kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Voda Bima

    Heshima kwenu Wana jukwaa. Kama mada ilivyo, nilipigiwa simu na kitengo Cha huduma kwa wateja Cha Vodabima, wakidai nimekidhi vigezo vyote vya kujiunga na huduma yao ya Vodacom Bima. Maelezo Ni kuwa kwa idadi ya watoto wangu pamoja na mtegemezi mmoja ninatakiwa kulipia huduma hii TSHS. 7,500/=...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi kuhusu haki za mtoa taarifa ya uhalifu

    Habari za leo wana JF wenzangu. Hivi raia akitoa taarifa za uhalifu kwa siri katika maeneo yake kwa mamlaka inayohusika na kupokea taarifa hizo, akakuta taarifa ile imesambazwa na mpokea taarifa kuwa fulani yupo hivi na vile ndiye aliyetoa taarifa hizi kuwa wewe fulani ni mhalifu. Je, mtoa...
  3. JamiiForums Tanzania Nauliza swali NEC na Polisi kuhusu utekwaji wa wagombea wa upinzani katika chaguzi

    Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu. UTEKWAJI wa WAGOMBEA wa UPINZANI wanaoonekana Wana nguvu kuliko WAGOMBEA wa chama tawala kwanini wanatekwa na kunyanganywa fomu au hata kupigwa hii inakuwaje? Na hizi kesi zinaishaje? Kwanini wanaotekwa au...
  4. JamiiForums Tanzania Tunavyojidanganya kuhusu mapinduzi huko Sri Lanka

    Salaam wakuu, Hivi majuzi kumetokea vurugu huko nchini Sri Lanka baada ya wananchi kutoka kila nyanja ya maisha kuingia ikulu ya Raisi na makazi ya Waziri Mkuu kuwataka kujiuzuru na hadi wakati huu bado wananchi wanaendelea kukalia makazi na ofisi hizo hadi pale viongozi hao watakapo jiuzuru...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna siasa au uhalisia kwenye uvaaji wa Barakoa?

    Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai! Pengine wapo wengi wangependa kujua. Je, inamaanisha nini?
  6. JamiiForums Tanzania Mzozo waibuka kuhusu Mazishi ya Rais wa Zamani wa Angola, Jose Dos Santos

    Inaelezwa kuwa mzozo mkubwa umejitokeza kati ya Serikali ya #Angola na Familia ya Rais #JoseDosSantos baada ya Rais João Lourenço kuamuru kuundwa kwa tume ya Serikali kupanga mazishi ya kitaifa kwa mtangulizi wake, na kusema anategemea kila mtu kuhudhuria ikiwa ni pamoja na familia yake iliyopo...
  7. JamiiForums Tanzania Nakupongeza sana Maulid Kitenge kwa kumjibu Shaka Hamdu Shaka kuhusu Katiba

    Watanzania, Binafsi nampongeza Sana Ndugu yangu Maulidi kitenge kwa nondo zilizoshiba za kumjibu Shaka Hamdu shaka kuhusu Katiba Mpya na ushirikishwaji wake KWA wananchi! Kitenge amemjibu shaka KWA kusema"wananchi wote walishashirikishwa swala la katiba mpya tena makundi yote kuanzia MAMA...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Rais anao mpango wowote kuhusu ajira kwa vijana au anasubiri kampeni?

    Hili janga la ukosefu wa ajira naona kama linazimwa hivi. Je, kuna mpango wowote wa kutatua? Au tusubirie saundi za kwenye kampeni.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe JJ Mnyika alivyomkabili Rais Magufuli kuhusu Demokrasia, Maendeleo ya Watu, na vyuma kukaza

    Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi. Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa. Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza. Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Serikali na Waziri Nape tupeni ufafanuzi kuhusu kuchangia Anwani za Makazi

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Swali kwa faida ya watanzania 🙏 Mh Nape Moses Nnauye/ Serikali kuna jambo linanitatiza hapa nadhani utanisaidia . Kuna hili zoezi la kuweka anuani za makazi Sasa na Wananchi wanachangishwa kwa viwango tofauti ili tuweze kupata anuani za makazi. Tena tumeambiwa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu bachelor degree ya Education in Earlychildhood

    Habari za muda huu wanajamvi. Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu. Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya HKL. Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe dondoo kuhusu elimu hii. Ahsanteni.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu CBG

    Naombeni USHAURI KUHUSU CBG Ufaulu wangu Ni Gs D, Math F, Bios D, Geog C ,chem ,F . Kwa mnavyo ona naweza pata kozi gani na chuo gani. Ahsanteni
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa TFF na Bodi ya Ligi kuhusu utoaji we Tuzo kwa Msimu ujao 2022 / 2023

    Kura zipigwe na Sisi Wadau wa Soka au na Makocha au na Wachezaji wa zamani na siyo na Watendaji wa TFF waliokaa hapo Karume na Vitambi vyao kama Mapipa ya SIMTANK ndiyo Wachague / Watuchagulie Washindi. Huwezi kusema kwa Magoli yote yaliyofungwa katika Msimu wa Ligi Kuu Goli la Fiston Mayele...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba Wasifu (CV) ya Waziri Bashe tulinganishe na anayofanya

    Kumekuwepo na sintofahamu kubwa kuhusiana na Kauli ya Waziri wa Kilimo kuilazimisha Central Bank kutoa upendeleo kwa Benki mpya ya Bashe inayoitwa Benki ya Ushirika ili kuweka masharti nafuu ya utoaji wa mikopo. Pia, nimeona Bashe ameingia kwenye mzozo kuhusiana na ruzuku ya Mbolea na kuleta...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Dell Latitude 7480 kupoteza chaji ghafla

    Wakuu habari ya muda huu? Mwezi March nilinunua laptop aina ya Dell 7480 ikiwa mpya kabisa. Laptop yenyewe ina ram ya 8gb na processor ya iCore 7 na SSD ya 526gb. Nimekuwa nikiitumia kwa shighuli zangu za research na kuangalia muvi kidogo bila matatizo mpaka siku 5 zilizopita. Awali laptop...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi ya kusoma

    Wakuu mdogo wangu kapata division 1 ya 9 (PCB). Kozi zipi anaweza eligible kuomba?
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi amjulisha Rais Putin kuhusu hasara za hivi punde za Ukraine

    Katika muda wa wiki mbili tu, Ukraine imepoteza karibu wanajeshi 5,500, wakiwemo zaidi ya 2,000 waliouawa, Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu alisema Jumatatu alipokuwa akitoa taarifa kuhusu mzozo kati ya Ukraine kwa Rais Vladimir Putin. Waziri alitoa ripoti yake ya pili kwa kiongozi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu course za afya diploma

    Habarini wana jamvi, Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C. Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa?
  19. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu refund App ya HESLB

    Nimeomba kurudishiwa kiasi cha pesa ambacho loan board walikata kimakosa, nimefuata hatua zote, baada ya kuconferm nimegundua account namba nimeikosea na hakuna option ya kuedit, Nimejaribu kupiga namba zao hazipatikani, nimejaribu ku click kwenye ile option ya online help lakini pia...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji kuhusu MWAUWASA

    Mhe. Waziri wa Maji Salaam. Hapa Mwanza Mamlaka yetu ya maji inaitwa Mwauwasa. Katika jiji la Mwanza maeneo mengi yanakosa maji licha ya kuwa hatua chache tu toka Ziwa Victoria (a stone throw away) kwa lugha ya kimombo. Mfano hai ni eneo la Mwananchi leo ni siku ya tano hatuna maji na hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…