Usajili wa Lionel Messi utaifanya PSG kuwa ya moto sana

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
6,725
2,000

Qatar confirms Lionel Messi is signing for PSG​

10 hours ago / autty​

Developments regarding Lionel Messi's immediate future are coming quicker than anyone expected, and after Barcelona announced he wasn't staying as recently as Thursday night, the brother of the Emir of Qatar has confirmed that the Argentine is signing for Paris Saint-Germain.

Khalid bin Hamad Bin Khalifa Al-Thani, who is the brother of the Emir who owns PSG, confirmed in a social media post that the negotiations with Messi were complete and an announcement would soon follow.

"Negotiations are officially concluded, there will be an announcement later #Messi," Al-Thani posted on Twitter.

This news comes as no surprise as Pep Guardiola ruled Manchester City out of the running to sign Messi in his pre-match press conference on Friday, and it's obvious only the two state-owned clubs would be able to afford to sign Messi.

In their quest to win the Champions League, PSG have now turned to proven winners, with Sergio Ramos and Messi bringing eight Champions League trophies between them to the Parc des Princes dressing room.

Related:

1628328420893.jpg
 
Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
6,725
2,000
Messi kajaa mwenyewe kwa PSG, tatizo PSG mabishoo wengi sio watu wa kazi.
Hapana aisee. Waru kama Di Maria, Verratti ni watu wa kazi sana. Mbape kila mmoja anajua shughuli yake. Sema timu inapokuwa na mastaa wengi kocha anapata tabu jinsi ya kupanga kikosi.

Ni kama ilivyokuwa kwa France kwenye Euro iliyopita. Mastaa kibao ila walipigwa kirahisi tu.
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
202,206
2,000
Romano: PSG are offering Messi €35m until 2023, plus option to extend until 2024

Leo Messi and his father Jorge are waiting for Paris Saint-Germain official contract proposal to arrive this weekend, in order to complete the agreement. Leo’s open to accept.

PSG are offering €35m [add ons included] until 2023, plus option to extend until 2024.
 
Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
6,725
2,000
Messi kajaa mwenyewe kwa PSG, tatizo PSG mabishoo wengi sio watu wa kazi.
Hapana aisee. Watu kama Di Maria, Verratti ni watu wa kazi sana. Mbape kila mmoja anajua shughuli yake. Sema timu inapokuwa na mastaa wengi kocha anapata tabu jinsi ya kupanga kikosi.

Ni kama ilivyokuwa kwa France kwenye Euro iliyopita. Mastaa kibao ila walipigwa kirahisi tu.
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
202,206
2,000
Club nyingine zinamuweza tatizo umri tu ndo maana wanamuangalia kwa mbali. Man city kamsain grealish kwa £100m atashindwaje hio £ 35m(price ya Messi kwa sasa daah kutoka priceless)
PSF ndio club itakayomudu gharama za malopo ya messikwa sasa. Na hii corona sioni kama kuna club nyingine itakayoweza kumudu.
 
STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,783
2,000
Anaenda kuifilisi PSG huyu na mtaona, labda wampe mkataba wa miaka miwili kwanza wangalie mapato watakayopata
 
Otterhound

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
2,984
2,000
Hapana aisee. Waru kama Di Maria, Verratti ni watu wa kazi sana. Mbape kila mmoja anajua shughuli yake. Sema timu inapokuwa na mastaa wengi kocha anapata tabu jinsi ya kupanga kikosi.

Ni kama ilivyokuwa kwa France kwenye Euro iliyopita. Mastaa kibao ila walipigwa kirahisi tu.

Nikweri hao uliowataja ni watu wa kazi. Neymar akae benchi, kipindi cha pili awe anaingia.
 
Otterhound

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
2,984
2,000
Nampendaga Ramos ye ndo atafanya nishanbikie PSG mweeh!sikutegemea hii kitu Ramos na Messi pamoko,Mbape na Neymar

Washukulu mno Messi anaungananao, matumaini yapo ya kutwaa ubingwa. Sema uyo neymar wamwangarie sana, ataicost timu. Adhawaizi wamweke benchi. Second half aingie
 
ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
15,716
2,000

Qatar confirms Lionel Messi is signing for PSG​

10 hours ago / autty​

Developments regarding Lionel Messi's immediate future are coming quicker than anyone expected, and after Barcelona announced he wasn't staying as recently as Thursday night, the brother of the Emir of Qatar has confirmed that the Argentine is signing for Paris Saint-Germain.

Khalid bin Hamad Bin Khalifa Al-Thani, who is the brother of the Emir who owns PSG, confirmed in a social media post that the negotiations with Messi were complete and an announcement would soon follow.

"Negotiations are officially concluded, there will be an announcement later #Messi," Al-Thani posted on Twitter.

This news comes as no surprise as Pep Guardiola ruled Manchester City out of the running to sign Messi in his pre-match press conference on Friday, and it's obvious only the two state-owned clubs would be able to afford to sign Messi.

In their quest to win the Champions League, PSG have now turned to proven winners, with Sergio Ramos and Messi bringing eight Champions League trophies between them to the Parc des Princes dressing room.

Related:

View attachment 1883803
Uefa hawabebi kamwe hawa.....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom