kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ujumbe kuhusu shule ya sekondari Nyiendo umewafikia walengwa

    Wakuu habari, nafurahi thread kuhusu shule ya sekondari Nyiendo wilayani Bunda imewafikia walengwa na kumefanyika dharura ya kuitana kwa baadhi ya staff members Ni mwaka wa kupeana live bila chenga. === Kuhusu shule tajwa, soma: DOKEZO - Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi...
  2. JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu huu mti?

  3. JamiiForums Tanzania Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

    Wadau nawasabahi. Nikiwa mlipa kodi pamoja na tozo mbalimbali najisikia uchungu sana kusikia kuwa Serikali inataka kukarabati kivuko cha Mv Magogoni kwa bil.7. wakati bei ya kuunda kivuko kipya ni kati ya bil.8.5 -9 Najiuliza kwanini ufanyike ukarabati? Kwanini kisinunuliwe kivuko kipya...
  4. JamiiForums Tanzania Ni vizuri mkawafundisha wake zenu kuhusu kufanya Ngono salama, watu wanaisha ndoani

    Ushauri . Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika Jamaa yangu ili wamuingize katika Mfumo wa Gridi ya Taifa . Jamaa yangu kashanasa tiyari.
  5. JamiiForums Tanzania Rais Putin adai ataendeleza vita huko Ukraine

    Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi kuhusu vita vya Ukraine lakini pia tathmini ya hali ilivyo kimataifa pamoja na kutowa mwelekeo wa hali halisi ya nchi hiyo baada ya nchi za Magharibi kuiwekea vikwazo chungunzima. Hotuba hiyo ya Putin...
  6. JamiiForums Tanzania Maoni yangu binafsi kuhusu dini

    Nimelelewa nikiaminishwa kwamba mimi ni bora kuliko kundi lingine la kidini (Nikiwa Mkirsto) nikaaminishwa kuwa jamii yetu ni jamii bora na nikaaminishwa kuwa hakuna la muhimu kwa wengine ila kwetu tu. Lakini nikawa ninajiuliza ni vipi Dini inafundisha utengano mkubwa kiasi hiki. Niliishi na...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Putin azilaumu nchi za Magharibi kuhusu vita Ukraine

    Hotuba ya mwaka ya Putin yatowa mwelekeo wa Urusi kuhusu vita nchini Ukraine wakati rais wa Marekani Joe Biden akitarajiwa kuwahutubia washirika wake akiwa Poland baada ya kuitembelea Kiev Jumatatu. Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu utando mweupe kwenye mwili mtoto anapozaliwa

    Ni utando mweupe unaotengenezwa kwenye ngozi ya mtoto kwenye kipindi cha mwisho cha ujauzito, kitaalam huitwa Vernix caseosa. Huundwa na maji kwa asilimia 80, mafuta kwa asilimia 10 na protini kwa asilimia 10. Tofauti na jinsi inavyoaminika sana mtaani, utando huu hautokani na kushiriki tendo...
  9. JamiiForums Tanzania Acha kubishana kuhusu Dini. Dini ni biashara za watu

    Mwandishi Hemedyjrjunior /kimodomsafi ........ Allhamudulilah kwa siku nyingine tena allha anazidi kutenda mijuiza Amen. Leo niko na mada. Hakuna dini itakayokupeleka mbinguni tofauti na matendo yako mema yamfurahishayo Mungu. Watu wengi wamekuwa wakikadhania dini njoo uku, twende kule...
  10. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa kumsikiliza Komando Mashimo alichosema kuhusu Simba na Yanga

    Kipigo cha tatu bila kwa timu ya Simba kimenifanya niiangalie tena video ya Mchungaji Komando Mashimo kwa sasa anayejiita Nabii Mikaya aliyemuomba Rais Samia awalipie deni Simba na Yanga ili waweze kushinda katika michuano ya CAF. Nabii Mashimo alisema mwaka 2022 Mungu alitenda kwa ajili ya...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za wizi wa Hayati Magufuli haziniumizi, kinachoniumiza kwanini alizaliwa kwenye nchi hii?

    Ndiyo, Kinaniuma kwa sababu hasa ya waliostahili kuzaliwa hapa! Waliozaliwa kihalali katika nchi hii ndio hao walionipa kutaka nijue ni kivipi JPM azaliwe katikati yao? Na iliwezekanaje yeye JPM akubali kuzaliwa katika nchi hii ngumu ukilinganisha na aliyoifanyia hii nchi, badala yake, kwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa zaidi kuhusu Dextrose, Normal Saline na Ringer's Lactate

    Hizi fluids tatu zinanichanganya sana matumizi yake. Normal Saline ninachojua inatumika kwa mtu aliyepata dehydration au vomiting, kwa hiyo wanampa ili ku replace zile electrolytes zilizopotea. Concentration yake hatakiwi kupewa mama mjamzito au mwenye high BP. Ringer Lactate nayo kama NS...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, hili la kuhusu 'Uume' hutokea na kwa Wengine? Na inatokana na nini?

    Unakuta Wewe Mwenyewe kabisa ukijiangalia na hata Kujipimia Kimoyomoyo Maumbile yako ( Uume wako ) ama unauona ni mdogo au wa Kawaida lakini kila Mwanamke unayekutana nae ataulalamikia kuwa ni Mkubwa, huwa Unawaumiza na hata ukitaka kuwa nao tena Wanakukwepa. Je, kuna Uwezekano kwa Macho yako...
  14. JamiiForums Tanzania Video ya Dkt. Mollel kuhusu watanzania kuwa wajinga

    Kuna Post inasambazwa kwa nguvu kubwa kwenye mitandao inayomhusisha Naibu Waziri wa Afya, Mollel na imeleta taharuki kubwa sana kwa wananchi, ombi langu kama kuna mwenye Video Clip ya maneno hayo aitupie hapa ili kumaliza huo utata. Vinginevyo isije ikaleta tasfiri tofauti kwamba kuna mkakati...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  16. JamiiForums Tanzania Wale ambao hatuwazi kuhusu wanawake ila mnyanduano tunafanya kila inapotokea chansi tujuane

    Wasalaam JF Kama mada inavyojieleza, Nianze mimi Nina kawaida huwa siwazi kuhusu wanawake, ila inapotokea kunyandua nawasemesha na ikitiki nakwenda kunyandua. huwa siwazi kuhusu wanawake kabisa, hata ambao nimewanyandua wananitafuta wao na najibu sms na Kupokea simu ninavyo jisikia mimi na sio...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Mgogoro wa Ardhi Kijiji Namawala Vs Kambenga

    Kambenga aliomba ekari 100 kutoka kijiji akapewa,then akataka ekari 900 zaidi Kwa kutumia hila kudai kuwa amepewa alionyesha muhtasari wa kikao cha CCM cha kata ambacho walihudhuria wajumbe wanane lakini wajumbe saba hawakutia sahihi muhutasari huo. Kambenga hakuwahi kulipa kiasi chochote cha...
  18. JamiiForums Tanzania Mapenzi na Mahaba Kwa wapendanao🥰😘😘😘

    😝😝😝😝😝🎉🎉🎉🎉 ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya : 1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike 2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda kazini . 3.ukirudi akupokee Kwa tabasamu zuri nawewe mwanaume urudishe tabasamu kuonyesha unamjali...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji mkubwa wa maharage husababisha uoni hafifu

    Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nasikia ukila maharage sana unapata uoni hafifu na mpaka sasa kuna watu wanaamini hivyo. Mimi ni daktari lakini mpaka sasa sijafundishwa hicho kitu.
  20. JamiiForums Tanzania Balozi Nangasu, afafanua kwa Mapana kuhusu Mfumko wa bei Tanzania na Uchumi Imara

    Balozi wa Utalii wa Tanzania, Nangasu Warema leo Februari 10,2023 ametoa maoni yake kuhusu mwelekeo wa uchumi kutokana na mjadala ulioibuka bungeni mwanzoni mwa wiki hii. Balozi wa Utalii Nangasu Warema Balozi huyo wa utalii amesema kwamba mataifa mengi duniani yameathirika kiuchumi ikiwamo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…