Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 908
- 1,064
Mwandishi
Hemedyjrjunior
/kimodomsafi
........
Allhamudulilah kwa siku nyingine tena
allha anazidi kutenda mijuiza Amen.
Leo niko na mada.
Hakuna dini itakayokupeleka mbinguni tofauti na matendo yako mema yamfurahishayo Mungu.
Watu wengi wamekuwa wakikadhania dini njoo uku, twende kule yaani kutanga tanga na shida za dunia ila hawajui ukianza kutanga tanga nikwamba umekosa direction so kinachofuta unaenda kuanguka.
Tumejaliwa elimu ya kuweza kutambua mambo au majambo kuna vitu viko kwasababu ya utashi wa binadamu kwakuw binadamu yuko na maarifa na mwenyezi mungu amemjalia mwanadamu maarifa so usishangae kinachofanywa na MWANADAMU afu ukapagawa. Icho hata sio punje, mungu anatenda na kuonesha ukuu wake.
Dini ni mwongozo katika maisha ya binadamu kidunia kwahyo ni taasis za watu au ya mtu ili mambo yaende ila ukikosa ufahamu utabisha mpaka kufa.
Kwenye dini ndo kunakozungumzwa maswala ya mungu na kuhabarishana historia za waliopita walifanya nini .nadhani naeleweka na dini zilikuja au zilietwa na watu ili wafanye biashara (hapa sio kwamba uniamini but najaribu kuumiza kichwa wakati usislamu unakuja waarabu walikuwa wanafanya biashara ya utumwa kwahiyo mwenyezi Mungu alikuwa anapenda vile au ilikuwa njia sahihi ya kuijua dini ni nini?
Maana ilikuwa ni mateso kwa kipindi hicho. Hata hivyo na kwa wakristo wamissionary nao WALIKUJA kwa gia hiyo ya kununua watumwa na kueneza dini yao uku wakianzisha shule za seminar KUFUNDISHA upadiri n.k.
Narudia dini bora ni imani yako thabit ya kumwamini Mola wako kila kuchwao na kutenda mema kushika yote aliyokataza na aliyoamrisha kufanywa mengine wameongeza kutokana na dini zao zinavosema.
Elimu | akili......
Ukiwa na akili utapata elimu. Uwe na siku njema.
Dini lengo iwepo amani ila sasa now vita iko kwasababu ya dini, watu wanatengana kwa sababu ya dini duuh Allha tufungue,tunusuru maana sio kwema kila mtu anajiona mbora zaidi ya mwenzake.
Waarabu/wahindi au watu weupe ubaguzi kwa waafrika hapa kulikoni.
Imeandaliwa na Kimodomsafi toka Mwaro Tv