kufutwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yalaani kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima, wadai ni dhuluma na ukiukwaji wa uhuru wa kuabudu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma > ACT Wazalendo...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali isitishe kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima

    Chama cha ACT Wazalendo leo Juni 03, 2025 kimeitaka Serikali ya Tanzania kusitisha hatua ya kulifuta Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo linaongozwa na Askofu Josephat Gwajima. Katika taarifa yao, ACT Wazalendo imesema kuwa kulifungia kanisa hilo kunakiuka haki ya uhuru wa maoni na kukusanyika...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Heche kumtunishia misuli msajili wa vyama – analazimisha CHADEMA kufutwa?

    Vyama vya siasa nchini vinaendeshwa kwa mujibu wa sheria, na Msajili wa Vyama vya Siasa ana jukumu la kuhakikisha kuwa sheria hizo zinatekelezwa ipasavyo. Hakuna chama kilicho juu ya sheria. Lakini ni wazi kwamba baadhi ya viongozi wa juu ndani ya CHADEMA, akiwemo John Heche, wameamua kwa...
  4. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Gwajima kufutwa uanachama, kugombea Urais...

    Good morning wadanganyika, Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo. Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wazungu waliacha kuamini uchawi na kuua wachawi ? nini sababu ya kufutwa kwa Witch hunting ulaya na marekani ?

    Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na...
  6. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

    Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria. Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili. JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wajue Wazelote, magaidi wa Kiisraeli waliotamalaki enzi zile za Yesu, husemekana kuwa ndio kundi la kwanza la magaidi duniani

    Kaskazini mwa nchi ya Israeli, kwenye miteremko ya milima ya Golani, (Golan Heights) ndani ya kijiji kiitwacho Gamala, katika jimbo la Galilaya, alizaliwa kijana mmoja aliyepewa jina la Yuda. Kijana Yuda alikuja kuwa mtu msumbufu nzima ya Israeli! Kipindi hicho Waisraeli walikuwa wakipitia...
  8. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kwa Mchakato wa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania ( TOC)

    Katiba ya mchongo imemlazimu Msajili kufuta uchaguzi wa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC).
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa inayoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, ambamo ndani yake utapata links za matukio yote yanayojiri katika mikoa husika, mpaka kufikia kwenye matokeo ya uchaguzi huo. ==== Mwaka huu 2024 Tanzania Bara...
  10. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

    Donald Trump, katika kampeni zake za uchaguzi wa 2024, ameonyesha msimamo mkali zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko alivyofanya katika kampeni zake za awali. Ingawa wakati wa kampeni zake za mwaka 2016 na urais wake wa awali alijaribu kuepuka kuonyesha upinzani wa wazi kwa haki za LGBT, hivi...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Lebanon inaenda kufutwa kama Gaza

    Katika kitu ambacho wavaa kobazi wanakiogopa ni kuwatajia jina la hii nchi ya Israel mtoa roho aisee hii nchi inatembeza vichapo vya mbwa Koko Kwa Hawa wavaa magauni sio poa baada ya kuifuta Gaza huyu myahudi sio mtu mzuri aisee anataka kuifutilia mbali Lebanon maana sio Kwa kichapo hichi...
  12. CCM MKAMBARANI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote

    Wanajukwaa habari zenu? Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake. Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea...
  13. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Muungano, napendekeza kufutwa kwa kombe la Mapinduzi tubakize kombe la Muungano peke yake ambalo kilele chake kitakuwa siku ya Muungano

    Habari za Leo wapenda soccer? Natumai kichwa/title ya thread hii imejieleza vizuri. Nimewaza nikaona nitumie platform hii kwenu ili kama itawezekana, tushawishi viongozi wa mpira kuiondoa michuano ya Mapinduzi cup na badala yake tubaki na Muungano cup. Nasema hivi siyo kwa lengo la kisiasa ila...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Zimbabwe waunga mkono kufutwa kwa adhabu ya Kifo nchini humo

    ZIMBABWE: Waziri wa Habari wa Zimbabwe, Jenfan Muswere amesema Bunge la nchi hiyo limekubaliana na pendekezo la Serikali kufanya mabadiliko ya Sheria ya Adhabu yanayotaka kufutwa moja kwa moja kwa hukumu za Kifo. Waziri huyo amesema uamuzi huo unatokanana na Maoni ya Wananchi ambapo wengi...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bungeni: Serikali yapendekeza kufutwa kwa Ada ya kupewa Kadi mpya ya Mpigakura

    Akiwasilisha maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023, Waziri Jenista Muhagama (Waziri wa Nchi, Bunge na Uratibu) amesema Serikali inapendekeza ibara za 12, 20 na 21 zifanyiwe marekebisho kwa kuongeza hali ya Ulemavu kuwa miongoni mwa taarifa...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa yafanyika Morocco kutaka kufutwa mahusiano na Israel

    Japokuwa Morrocco wamekuwa wakiandamana mara kwa mara dhidi ya Israel, lakini maandamano ya jana disema 24 ndiyo makubwa zaidi kufanyika kwa ajili ya kuitaka nchi yao kusitisha mahusiano yote yaliyokubaliwa mwaka 2020. Maandamano hayo yaliyosimamiwa na chama cha Kiislamu cha Al adl wal ihsan...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Paza sauti, taja taasisi za umma/serikali ambazo zinapaswa kufutwa, kubinafsishwa au kuunganishwa. Jana serikali imethubutu, lakini bado uchafu upo

    Hello! Natanguliza shukrani kwa serikali kwa uamuzi makini wa kufuta baadhi ya taasisi zake na zingine kuziunganisha. Nadhani ni mwaka jana kama sijakosea nilileta uzi wa kutaka serikali ifute au iunganishe baadhi ya taasisi zake kwakuwa zingine zimekuwa mzigo na zingine kukosa ufanisi. Few...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika na Taasisi za Umma zinazostahili kufutwa na zile zinazostahili kuunganishwa

    Wakati serikali ikiendelea na zoezi la kuunganisha na kufuta baadhi ya Taasisi na Mashirika ya Umma, nashauri tutoe maoni na mapendekezo juu ya mashirika na taasisi zinazostahiili kuunganishwa pamoja na zile zinazostahili kufutwa. Nia na madhumuni ni kuishauri serikali ili isije kufanya makosa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hivi sheria ya offside haiwezi kufutwa?

    Labda niulize wataalamu wa soka hii sheria ikifutwa madhara yake yatakuwa ni nini? Na msingi wa hii sheria ni nini? Hivi hata kucheza offside trick sio ushahidi kuwa sometimes hii sheria inatumika vibaya na ni sababu nyingine ya hii sheria kufutwa?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwakasege na Martha Mwaipaja wamshitaki Mbarikiwa na hivyo account yake YouTube hatarini kufutwa

    Anaandika mwakipesile mbarikiwa Christopher & diana mwakasege pamoja na martha mwaipaya wamemshitaki mbarikiwa youtube na account ya mbarikiwa hatarini kufutwa (huo ujumbe ulio katika picha hapo chini umetoka youtube na umeeleza hayo). Hawa na wafuasi wao ndio moja ya wahubiri wanaosema kuwa...
Back
Top Bottom