Msaada kuhusu Dell Latitude 7480 kupoteza chaji ghafla

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Wakuu habari ya muda huu? Mwezi March nilinunua laptop aina ya Dell 7480 ikiwa mpya kabisa.
Laptop yenyewe ina ram ya 8gb na processor ya iCore 7 na SSD ya 526gb.

Nimekuwa nikiitumia kwa shighuli zangu za research na kuangalia muvi kidogo bila matatizo mpaka siku 5 zilizopita.

Awali laptop yangu ilikuwa ikikaa na chaji kwa masaa 8 nikiwa naitumia nje ya umeme lakini kuanzia Jumamosi iliyyopita imekuwa ikipoteza chaji kwa haraka sana. Inaweza kutoka 100% - 20% ndani ya dakika moja tu. Na kuzimika ghafla.

Kilichonipelekea kiandika uzi huu ni kuwa muda huu nilitaka nijaribu kuimaliza chaji yote kisha niichaji ikiwa imezimika nione kama kutakuwa na tofauti, ajabu ni kwamba ikiwa na 1% niliweka movie na kuweka brightness mpaka mwisho ili izimike haraka ila ni zaidi ya lisaa limoja sasa haijazima na wala haijanipatia ujumbe wa batery low.

Pia wakati nikichaji ikiwa kwenye umeme nilikuwa nikisikia mlio kama mluzi kwa mbali ila nikitoa adaptor mlio uliisha.

Naombeni kama kuna mwenye kuelewa kinachoendelea hapa anisaidie nifanye nini.
 
Nadhani battery ishakuwa kimeo
Ujue hivi vitu vya umeme unaweza nunua kipya kumbe dukani kilikaa muda mrefu au wakati kinatengenezwa kilitoka na tatizo ambalo mtengenezaji kwa bahati mbaya hakulibaini mpaka mzigo ukaingizwa sokoni.

Nenda kwa fundi apime battery aone kama nzima au charging system
 
Sina hakika kama kuna dell 7480 mpya kabisa Ila kuna used yake. Ila anyway hiyo ni ishu ya Betri ibadilishe itakua poa. Ila kwa aina hiyo ya laptop inatakiwa uandae sio chini ya 150k kupata betri nyingine.
 
Kama ulinynua mpya full box si ina warranty ya wamaka? Peleka ulikonunua
 
Nadhani battery ishakuwa kimeo
Ujue hivi vitu vya umeme unaweza nunua kipya kumbe dukani kilikaa muda mrefu au wakati kinatengenezwa kilitoka na tatizo ambalo mtengenezaji kwa bahati mbaya hakulibaini mpaka mzigo ukaingizwa sokoni.

Nenda kwa fundi apime battery aone kama nzima au charging system
Asante mkuu. Ngoja nifanye ufuatiliaji
 
Sina hakika kama kuna dell 7480 mpya kabisa Ila kuna used yake. Ila anyway hiyo ni ishu ya Betri ibadilishe itakua poa. Ila kwa aina hiyo ya laptop inatakiwa uandae sio chini ya 150k kupata betri nyingine.
Ni kweli nimeulizia battery nimeambiwa 170K....nilitaja nijiridhishe hapa kabla sijanunua battery hiyo
 
Hii Dell Latitude E-series (74.., ) kuna tatizo mahala nadhani dell walipaswa kuangalia kwa jicho la ukaribu nimeona kesi tofauti tofauti hasa za kuvimba kwa battery.. upande wa battery ikiwa mpya zinafanya kazi vizuri sana ila punde zinaanza kuvimba battery ingawa si zote
 
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom