Nani wa kuisaidia kama kila anayestahili kufanya lolote kulinda Nchi anapewa rushwa anyamaze ,asipotii analazimishwa kutii ,wazee wanaotegemewa wamepewa sega wanalamba ,,,wanaothubutu kutokq wanapewa vifungo vya nyumbani na mambo yanaratibiwa na walafi wenye mission zao kwa kulindwa na mfumo...