kufuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii sasa ni kufuru ya Pesa: Mohamed Salah apewa offer ya mshahara wa Pound 2.45M kwa wiki na Al Ittihad ya Saudi Arabia!

    Huko Saudi Arabia waarabu wameamua kumwaga pesa kama mawe!! Timu ya Al Ittihad ambao ni mabingwa wa Saudi Arabia wamempandia dau Mohamed Salah la kufa mtu. Kwanza wametoa offer ya uhamisho kutoka liverpool ambayo ni rekodi mpya ya dunia., offer ya USD 270M. Awali Liverpool walikataa offer ya USD...
  2. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

    sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu. Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa yaliletwa na kontena mbili zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce &...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopinga Mkataba wa DP World vijiweni ila kwenye media wanasifia na kumsifia kwa kufuru Rais

    Tunakoelekea sasa Mheshimiwa Rais Samia tutakutajia Watendaji wako (hasa Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya) wenye Unafiki mkubwa ambao GENTAMYCINE huwa napata Taarifa zao kupitia kukutana nao baadhi, Wanafamilia Wao, Ndugu zao, Madereva, Wasaidizi Ofisini na Walinzi wao na hata...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Haijawahi tokea, ni kufuru! Yanga yachangiwa zaidi ya tiketi elfu 30 kutoka kwa Rais, Wizara, viongozi, Mabenki, na bado zoezi linaendelea

    MUHIMU: Hawa wahusika wameguswa na mafanikio ya yanga na ni wao kwa hiari yao wameamua kushow love wameongeza hamasa kwa kuwanuulia mashabiki tiketi, wala hawakuombwa wala kulazimishwa. Rais wa nchi - Tiketi 5,000 Wizara ya Michezo>BMT -Tiketi 10,000 Benki ya NBC - Tiketi 5,000 Benki ya...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Msafara mrefu wa magari ziara za Mbowe ni kufuru, Chama kifanye mapitio

    Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti. Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
  7. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Yanga na kufuru ya kujaza Maestro na kuua viwango vya wachezaji wazawa

    Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara mpaka Simba wanatamani kubaki arabuni wacheze ligi hiyo au wahamie ligi ya Burundi maana Huku tz...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ronaldo na kufuru yake nchini Saudi Arabia

    Cristiano Ronaldo, familia yake pamoja na wapambe wake wataishi kwenye hoteli moja balaa sana nchini Saudi Arabia ambapo watamiliki jumla ya vyumba 17 na watakuwa wakizilipia jumla ya dola za kimarekani 300,000 kwa mwezi sawa na zaidi ya shilingi milioni 650 za kitanzania kwa mwezi. Sasa jamaa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kufuru hizi anaziona mwenye Mamlaka Mbinguni na Duniani .Viongozi wa dini semeni neno mhesabiwe

    Wengine jana wanesema watu wazuri hawafi, na wengine wamekuja na bango la aina hii. Sisi wengine kazi yetu ni kuonya na kushauri ni kisha kuhesabu siku tu. Kuna mtu alifananishwa na Mungu wakati ule bado yupo ofisini. Watu wakaonya wakapuzwa, ila leo mtu huyo hayupo na bado hamjajifunza...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Tuliwaambia kugusa NATO ni kufuru, Urusi ajitetea sana hakuhusika na shambulizi la Poland

    Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye mpaka wa Poland na kuua watu wawili, Urusi wamekimbilia kukatalia mbali...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka imchunguze Waziri wa Fedha Dk. Nchemba kwani kufuru anazozifanya kwa timu yake ya Singida Big Stars zinatia shaka

    Kama hanyofoi pesa za Mama(Rais) za hazina kufanyia kufuru Klabu yake ya Singida Big Stars basi atuambie hizo pesa anazitoa wapi. Halafu mwambieni aache kuzuga na kuficha kuwa yeye si mwenye timu hiyo ya Singida Big Stars ili labda bosi wake mkuu asijue. Ukweli ni kwamba kwa 99.9% yeye ndiyo...
  12. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wazungu wamechafukwa, lango la Kilimanjaro na Zanzibar hapa Bole ni kufuru

    Wakuu nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza. Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi. Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa. Ngongo kwa sasa Addis Ababa Bole International Airport
Back
Top Bottom