kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usikute Wema na Whozu walinunua mtoto kwa mkataba wa mzazi kutojihusisha na chochote kuhusu mtoto.

    Nitakuwa wa mwisho kuamini hapa duniani kama huyu Olie ni mtoto wa Wema na Whozu . Ninadhani kuna uwezekano mkubwa huyu mtoto amenunuliwa kwa pesa ndefu sana huku siri ikibaki baina ya wazazi, medical personnels na wazazi wa kambo yani Wema na Whozu. Huenda kuna kiapo cha maandishi cha...
  2. JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Rais Samia yupo sahihi kuunda Tume 2 za Oktoba 29

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema uamuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ndio utaratibu wa Sheria za Kikanda na Kimataifa ambapo ametoa mifano ya nchi mbalimbali zilivyounda tume za kuchunguza masuala yaliyotokea katika nchi zao.‎ Ameyasema hayo alipokuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula aitaka Serikali ya Tanzania itoe maelezo kuhusu tuhuma dhidi yake kupeleka watu kusaidia kupora Zambia!

    Ndugu Watanzania! Nchi yetu imeingia katika dimbwi la matope na kinyesi. Tanzania inatuhumiwa kupeleka watu kwenda kusaidia kupora Uchaguzi wa Zambia kumsadia Hakainde Hichilema anayesadikika kuwa ameshindwa Uchaguzi ili aapishwewa kuwa Rais wa Zambia kwa muhula mwingine. Mgombea wa upinzani...
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa yuko sahihi kuhusu Mabasi makubwa DSM, ni kero kwenye barabara za jiji.

    Sisi abiria tuna tabia ya kutaka kushushiwa popote karibu na nyumbani kwetu. Hivyo basi kubwa litalazimika kusimama na kushusha abiria kwenye vituo vidogo vya madaladala na kusababisha usumbufu kwa daladala na magari madogo mjini. Hivyo, hata kama mmiliki wa mabasi anayo terminal kubwa ya kupaki...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Senate yakata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama kuu kuhusu Gachagua

    Seneti ya Kenya pamoja na Spika wa Seneti wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliobaini kuwa haki ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ya kusikilizwa kwa haki ilikiukwa wakati wa mchakato wa kumng’atua mamlakani. Uamuzi huo ulitolewa Juni 8, 2026, na majaji E.O. Ogola, Dkt. F...
  6. JamiiForums Tanzania Kampuni kutotoa nafasi za Madereva wapya wa malori kuchangamana na wazoefu, watatoa wapi uzoefu?

    Kwa sasa kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya madereva katika kampuni za usafirishaji, hususan madereva wa malori yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi. Hata hivyo, kampuni nyingi zinahitaji madereva wenye uzoefu wa angalau miaka 3 hadi 5. Kero yangu ni kwamba baadhi ya kampuni hizi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi za RITA Temeke makabala ya Uwanja wa Taifa zinasikitisha, umeme umekatika na jenereta wamegoma kuwasha

    Nimefika leo, Alhamisi, kufuatilia marekebisho ya cheti changu ili niweze kupata cheti kipya. Hata hivyo, nimeelezwa kuwa huduma imesimama kutokana na kukosekana kwa umeme, ambapo inadaiwa transformer imeharibika. Tulijaribu kupendekeza kutumia jenereta lililopo kwa kuchangia gharama za mafuta...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Naibu Spika Gladys Shollei na Mwandishi wa Citizen TV Kuhusu Takwimu za Uzalishaji wa Mahindi Kenya

    Mazungumzo ya moto yanayohusisha Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa Gladys Boss Shollei na mwandishi wa Citizen TV Sam Gituku yamezua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kugongana moja kwa moja hewani kuhusu takwimu za uzalishaji wa mahindi nchini Kenya. Kesi hiyo ilianza pale Gituku alipobana...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kuhusu maridhiano na kuliponya taifa la Tanzania .

    Habari wana jf, Huu ndio ushauri wangu kwa Rais Samia , CCM ,Vyama vya Upinzani na watanzania kwa ujumla hususani katika maridhiano na kuliponya taifa kunakozungumzwa . Kwa katiba tuliyonayo tunategemea sana maamuzi ya Rais aliyepo madarakani na CCM , hata mataifa ya nje hayawezi kutusaidia...
  10. JamiiForums Tanzania UKWELI NI UPI KUHUSU HIKI KIWANDA CHA BAKHRESAA

    Wakuu kuna mjadala nimeukuta facebook sasa nilitaka kujua ukweli wa jambo ukoje Maana inasemekana wao ili wakupe kazi hawahitaji nida,passport wala kadi ya mpiga kura isipokuwa nguvu zako tu ila mziki wake utapenda we na roho yako Picha linaanza .Unakimbia na roba la kilo 50...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CHADEMA kuhusu maridhiano

    Mtangazaji:"Kuhusu maridhiano, hapa nimesikia mwanzoni umezungumza unasema kwamba hakuna maridhiano mpaka wapatikane watu kutoka nje. Unaamini kwamba Tanzania haiwezi kufanya mambo yake bila kushirikisha watu wengine?" John Heche: "Hivi vitu Farhia si vitu vinavyotokea kwa mara ya kwanza...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wanavyodanganywa na kudanganyana kuhusu ulimwengu wa kiroho kati yao na Wanaume.

    DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri Mwanamke ni sawia linavyomuathiri Mwanamume. Wanashindwa kuelewa kuwa, miili yetu ina operate kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe yasemwayo kuhusu wahaya ni ukweli?

    Nilikuwa nasikia watu wanasema kabila la wahaya watu wake Huwa na sifa au misifa, sikuwahi ku experience hiyo tabia Yao ila Sasa nimeshuhudia. Aisee hawa jamaa ni hatari, wanasifa balaa, kujikweza, kujisifia, kupenda competition hasa kazini, na kujipendekeza Kwa viongozi. Yaani mtu kutwa nzima...
  14. JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Kama kichwa cha habari kisemavyo Nina changamoto kubwa sana kuhusu namna bora ya ku transmute sexual energy.. We all know how this energy can lead to doing greater things.. So badala ya ku indulge kwenye tendo lenyewe la sex kila muda nataka kutumia katika creativity ila sasa nikiwa in the...
  15. JamiiForums Tanzania Ulikua na mawazo Gani kuhusu watumiaji wa JF ulivyojiunga??

    Mimi kipindi hicho najiunga nilikua JF ni mtandao wa wafanyakazi wa serikalini tuu, sikujua kama ni mtandao kwa wowote. Nilivyoingia sikuamin, baada ya kuona post za watu hapa JF nilihisi kila mtu ana nyumba Kali na gari na ana degree. Wewe ulifukiria Nini kuhusu watumiaji wa JF
  16. JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu Devowoshipu

  17. JamiiForums Tanzania Tutafakari sana kuhusu hiki anachokifikiria Masoud Kipanya

    MAPENDEKEZO YANGU: TUKITAKA KUJENGA UCHUMI WA UZALISHAJI, KUNA MAAMUZI MAGUMU LAZIMA TUANZE KUYAFANYA Kuna mambo ambayo naamini kabisa tukiamua kuyafanya kwa nia ya dhati yanaweza kubadilisha namna uchumi wetu unavyofanya kazi. Kwanza, tupange upya biashara zetu mijini. Hii tabia ya kila...
  18. JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya Luhaga Mpina aliyowasilisha madai kuhusu uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuitaka Jumuiya ya Madola kuchunguza

    Aliyekuwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo katika uchaguzi wa mwaka 2025, Luhaga Joelson Mpina, aliwasilisha taarifa kuhusu hali ya kisiasa Tanzania kwa mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera. Katika taarifa hiyo ya Aprili 16, 2026, Mpina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…