Kinacho endelea awamu hii ni kufuru.
Watu wanapiga pesa, watu wana shusha mijengo.
Na tukienda hivi mpaka 2030..
Hakika, kuna mijitu inajichotea mali mpaka basi.
Shame on us ambao hatuko kwenye hio Mifereji..
Ukweli ni kwamba, nani asiyependa pesa? Tutakaa tunaongea sana, ila hakuna anaye...