I am proud kwamba bado nikiwa kijana nime debunk utapeli wa dini na itikadi katika maisha yangu.
Thus kwa maana hio, nitakufa sio kama mtumwa wa kitu ambacho ili bidi babu yangu acharazwe viboko na kuteswa ndio akipokee.
Nitakufa nikijua, sijakubali itikadi yoyote ile ishinde utashi ulio asili...
Rais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU?
Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua...
dhamira
katika
kuhoji
kujitoa
mustakabali
mustakabali wa taifa
nani
president
president samia
rais samia
samia
taifa
tec
teknolojia
ufahamu
wachafu
wakati
watawala
who
zao
Moja ya Kundi ambalo linatakiwa kuhijiwa ni walisimamia uchaguzi, huku mtaani walimu Wengi wanaduku lao kusema yaliojiro kwenye vituo vya kupigia kura.
Msigwa ameumia saana CNN kusema waliwahoji madaktari wa hospital ya Seketule(I am not sure with spelling) Kwa Siri na kutoboa Siri ya madaktari kuambiwa wawaweke mochwari majeruhi ata kama hawajafa.
Yaani serikali ilkuwa inaona Sawa kuja na mashaidi wa Siri kwenye kesi ya Lissu, lakini inaumia...
Wananchi wa Palestina, unaweza kusema, ni watu wenye bahati mbaya sana, na kwamba kwao kitu amani, ni jambo litaendelea kuwa gumu kwao.
Wapalestina maelfu wasiokuwa na hatia wameuawa, kutiwa ulemavu, na kupitia mateso mbalimbali kutokana na operation za kijeshi za Israel zilizosababishwa na...
1. Matokeo ya Raisi yahojiwe Mahakamani kama yaliyo ya Diwani na ubunge.kwa kuwa wagombea wa urais wanaweza kufanya makosa ya kiuchaguzi.
2. Tume ihojiwe na Mahakama inapo enda kinyume ktk kutimiza majukumu yake.
3. Itungwe sheria ya kuwezesha INEC kufanya Kazi za kusimamia uchaguzi Kwa sasa...
Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc
TUAMKE...
Wanashangaa mbona mzee bado amejificha, kulikoni, Israel ilishafanikisha malengo, vinu vya nyuklia vimesambaratishwa..............
Two days after a ceasefire between Israel and Iran came into effect, Iranians are growing concerned over the well-being of Ayatollah Ali Khamenei, The New York...
Mwanajamvi ni nani?,mwanajamvi ni nini?,mwanajamvi yuko wapi?
Kalooist ni nini ni nani?,Kalooist yuko wapi?
Mungu ni nini na nani na yuko wapi?
Dunia ni nini, ni nani na iko wapi?au ndo nini tofauti na bustani(enclosed area) ya Edeni( eneo liletalo furaha) ya watu tangu asili ya...
Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu
Hawa wengine naona hamna kitu
Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu
Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa...
Mzee Malissa alifukuzw CCM bila hata kuitwa na kujitetea, na Alifukuzwa sababu tu kahoji Uhuni ulotokea DODOMA.
Hawa G-55 wanachofanya ni kutafuta Kufukuzwa, ili WAKIMBILIE Mahakaman, Cha kiwe na Kesi mara Kwa mara.
Kwa Bahati Mbaya, mshauri wao ni kakikundi kadogo ka Dola na CCM na ambao...
Miaka ya nyuma niliwahi kukutana na Naibu Waziri wa Fedha huko Dodoma kwenye kongamano moja la vijana kuhusu masuala ya fedha. Nilipata wasaha wa kuzungumza naye mawili matatu kuhusu mambo ambayo yeye yapo kwenye wizara yake.
Katika jambo ambalo nilipata wasiwasi ni kuhusu mfumo wa kodi, Mfano...
Goli la Aziz Ki lilivyokataliwa eti wakaenda CAS kuomba pwenti tatu.ujinga wa hali ya juu.
Nimeanza kufatilia mpira sijawahi kuona goli lililokataliwa na refa uwanjani akapewa mezani.
Pia sijawahi kuona mechi ikiyoahirishwa na mamlaka inayosimamia mpira timu mojawapo ikaomba pointi...
You atheists claim there is no God, that the universe is a product of chance, and that morality and purpose need no Creator. You trust science and reason—but have you truly tested your beliefs?
Let’s put it to the test—answer these 25 questions. If your atheism is as solid as you claim, these...
Kuna vitu maamuzi yake huhitaji Hoja, yaan anasimama MTU makini anaelezea Kwa hoja !.
Sasa kumfukuza MTU namna hii, maana yake ni kuifanya habari iwe kuuuuuubwa , embu fikiria vyombo habari vireport " CCM yamfukuza aliyepinga kuvunjwa Kwa Katiba wakati wa zoezi za kuchagua Mgombea Urais'...
Yericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake.
Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa!
Baada ya kumaliza shule ya msingi huko maduma alijiunga na secondary (jina kapuni) huko mtwara!
Baada ya kumaliza secondary na...
Hii tasnia ya habari kwa sasa ni kama haina maadili kabisa.
Inakuwaje mtu yupo kwenye majonzi unamuhangaisha ili wewe upate views na likes za kukupa fedha?
Mazishi ni ibada ndugu zangu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.