kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimeandika kitabu kuhusu upinzani Tanzania,naomba ushiriki kupendekeza angalau jina la kitabu

    Mchango wangu pekee ninaoweza kuutoa kwa nchi yangu Tanzania ni kuwaletea matukio kina juu siasa za Upinzani toka 1992.Nimeandika na bado naendelea ila nawaza jina la kitabu napata kigugumizi,japo nimewaza haya kwa kuanzia 1“Machozi na Damu za Ukombozi” 2. “Kilio cha Mashujaa: Historia...
  2. H

    Kabla wamisionari hawajaja Afrika na kufundisha kuhusu mbinguni na kuzimu wazee wetu walikuwa wanaenda wapi?

    Iwapo kuna mbinguni na kuzimu wanakoenda Wafrika wakifa je kabla ya wamisionari walienda wapi?
  3. TAZAMA JINSI BABA WA SHEIKH NJUKI AKIONGELEA KWA UCHUNGU KUHUSU KIFO CHA MWANAE NA KUHUSU ALBADIR ALIOSOMEWA

    https://youtu.be/_lshKiauQnI?si=oS7IUQmHxyEmnl5u hamis77 Echolima1 Marco Seth Tazameni mazito ya hawa wenzetu
  4. Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan unastahili kongole kwa barabara za Mitaa na taa za barabarani

    Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa. Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku...
  5. Bitukinao si tu hajali kuhusu TAIFA bali pia hasikii chochote, masikioni kavaa pamba na machoni kavaa miwani ya mbao

    Unaweza kumhukum Bure huyu mtu ila ukijua kwamba uwezo wake wa kufikiri umeishia kuule kwenye ukarani na washauri wake ndo wanamwendesha namna hiyo akiwa kitini basi utapunguza kumuhukumu . Hebu fikiria form four failure alopitia cheti na diploma anawezaje kumanage heavy tasks kama hizo...
  6. Vijana; leo nawaibia siri kidogo kuhusu ugumu wa maisha mnaopitia

    Leo siwapi kila kitu ila nitaendelea kutoa kila nikipata muda 1. Zinaa ( kula/ kuliwa mzigo) ni chanzo no1 kinachokwamisha harakati zako. Kubali, kataa, pinga au andamana ila huo ndio ukweli. Zile hisia za kujilaumu unazozipata baada ya kufanya ngono ni Taarifa ya kukuonesha kuwa kuna kitu cha...
  7. Polepole naamini kuna kitu anakijua kuhusu kilichompata Lissu

    Ukiachana na SAGA za kundi mtandao na arithmetic equation ya Nida+Inec +ccm, kuna kitu polepole atakuwa anakifahamu kuhusu shambulio la TAL2017. Itoshe kusema kwamba nimemsikiliza BETWEEN THE LINES , kwa jinsi anavyogusiagusia kwa juu juu Chadema, ni kama kuna kitu kinamkaba koo kuhusu...
  8. I

    Ukweli Kuhusu Mpango wa “JICA Africa Hometown” Uliozinduliwa Katika TICAD 9

    Ukweli Kuhusu Mpango wa “JICA Africa Hometown” Uliozinduliwa Katika TICAD 9 Kumekuwa na ripoti na taarifa mbalimbali zinazosambaa mtandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu mpango uitwao "JICA Africa Hometown" uliozinduliwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) katika Mkutano...
  9. GE2025 Abdul Nondo amjibu Mwanasheria Garatwa kuhusu suala la Luhaga Joelson Mpina

    ABDUL NONDO AMJIBU MWANASHERIA GARATWA KUHUSU SUALA LA MH.LUHAGA JOELSON MPINA. Salaam, ndugu Mwanasheria Garatwa. Nimeona andiko lako na uchambuzi wako juu ya suala la kuenguliwa mgombea wetu wa kiti cha Urais ,Mh.Luhaga Joelson Mpina huku ukielekeza lawama kwa chama chetu kufuatia kinachoitwa...
  10. M

    Jicho la tatu la mwl Nyerere kuhusu sifa za nchi corrupt na viongozi wake

    Sifa ya Serikali corrupt, sio maneno yangu nimecopy and paste kwa mwl mzee wetu Julius Nyerere Enzi za uhai wake but still Bado anaishi hata sas 1: haikusanyi Kodi 2: inamzigo wa madeni (i.e deni la taifa) 3: inatumwa na wenye mali 4: inawafanyia kazi wenye mali 5: inafukuzana na vijitu...
  11. GE2025 Makonda amenifanya nibadili mtazamo wangu kuhusu wakazi wa Arusha

    Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu...
  12. T

    Naomba mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR

    Wakuu hbr za Leo naombeni msaada mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR kuhusu ajira zake huwa zinatangazwa na kwa degree ya lab technician anaeanza mshahara wake ni kiasi gan
  13. T

    Naomba mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR

    Hbr za Leo wakuu naombeni msaada mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR kuhusu ajira zake huwa zinatangazwa ? Na vip kuhusu mishahara kwa upande wa degree ya lab technician anaeanza?
  14. Ukweli kuhusu jezi za Simba ni huu

    Nitalielezea hili jambo kwa ufupi sana, mengine mtajalizia wenyewe. Nimeacha kuongelea sana soka la Tanzania maana wababaishaji ni wengi, kuanzia viongozi, wachezaji, wachambuzi na waandishi wa habari hadi mashabiki. Kiufupi ni kwamba jezi za Simba zinazoenda kuzinduliwa J5 ni zile zile ambazo...
  15. Je mamlaka kuu za dunia zinatuficha kuhusu uwepo wa aliens?

  16. Rais Samia anasemaje kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa Mtandao?

    Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje. Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa. Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa Wanamtandao? Tunawaona Tunawajua Hawajifichi. Atupe majibu maana...
  17. R

    Uchambuzi wa AI wa kisheria kuhusu kimachosemwa kuwa ushirikiano kati ya NIDA, INEC na CCM

    Kumekuwa na tuhuma zinazodai kuwa mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) umeunganishwa au unashirikishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa nia inayotazamwa/hisiwa kuwa ovu na inayokiuka haki za faragha na usawa wa kisiasa. Uhalali wa jambo...
  18. Airtel Money sio salama. Nimebadili neno la siri bila Kuhojiwa taarifa zozote Muhimu na wahudumu kuhusu Account yangu

    Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili. Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine? Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭 Sidhani kama...
  19. K

    With reference ya hii message kutoka ccm,nadhani ndugu polepole yuko sahihi kuhusu integration ya mifumo ya ccm,nida na inec.

    Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya. Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…