kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Najaribu kufikiri kama Albert Einstein angelikuwa hai mpaka leo, elimu ya sayansi kuhusu dunia ingekuwa imefika wapi?

    1. Special theory of relativity 2. General theory of relativity 3. Time dilation 4. Warping of spacetime 5. Spacetime continuum 6. E=mc2 7. Gravity as bending of spacetime 8............................................... Hivi vitu ni vigumu kuvielewa.......
  2. Ninasumbuliwa na homa mjuzi anisaidie kuhusu homa

    Za mida wakuuu natumai ni wazima Kwa wiki ka 8 iv nasumbuliwa n homa.kali sana ambayo.kuna muda hua unalungua . Nilijarbu kuenda ku test HIV. TYPHOID N MALARIA PAMOJ N MKOJO wiki kama 3 zilizopita nkaambiwa shida ni TYPHOID tu na nikapewa dawa cipro, ambayo n dozi ya wiki mbili ila sasa. Ni...
  3. Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

    Watanzania 18 na Mwingereza mmoja, jana walishindwa kuingia mini Bukoba, wakiwa hai baada ya maisha yao kukatizwa na ajali ya ndege ilivowatoa Dar es Salaam wakiwa salama. Hawa ni miongoni mwa abiria 43 walioelezwa kuwamo ndani ya ndege aina ya ATR42-500 mali ya Shirika la Precision...
  4. Mnaohojiwa na Media kuhusu hii Bukoba Plane Crush ni kwanini mnaanza Kumpa Pole Rais Samia? Kwani Yeye ndiyo Kafiwa?

    Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini? Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya...
  5. Naomba kujua kuhusu hizi gari

     Wataalamu na wajuvi wa magari,naomba mwenye kujua kuhusu hizi gari kwenye maeneo haya yafuatayo: 1.comfortability yake. 2.fuel consumption 3.Availability of spare part zake. 4.Durability 5.Stability yake. 6.Changamoto zake. na mengine mengi unayoyajua kuhusu chuma hii. Asanteni sana
  6. B

    Luhaga Mpina (mb), akichangia kuhusu taarifa za kamati za kudumu za bunge za PAC, LAAC na PIC

    1. UTANGULIZI Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC zinawasilishwa bungeni baada ya kufanya uchambuzi wa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na. 11 ya Mwaka 2008 inayofafanua...
  7. Ufafanuzi kuhusu kupunguzwa kwa vifurushi (bundles)

    Nyie Watanzania ni mambumbumbu sana, hivi mnajua bundles ni ofa, wao wanatakiwa wakuuzie wewe vocha tu uweke utumie kama mwanzo mitandao ilivyoanza. Sasa unajua maana ya ofa? Ofa kupata au kunyimwa, huna uhalali wa kudai. Kuna watu wanamlaumu Nape wanakosea sana.
  8. Kauli ya RC Makalla kuhusu uhaba wa maji ni sawa na kusema hatutaki Maendeleo

    Imenishangaza sana kusema suala la maji ni 'Kudra za Mungu'. Nimefikiria kama tuko serious na maendeleo. Labda nianze kwa kuwapa tafsiri ya maendeleo tofauti na ulizoea kuzisikia awali. Maendeleo ni uwezo wa mtu kuyadhibiti mazingira yake (Ability to command the environment). Hii inaenda sawa na...
  9. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi...
  10. Mwenye kujua kuhusu Twiga Force na inapopatikana

    Habari za leo wakuu,hebu mwenye kufahamu kuhusu hii kitu iitwayo twiga force anijuze.Natanguliza shukrani
  11. Naomba kufahamu kuhusu Toyota Altezza

    Habari wakuu, Nimekuwa nikipitia nyuzi nyingi kuhusu magari tofauti lakini sijabahatika kukutana na uzi ukijadili Toyota Altezza na Subaru Legacy ni gari ambazo natamani kununua. Naomba kufahamishwa pros and cons zake, binafsi sina uzoefu au ujuzi wa magari, hivyo nategemea kupata maoni yenu...
  12. Mchepuko akikuuliza maswali yafuatayo kuhusu mmeo au mkeo unatakiwa umjibuje?

    Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole. Nisiwapotezee muda niende kwenye mada: Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto...
  13. K

    Uzoefu wangu kuhusu wanaojiita wataalam tiba

    Naomba na mimi leo nitoe uzoefu wangu kuhusu hawa wanaojiita wataalamu tiba za asili. Nilipatwa na changamoto mwaka huu mwanzoni mtoto wangu binti wa kike yupo kidato cha tatu alipatwa na hali isiyo kawaida. Alikuwa anasoma Boarding darasani akawa analala tu na anaweza kulala masaa24 bila kuamka...
  14. Mjadala mkubwa wa kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia (gesi na mkaa wa mawe)

    Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022. #pikia #gesi #nishati #safi #LPG #mkaa #wa #mawe #acha #kuni #mkaa #wa #miti #tunza #misitu
  15. Anayefahamu kuhusu hii kozi naomba msaada wa kimawazo

    Kuna mdogo wangu kachaguliwa. Agriculture economics and agribusiness pale SUA. Nimekuja hapa jukwaani kuuliza kwa wanao ijua vizuri na fursa zake katika Dunia ya sasa. Je, inaweza msaidia 2025 atakapo graduate. Natanguliza shukrani 🙏
  16. CHADEMA yajibu mapigo ya Vyama 14 kuhusu kikosi kazi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema njaa iliyopitiliza, kutumika na kukosa dira ya masuala ya kitaifa ni sababu ya baadhi ya vyama vya upinzani kupinga msimamo uliotolewa na chama hicho juu ya ripoti ya Kikosi Kazi. Oktoba 23 mwaka huu, muungano wa vyama 14 vya upinzani ulitoa...
  17. Naomba nieleweshwe kuhusu haya

    Great thinkers naomba ufafanuzi juu ya haya maswali machache kuhusu biblia takatifu. 1. Hesabu 23:19 "inasema Mungu si mtu, aseme uongo, wala si mwanadamu ajute Iwapo amesema hatalitenda? Iwapo amenena hatalifikiliza?" 1 Samweli 15:10 "Ndipo neno la BWANA likamjia Samweli, kusema, [11]Najuta...
  18. Uchambuzi maalumu kuhusu sintofahamu katika utoaji wa Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu

    Habari za muda huu wana Jf . Mimi kama mdau wa maswala ya elimu hapa Tz hilo suala nimeliona kubwa ,muhimu na linapaswa kupatiwa ufumbuzi. Nimepitia nyuzi mbalimbali humu ,maoni ya wadau ,wanafunzi na utafiti wangu binafsi nimegundua kuwa kuna malalamiko makubwa katika utoaji mikopo kwa...
  19. Neymar afutiwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili kuhusu usajili wake

    Mshambuliaji huyo wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Brazil alikuwa akikabiliwa na mashtaka hayo yaliyohusu usajili wake mwaka 2013 kutoka Santos kuhamia Barcelona akidaiwa usajili huo ulikiuka baadhi ya masuala ya kifedha. Katika kesi hiyo waendesha mashtaka walitaka nyota huyo ahukumiwe...
  20. Fahamu kuhusu Talaka na taratibu zake Kisheria

    FAHAMU kuhusu TALAKA na taratibu zake KISHERIA. It's me Mr George Francis 0713736006 mr.georgefrancis21@gmail.com TALAKA ni ruhusa au amri ya kisheria inayotolewa na Mahakama pale ambapo mume au mke anataka kumwacha mwenzake. Hii ni hati inayoidhinisha kuvunjika kwa ndoa baina ya wanandoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…