya Nje Sergei Lavrov kwamba Hitler alikua na damu ya kiyahudi. Rais Putin pia amepongeza uhusiano mzuri Kati ya Urusi na Israel. Waziri Mkuu wa Israel amekubali msamaha...
  13. JamiiForums Tanzania Kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta, wabunge na Serikali wajiridhishe na facts

    Zinaweza tajwa sababu nyingi sana na visingizio vinavyowekewa fake justifications. kamwe tusikubali. Mimi nitahoji idadi ya fuel stations zilizoanza chini ya miezi sita iliyopita na namna gani zinalink na wafanyabiashara wakubwa wa mafuta.je kwa nini zilianzishwa ghafla na kwa nini tupo hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Fahamu mambo kadhaa kuhusu 'kutafuta mwenza/mchumba/rafiki mtandaoni'

    Asalaam aleykum.. Kristu.. Bwana yesu asifiwe Kutokana na maendeleo ya utandawazi karne hii imekuwa ni kawaida watu kutafuta wenza au marafiki kupitia hasa mitandao ya kijamii,kwa zaman kidogo miaka ya 90 na 2000 mwanzani magazeti yalikuwa yakitumika kutafuta wenza au marafiki lakini kwasasa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia lia kuhusu hali ya maisha, nilidhani ni CHADEMA tu

    Wanabodi, Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama kimoja italeta maendeleo chap chap. Wakateka watu, wakawaua, wakawapa kesi pia ili waonekane hawana sifa...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

    "Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule 👇
  17. N

    JamiiForums Tanzania V.A.R YA CHAWA: NI uongo na aibu kumsifia Rais Samia kuhusu jina hili huko Ujerumani

    Mr Njaakali hatari naaanza leo kukuleta segment matata iitwayo VAR YA CHAWA kutokana na ongezeko la kutisha la machawa na usambazaji wa kutisha wa fake news Leo naanza na member aitwaye Crocodiletooth chawa moja hatari lenye blue tick liko verified yaani limepost uzi huu. Kwa bidii ya Rais...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Rais yuko sahihi kuhusu umasikini?

    Rais Samia akiongea na waandishi wa Habari leo amekataa kuwa watanzania hawatumii chini ya dola moja kama inavyolipotiwa ambapo ametumia kabila la wahadzabe kama kabila la chini ambao wanaishi kwa kula matunda na asali ambayo hawanunui. Hivyo ukiweka kifedha inawezekana wanatumia gharama kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu NACTE registration number kwenye kuomba ajira za ualimu

    Habari za leo wakuu. Kwa wale wenye diploma za ualimu tunaoomba nafasi za ajira tamisemi kwenye kipengele cha NACTE reg number tunajaza namba gani naona kwangu inagoma. Kuna namba iko kwenye cheti cha chuo ila nikiweka haikubali niweke nta level pia niattach cheti.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…