kuhamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Machinga Mkoani Iringa wagoma kuhamia maeneo elekezi

    WAFANYABIASHARA wadogo wadogo (MACHINGA) mkoani Iringa wameugomea uongozi wa manispaa ya Iringa kuhama katika eneo la mashine tatu na miomboni ambalo wanafanyia biashara zao hivi sasa. Akizungumza na waandishi wa Habari katibu wa MACHINGA mkoa wa Iringa Joseph Kilienyi alisema kuwa uongozi wa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Bariadi Mjini kufanya biashara ya nafaka

    Kwema wadau mimi kijana mfanyabiashara mdogo wa vinywaji baridi kama soda, maji n k. Lengo kuu la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri wa kibiashara na kimaisha. Nimepata wazo la kutaka kuhamia mjini Bariadi ili niendeleze maisha huko pamoja na biashara zangu Kwa ambaye anapafahamu vizuri...
  3. JamiiForums Tanzania Natarajia kujivua Uraia wa Tanzania na kuhamia Marekani na kuondoka nchini Maisha

    Niliandika barua nikiwa Mahabusu 2018 Butimba gerezani ya kumuomba Rais wa Tanzania wakati huo John Magufuli ambaye sasa Yuko Motoni mwa milele (Fact spiritually). Nikimuelezea chanzo Cha Serikali kuniwekea vikwazo na mapingamizi mbalimbali ya Mimi DJ. DON NALIMISON kutofanikiwa kimaisha...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tangu vuguvugu la Mzee Lowassa hatuoni wala kusikia tena wimbi la wanaccm kuhamia CHADEMA. Tatizo nini?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kabla ya uchaguzi wa 2015 ilikuwa kawaida sana kwa CHADEMA kupokea mamia ya wanaccm waliokuwa wakieleza wazi kuwa aidha wameichoka CCM au wamevutiwa na CHADEMA. Hali hiyo kwa sasa haipo kabisa badala yake kila mara tunatangaziwa wanachama wa CHADEMA...
  5. JamiiForums Tanzania Tabora: Katibu wa CHADEMA Igunga aunga mkono juhudi na kuhamia na CCM

    MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM ATUA IGUNGA, AONGEA NA WANACHAMA NA KUKAGUA UJENZI WA WODI YA MAMA NA MTOTO "Katibu wa CHADEMA Jimbo la Igunga, aunga mkono juhudu za Mama Samia na kuhamia CCM" Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa wa Tabora Ndg. Afadhal Taibu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto Ujenzi wa Madarasa 12,000: Ukosefu wa Wahandisi Halmashauri Baada ya 70% kuhamia TARURA

    Asalam! Nianze kwa kuipongeza Serikali chini ya Rais Mama Samia kwa kuipa Elimu kipaumbele hasa eneo la miundo mbinu. Hili limekuwa likisumbua kila mwaka. Tunashukuru kwa kazi hii njema. Pili, baada ya miundo mbinu Sasa tumuombe Mama Samia Ajielekeze kwenye Walimu na Vifaa vya ufundishaji...
  7. JamiiForums Tanzania DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

    TAARIFA MPYA DV-2023 PROGRAM INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021, MWISHO NI TAREHE 9/11/2021. JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA. HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI. KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE. ANGALIZO: IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaolalamika kupanda kwa gharama za vifurushi vya internet hii ndio mitandao ya kuhamia kwa sasa

    Habari ya wikiendi wana JF wenzangu. Jana baada ya kutoka mishemishe jioni si nikasema ngoja nitumbukie vocha nichungulie kinachoendelea mitamdaoni. Nikapita dukani nikanunua Zantel ya 500 dhumuni nijiunge cha chuo ambacho ni MB 500 kwa siku 7 maana sina matumizi mengi ya data. Ile kupiga...
  9. JamiiForums Tanzania Car4Sale Chuma nyingine hii hapa kwa bei ya Kuhamia Burundi. Nissan March kwa 2mil only

    Gari imekaza. Gari inatembea mwendo mdundo Haina shida wala kelele Njoo na Mil 2 nikuachie sms 0625750755 gari za bei kitonga zipo. imebaki hii tu INAFUATA FORD XLT manual gear kwa milioni 7
  10. JamiiForums Tanzania Je, wajua ni marufuku kuhamia nyumba mpya bila kibali cha Manispaa?

    Habari wadau, Kama ulikuwa haujui leo ndio nakujulisha kwamba pindi unapomaliza kujenga nyumba yako ili uweze kuhamia unaitaji kibali toka Halmashauri husika kinaitwa "Certificate of Occupation"
  11. JamiiForums Tanzania Watoto wa Cristiano Rolnado baada ya baba yao kuhamia Man United

  12. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo kuhamia Manchester City

    Habari zinazozunguka mtandaoni hivi sasa ni kwamba mshambuliaji mahiri wa ureno na klabu ya Juventus anaweza kuhamia klabu ya Manchester City kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili nchini Uingereza. Inasemekana wakala wa mshambuliaji huyo Jorge Mendes anajaribu kuangalia uwezekano wa kufanya...
  13. JamiiForums Tanzania Usajili wa Lionel Messi utaifanya PSG kuwa ya moto sana

    Qatar confirms Lionel Messi is signing for PSG 10 hours ago / autty Developments regarding Lionel Messi's immediate future are coming quicker than anyone expected, and after Barcelona announced he wasn't staying as recently as Thursday night, the brother of the Emir of Qatar has confirmed that...
  14. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kagoma kuhamia imani yangu ili tufunge ndoa

    Baada ya safari ndefu ya mahusiano tumefikia hatua ya kufunga ndoa ila binti ni mkatoliki mimi msabato mpaka sasa hatujafikia mwafaka nani amfuate nwenzie japo kisheria tumezoea mwanamke anamfata mwanaume lakini yeye hataki na hayupo tiyali kuhama roma.
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Botswana naomba muongozo

    Wakuu habari zenu! Jamani mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nataka kubadilisha mazingira nihamie Botswana 🇧🇼 japo kibishi bishi ,naomba ushauri au connection. Asante.
  16. JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia kikazi Shule ya Mazoezi ya Chang'ombe - nifanye nini?

    Kwanza naomba ni declare interest kuwa mimi ni Mwalimu mwenye degree, mwenye kupenda maendeleo na Kipat0 kinachoendana na kazi yangu. Na sina connection Kituo changu cha kazi ni Halmashauri iliyopo kusini mwa Tanzania. Shule yangu iko mjini chini ya wizara ya TAMISEMI Nimekuwa interested...
  17. JamiiForums Tanzania Msigwa: bora nisiwe mbunge kuliko kuhamia CCM

    Katika mahojiano na mwandishi wa Star TV muheshimiwa Peter Msigwa asema aliitwa ofisini kwa spika ndugai akishawishiwa kuhamia ccm kwa malipo ya ubunge pia amezungumzia suala la wabunge wasio na chama maarufu kama covid 19
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ni kivipi Serikali itajiwajibisha Kwa upotevu wa mabilioni ya fedha kuhamia Dodoma kumbe ni geresha?

    Upole wtu ni mzuri na unapaswa uendelezwe Kwa kila mtu, lakini endapo tunataka tuondokane na kichefuchefu cha umasikini uliotopea, some time ni kuvunja upole wetu hasa linapokuja swala la masilahi ya nchi yetu Kwa ujumla, Ni Kwa namna gani serikali tunaweza kuiwajibisha inapotumia fedha zetu...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa halmashauri ya Wilaya ya Kibondo anataka kuhamia halmashauri ya Mpwapa, afanyeje?

    Wana bodi hebu saidieni, Huyu mtumishi wa halmashauri ya Kibondo Idara ya Manunuzi anataka kuhamia halmashauri ya Mpwapwa uhamisho wa kujitegemea bila kudai malipo yoyote afanyeje, hajui hata aanze vipi.
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoipa kipaumbele ikulu ya Dodoma: Je, kuhamia Chamwino ilikuwa matakwa binafsi ya Hayati Magufuli?

    Katika hali za sintofahamu juu ya utendaji wa tofauti sana kati ya rais wa sasa na yule aliekuwa mtangulizi wake, kwa muda mchache sana tumeona mengi yakibadilishwa kwa kasi ya kimbunga. Huku wengine wakihoji vipi mahusiano yao ya awali kati ya rais SSH na JPM kiushirikiano yalikuwaje kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…