kuhama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kwa wale wenye ndoto za kuhama nchi kwa ajili ya utafututaji

    Habari zenu wanajukwaa, Lengo la huu uzi ni kupeana Connection nje ya nchi hususani Fursa za kazi na ushauri kwa watu ambao wameshaishi nje ya nchi na ambao wako nje ya nchi Kwa hiyo kwa wale wenye michongo nje ya nchi basi tupeane coz humu JamiiForums kuna Diaspora wengi tunaweza saidiana...
  2. Knock life

    JamiiForums Tanzania Tanzania hamna vyama vya upinzani , kijana usithubutu ! Ku-sacrifice maisha yako kisa siasa

    Nyote mmejionea kilichotokea leo kuwa siasa ni uongo . So usiandamane , usimwage damu na kutukana MTU kisa siasa.
  3. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa

    Tamisemi imesema , kwa sasa hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa.. Katika taarifa hiyo hawajaeleza kama sheria imebadirishwa kuzuia watumishi kuhama kutokana na ssbabu mbalimbali kama ilivyo kuwa mwanzo kama kufuata wenza etc. Wengi wameonyesha kuto kuridhishwa na kauli hiyo...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Natangaza kuhama Kwa muda jamii sport

    Nimeamua kuhamia jukwaa la siasa Sasa Napumzika ubishi wa Simba na Yanga Nataka nianze kujadili mawazo mazito ya siasa Nina akili na maarifa makubwa ambayo yanaweza kusaidia Taifa Tujadili uchaguzi na maendeleo ya Taifa letu Tujadili rasimali zetu zinazopotea midomoni mwa mbwa mwitu Mijadala ya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mpangaji afungiwa ndani Saa 27 na Mmiliki wa nyumba kwa madai ya kukiuka Notisi ya kuhama

    Wakuu, huu ni Uungwana kweli? Huko Marogoro mwenye nyumba kamfungia ndani saa 27 mpangaji kisa amekiuka notisi Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mmiliki wa nyumba Plot namba 149 BLOCK ‘A’ Kihonda Kilimanjaro, Dk. Lusako Mwakiruma ilioyopo Mtaa wa Kilimanjaro Manispaa ya Morogoro, amemfungia...
  6. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Heko Utumishi, ila maombi ya kuhama kupitia kwa waajiri, ni pigo kubwa sana kwa watumishi

    Ni kuhusu hii taarifa ya utumishi kuruhusu watumishi kufuata wenza wao wa ndoa. Kwanza niwapongeze utumishi kuliona hili kwamba ni tatizo ndani ya utumishi, familia nyingi na ndoa zimeparanganyika kwasababu ya haya maamuzi ya kumpangia kazi mtumishi mbali na familia na mwenza wake. Ila sasa...
  7. Zee la madawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa aliyekuwepo morogoro au mpanda ili niweze kuhama

    Wakuu kama kuna mwanamke hapa mwajiriwa aliyepo morogoro au mpanda nifunge nae ndoa ili niweze kuhama huku niliko wilaya ya pangani mkoa wa Tanga mimi ni muajiriwa sekta ya Afya maana huku niliko nahisi nitakufa masikini kwa kujitakia!Tafadhalini ajitokeze PM iko wazi......
  8. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri namna ya kuhama kozi chuo cha udom

    Samahani viongoz wangu!Nilikuwa naomba mnisaidie je naweza kuhama kozi katika chuo cha udom kutoka nursing kwenda pharmacy au md nanabidi nifuate hatua zp? Na itakuaje kuhusu mkopo? Naomben msaada wenu nilikuwa pcb ufaul wa CBC yan points 8
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CHADEMA ikiondoka kwenye misingi iliyonifanya nijiunge nacho, nitaondoka. CHADEMA siyo mama yangu wala dini yangu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara, Tundu Lissu amsema iwacha CHADEMA itaacha misingi yake ailiyomfanya ajiunge na chama hicho basi ataondoka katika chama hicho na sio dhambi kufanya kuvyo kwani Chama cha Siasa sio mama yake wa dini yake Akizungumza kupitia Mtandao wa Clubhouse amesema "Mwalimu...
  11. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine kupitia ESS naomba msaada wenu

    Naombeni mnifahamishe utaratibu mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine hapa inakuwaje.. Naona inakuja option ya kuchagua mikoa badala ya kuja orodha ya taasisi then nichague taasisi ninayoitaka/ninayoitaka kuhamia. Hapa panakuwaje wakuu..?
  12. Yofav

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kuhama kutoka kuwa mteja wa benki ya Nmb ni benki gani nzuri kufanya saving?

    WAKUU HII BENKI IMENISHINDA TABIA, SASA MTU KUANGALIA TU SALIO LANGU WASHAKULA 3500 SASA KAMA HUU⬆️ SIO UNGESE NI NINI? Naombeni ushauri ni benki gan niwe naweka akiba zangu.
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laanza kukumbwa na ukata wa askari mfano yaliyoikuta Ukraine. Ndio sababu wanashambulia na kuhama maeneo. Askari wote 15000 wametumika

    Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina upungufu mkubwa wa askari. Kwa mujibu wa mtandao huo wa ufuatiliaji vita imeelezwa kuwa askari wote...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakazi innocent wa gaza wanajua kabisa ghorofa ulilokaa kuna huenda chini kuna hamas na unashindwa kuondoka si heri ukakae baharini

    Mimi sishabikii upande wowote wa hii vita ila Kwa hali ya kawaida kama kweli huwaungi mkono vijana wa hamas na ni mkazi wa Gaza si unahama kabisa kwanini Mpaka watoe taarifa kwamba muondoke nyie bado mmetulia ndani. Israeli anafanya kuhangaisha watu sio jambo jema na ilikuwaje hamas wanajenga...
  15. Jackal

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Vikosi vya Israel vyawataka wakazi wa Rafah kuhama wakati vikijianda kushambulia

    The Israel Defense Forces has begun calling on residents of eastern Rafah to evacuate to a new, expanded humanitarian zone ahead of a major military offensive in the city, the final Hamas bastion in Gaza, the army announced on Monday morning. The IDF has marked out two evacuation zones: An...
  16. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Why Simba make antetionKambi ya yanga ni bora?

    Simba sc wameweka kambi ya 4 Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga,waliwai kufanya ivyo dhidi ya Alhaly. Ikumbukwe Simba pre season ilifanyika Uturuki,tofauti na watani zao mara zote wameonekana kutulia kwenye kambi yao Kigambani, wanapunguza matumizi ya...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Ole wako!! Ukiwa muislam kwenye nchi hizi usithubutu kuhama dini, adhabu ni kifo

    MUHIMU: Kama kuna nchi katika hii orodha haiui wanaobadili dini naombeni tuelimishane nifanye marekebisho Kosa la kuhama dini katika nchi hizi linaitwa APOSTASY, Hukumu ni KIFO Wanaobadili dini wengi wao huchukua maamuzi hayo pindi wakiwa watu wazima wenye utimamu baada ya kuzichambua dini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi kuhama kituo cha kazi lakini taarifa zake bado zinasomeka kituo cha zamani

    Habarini za majukumu wana JF, Kuna ndugu yangu ni mwalimu alifanya mchakato wa kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na kufanikiwa lakini uhamisho wake ni ule wa kimchakato zaidi sio ule wa kufuata procedure za step by step kwenye halimashauri. alipata barua ya uhamisho...
  19. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwahi kutana na mpenzi wako ambae mlipotezana bila mawasiliano huku penzi likiwa moto? Mliendelea mlipoishia?

    Inatokea kuna umepata mwenzako penzi ni moto ila ghafla mkapotezana bila mawasiliano hata kwa miaka kumi Ghafla mnakutana upya hasa ukiwa kwenye ndoa ama mwenzako akiwa kwenye ndoa Je uliwahi kutana na aina hii kitu ?
  20. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 60 sasa tangu mchezaji wa mwisho kuhama moja kwa moja kutoka Man Utd kwenda Liverpool

    Phil Chisnall anabakia katika vitabu vya kumbukumbu kama mchezaji wa mwisho kuhama direct toka Man Utd kwenda Liverpool baada ya hapo haijawahi kutokea tena. Alifanya uhamisho huo mwaka 1964. Man Utd & Liverpool ni wapinzani kweli katika mpira na uhasama wao ulifanya mechi zao ziwe zinachezwa...
Back
Top Bottom