kuhojiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

    Serikali imeanza uchunguzi wa ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli, kupitia alichoita, “Sheria ya Plea Bargain," Raia Mwema imeelezwa. Taarifa kutoka serikalini na baadhi ya watu walioswekwa magerezani na kutolewa kwa utaratibu huo, zinaeleza kuwa...
  2. Suley2019

    Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

    Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu. Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
  3. The Sheriff

    Mdee na Wenzake wawasili mahakamani kwa ajili ya usikilizwaji wa shauri lao

    Wabunge wa viti maalum akiwemo Halima Mdee na wenzake leo Ijumaa wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuhudhuria kesi waliyoifungua mahakamani hapo ya kupinga kuvuliwa uanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama wa...
  4. royal tourtz

    Rais Samia kuhojiwa sana huko Marekani inashusha hadhi yake kama Rais na hadhi yake kama Taifa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa kila mara tena nje ya nchi hali ana crew kubwa tu ambayo anaweza kuitumia kufanya yote hayo. Au...
  5. chiembe

    Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  6. kavulata

    Waamuzi wakamatwe na kuhojiwa

    Mpira wa miguu una wadau wengi sana duniani, Africa na Tanzania. Ukifanya kosa kwenye mpira kama mchezaji kukosa nafasi ya wazi ya kufunga, mchezaji kumuumiza mchezaji, timu kufungwa au waamuzi kuchezesha mechi vibaya Ujue unaumiza wengi sana wa jinsia, umri, dini, taaluma na hadhi tofauti kwa...
  7. Replica

    Tulia Ackson atoa msimamo wa Bunge, asema Rais ni Mkuu wa Nchi na ana mambo yote!

    Naibu Spika akiongea katika hafla ya kuwaapisha mawaziri, manaibu na viongozi wengine, amewapongeza wote walioteuliwa na kuwashauri wameteuliwa kufanya kazi za Rais nao wao wanamsaidia hivyo wazifanye kama wasaidizi wa Rais wa Jamhuri wa Muungano na si vinginevyo. Kuhusu Bunge, amesema kuna watu...
  8. Suzy Elias

    Waziri wa Mambo ya Ndani aagiza Polisi Kanda Maalum ya Dar kumsaka na kumhoji Askofu Mwingira

    "...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi." "...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene. "....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile...
  9. Naipendatz

    Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

  10. B

    Je, ni kweli Polepole na Dkt. Bashiru wamepata taarifa za kuhojiwa Kuhusu makosa ya uhujumu uchumi?

    Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati...
  11. J

    Kamati ya Maadili ya Bunge leo inaendelea kumuhoji Askofu Gwajima

    Bwana Yesu apewe sifa! Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumuhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uongo na kulivunjia bunge heshima. Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama? Mungu ni mwema wakati wote.
  12. Kijogoodi

    IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

    Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo. Sirro amesema...
  13. The Mongolian Savage

    Watu wawili wa karibu Ikulu aliyekuwa rais Haiti kuhojiwa kuhusiana na njama za kumuua

    Wanajamvi habari za weekend Maafisa wa karibu ya ikulu Haiti Wako kizuizini wakihojiwa. Ni Jean Liguel Civil. Huyu alikuwa mkuu wa Rais Jovenel Moise security Coordinator. Anabinywa sasa hivi sehemu salama. Mwengine ni Dimitri Hérard, head of the General Security Unit of the National...
  14. technically

    Rose Mayemba, Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe akamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Yaani tunataka kweli kurudi kule kule? ---- Update: 1 JamiiForums imezungumza na RPC Mkoa wa Njombe na amethibitisha kuwa Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe Rose Mayemba amekamatwa kwa Mahojiano zaidi baada ya kuweka ujumbe kwenye mtandao wa kijamii uliomhusisha Rais. RPC amesema kuwa kosa lake...
  15. P

    Hoja ilikuwa nini kwa Wabunge wa CHADEMA kuhojiwa na TAKUKURU?

    Mwaka 2020 TAKUKURU ilifanya kazi yakuwahoji wa bunge wote wa CHADEMA mmoja baada ya mwingine. Lengo lilikuwa ni mini? Wananchi na vyama vya upinzani tulijifunza nini? Je, mwaka huu hakuna wa Bunge wa CHADEMA wanaostahili kuhojiwa?
  16. lee Vladimir cleef

    Kauli hii Moja tu ya Sabaya inatosha kabisa kumkamatisha Makonda na kuhojiwa na kisha kupelekwa Mahakamani

    Akinukuliwa na makamera, mlalamikaji ambae ni mfanyabiashara wa hoteli alisikika na akionekana kusema kuwa amejitoa Mhanga, yuko tayari kwa lolote. Alisema hivi,"Sabaya alinitaka nimpe milioni tano, na utaamua mwenyewe uiite rushwa au MAKONDA style". Mwisho wa kunukuu. Hii kauli ikitokea kwa...
  17. Etwege

    Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

    Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda. Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa...
  18. baro

    Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

    Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?" Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili...
Back
Top Bottom