kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuchukua pesa za watu benki si kitu cha kawaida, Inawezekana nchi imefilisika!

    Kuchukua pesa za watu bank si kitu cha kawaida. Hii nchi RAIA wake huwa tunatabia ya kuzoea mambo hata yasiyozoeleka. Huwa tunasema tunamwachia Mungu. Na, hata hili litapita. Lakini ni bora hata tuambiwe zinaenda wapi? Kama tunalipa madeni tuambieni na kama zinaenda kwenye miradi tuambieni...
  2. Mwenye ufahamu kuhusu hizi simu za Oppo ,A57 hebu tujuzane, nimezikuta Dubai nataka nizizowe ila sina ufahamu nazo.

    Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije kwenda kuwauzia watu simu Bomu nikaitwa tapeli, binafsi Mimi sizijui simu hizi.
  3. D

    Msaada: Nikibadili kozi kwa chuo kile kile ili nichaguliwe chaguo la pili, nalipia tena?

    Nisaidien mawazo kwa anaejua ,jaman sijachaguliwa first selection naulizia je nikirudia kuomba course nyingne tofaut na nilizoweka mwanzo lakn vyuo vilevile second selection nalipia Tena hela au
  4. KUHUSU USAJILI WA MAGARI

    Msaada hapo wazee wa magari Eti usajili wa E umeanza rasmi?
  5. Usichokijua kuhusu Sensa ya Watu na Makazi

    Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. Ni siku ya Sensa na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea. Ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku hiyo...
  6. Hivi Uchagani watu wanafundishwa nini kuhusu Pesa?

    Jamani kwa wale ambao mmewahi kuishi uchagani, watu wa huko wanafundishwa nini kuhusu pesa? Watu karibia wote wanaotoka uchagani ni wafuatiliaji wazuri sana wa pesa. Jamii zote zinapenda pesa, ila hii jamii ya watu wa kaskazini ni kama vile ina kitu cha ziada kwenye kupenda pesa. Hii...
  7. H

    Msaada kuhusu kampuni ya upimaji ardhi maarufu kama Ardhi Plan

    Habari wana jamvi, Miaka kadhaa iliyopita nilinunua ardhi maeneo ya Kigamboni kupitia kampuni ya Ardhi Plan. Ofisi zao zilikuwa pale maeneo ya Shaurimoyo, Ilala ila kwa sasa hawapatikani/hawapo tena maeneo yale. Nimejaribu kuwatafuta kupitia namba zao za simu ambazo zinapatikana kwenye...
  8. Y

    SoC02 Uuzaji na usambazaji wa samaki kwa njia aplikesheni maalumu ya samaki kiganjani mwako katika jiji la Dar es Salaam

    Utangulizi na kauli kuhusu tatizo Biashara ya samaki ni biashara inayokua kwa kasi sana hapa kwetu nchini Tanzania. Na hii ni kwa sababu ya uhitaji mkubwa sana wa samaki kama kitoweo chenye gharama nafuu na chanzo cha protini miongoni watu walio wengi, hasa wale wa hali ya chini na chanzo cha...
  9. Msemaji Mkuu wa Serikali: Kumekuwa na upotoshaji kuhusu tozo, Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi tozo zilizopunguzwa

    Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali TAARIFA Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
  10. Nachukizwa na uongo wa mashabiki ukraine kuhusu hali ya vita vyake dhidi ya urusi

    Mashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
  11. Ninani anamshauri Rais kuhusu Hali ya uchumi wetu? Miradi inayoanzishwa inaendana na uhalisia wa uchumi wetu? Wataalam wa uchumi mpo wapi?

    Huko twita mtifuano unaoendelea ni kuhusu tozo...tozo za miamala ya simu ,na tozo katika taasisi za kifedha. Huku mtaani mnyukano uliopo ni kupanda Kwa gharama za maisha,na Hali mbaya ya chakura nchini. Kule Kwa...
  12. Nape: Kama kuna mtu kaibiwa bundle alete ushahidi

    Waziri Nape - Clouds TV Trh 20. 08. 2022 Serikali ilifanya tathimini ya mwisho ya gharama za data mwaka 2018 ambayo ndiyo inatumika hadi sasa. Tathimini hii ilionesha kuwa gharama ya kusafirisha unit ya data ipo kati ya tsh 2.09-9.35 Tathimini mpya kwa sasa inafanyika ambayo itaanza...
  13. Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
  14. Waraka mfupi wa kuelimisha kuhusu sensa ya watu na makazi 2022

    Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne: 1: Dodoso la Jamii 2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi 3: Dodoso la Makundi Maalum 4: Dodoso la Majengo 1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
  15. N

    Vipi kama Manara, Morisson wanasema ukweli kuhusu CEO Barbara

    Hili sakata la usajili lilivyokosewa kiuzembe kwenye namba 6 na 9 ukilichunguza kwa makini ni uzembe mkubwa sana wa bodi yote ya simba plus Mohamed dewji Sasa kinachotokea ni nini? PROPAGANDA MFU: *Vipers wanataka millions 400 mkataba wa miezi miwili *Mchezaji mwenyewe anatuchanganya tu...
  16. Fedha haiwezi kununua vitu hivi

    1. Muda. Pesa haiwezi kununua muda uliopoteza. 2. Uzoefu wa kihisia.(Furaha,huzuni,vifijo, nderemo,shangwe,hofu, ukumbusho) 3. Muunganiko wa kweli-Watu wanaokujali au kukukubali pasipo fidia ya chochote. 4. Afya. Unaweza kwenda kwa madaktari bingwa na wazuri lakini juhudi zako binafsi pekee...
  17. Waziri Masauni aagiza uchunguzi maiti zilizookotwa kwenye viroba

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Hamadi Masauni ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linafanya uchunguzi wa kina ili kubaini waliohusika na mauaji ya watu wawili na kuwatupa wakiwa kwenye viroba. Maiti hizo ziliokotwa Agosti 11, 2022 zikiwa kwenye viroba katika kata ya Tunguli...
  18. Urusi yakiri kuhusu matukio ya hujuma ndani yake

    Kwamba ghala za silaha kuendelea kulipuka lipuka zenyewe ni matukio ya hujuma ndani kwa ndani. Russia has admitted that the detonation of ammunition at a military depot in the Dzhankoy region of Crimea was due to sabotage. Follow DW for the latest. The Russian Defense Ministry on Tuesday said...
  19. Naomba ufafanuzi kuhusu Tweet hii ya Waziri Nape

    Natamani kujua ni kwanini Nape anatumia lugha za kigeni kutoa kuelezea suala la mtandao kwenye mlima kilimnjaro. Nini hasa kusudi lake?
  20. L

    Ni vigumu kwa Marekani kuachana na fikra kongwe licha ya kutoa mkakati mpya kuhusu Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Antony Blinken alifanya ziara nchini Afrika Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC na Rwanda wiki iliyopita, ambapo alitangaza "mkakati mpya wa Marekani kuhusu Afrika Kusini mwa Sahara." Hata hivyo, mkakati huo hauna jipya na umeonyesha kuwa serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…