I am proud kwamba bado nikiwa kijana nime debunk utapeli wa dini na itikadi katika maisha yangu.
Thus kwa maana hio, nitakufa sio kama mtumwa wa kitu ambacho ili bidi babu yangu acharazwe viboko na kuteswa ndio akipokee.
Nitakufa nikijua, sijakubali itikadi yoyote ile ishinde utashi ulio asili...
Shutuma hii inawapa watu wengi maswali wakijiuliza anasa kwa vijana wa Kizanzibari imekithiri kwa kiwango gani hata kufikia kupeleka malalamiko mitandaoni
Je haya yasemwayo ni kweli vijana wa Kizanzibari wanayafanya?
Binafsi nawachukulia vijana wa kizanzibari kama watu wapole na wanyeyekevu...
Air Force One kabla haijatua Qatar, ilisindikizwa na F-15 za Qatar.
Walipotua, msafara wa magari uliongozwa na Cybertrucks nyekundu.
Ongezea na askari waliopanda ngamia.
Hawa Qatar naona wanamjua vizuri Trump maana hayo ndo mambo anayoyapenda.
Ukiongeza na lile dege wanalotaka kumpa bure...
Na mimi nimeungana kucheka na waombolezaji wengine kwa kweli.
Nilivyoelewa ni kwamba kipindi hiki cha Uchaguzi Mungu wanamuweka pembeni kwanza wakati huo huo wanawaambia viongozi wa dini ombeeni Uchaguzi.
Haya ngoja tuone yafuatayo sasa kwenye uchaguzi huu baada ya kauli hiyo ya Spika wa...
Yale mabasi ya CCM ya rangi ya kijani yamewakera mno watanzania kwani wao wametafsiri ni kufru na upotevu wa Hela zao (watanzania wanaamini Ile ni Kodi yao na sio vyanzo halali vya ccm) kiufupi maskini wa nchi wanaona mmewaringishia Tena January hii wakati wao hawana ada za watoto wao.
Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni...
Wakati ambao Poland (wanaopinga kupokea uhamiaji holela) wana enjoy kwa amani maandalizi ya Christmas...
Wao Ujerumani wanalipia kwa damu kutokana na huruma na msaada wao wenyewe.
Huyu jamaa ni mmoja ya Waarabu wengi waishio Ulaya kwa amani na utulivu. Vitu ambavyo hawakuvipata walipokuwa...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuna bendi moja iliitwa Mviko Sound ,ilikuwa ikimilikiwa na mmoja wa wanafamilia yetu
Kufikia mwaka 2004 bendi ikafa,huyu ndugu yangu akasema ni bora kuwa na wanawaje kumi kuliko kumiliki bendi.
Wanawake kumi unaweza kuwatumia kama nguvu kazi au hata wakakuzalia...
Wakuu Kwema? Bila shaka muko salama.
Mwezi uliopita Nilikuwa Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Baada ya mke wangu Kuhamishiwa hapo baaada ya Kupewa Rufaa kutoka Kituo cha Afya ambapo alienda Kujifungua. Alienda Hospitali ya kawaida baade madaktari wakashauri awahimishwe Hospitali ya Taifa...
Kampuni ya Google imepigwa faini ya rubles bilioni 2 (takriban $2.5 decillion) nchini Urusi kwa kukataa kufungua akaunti za pro-Kremlin na vyombo vya habari vya serikali, kama ilivyoripotiwa na RBC.
Adhabu hizo zilianza kwa kutozwa faini ya kila siku ya rubles 100,000 mwaka wa 2020, ikiongezeka...
Nasikia hiyo Hela ni sawa na Shilingi Milioni Tano na Laki fulani hivi kwa hapa Tanzania na sawa na Dola za Kimarekani 2,400 ambao ni Mshahara wa Mawaziri Waandamizi wote wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Nimetoka Uganda mara ya mwisho mwaka 2002 baada ya kuwa huko kwa Miaka Sita ya...
Na milichokisahau tu ni kwamba kiuchawi na kwa dua hamuwaweza waarabu hivyo mnapoteza mno muda wenu
Pia labda niwasaidieni tu kwa kuwaambia kuwa kama ni kufanya michezo michafu (ya nje ya uwanja) hao waarabu ndiyo walimu hivyo hamtowaweza
Na msisahau kuwa hata mliowafunga kwa mtindo wa tigo...
Mshahara wa Ronaldo ni kama ifuatavyo:
Ronaldo's mind-boggling new salary equates to:
Monthly: $17.75m
Weekly: $4.43m
Daily: $633,928
Hourly: $24,413
Per minute: $406.88
Per second: $6.78
Kwa pesa za Tanzania (leo $1=Tsh 2500/=):
Kwa mwezi: 44,375,000,000/= (Tsh bilioni 44.375)
Kwa wiki...
Huko Saudi Arabia waarabu wameamua kumwaga pesa kama mawe!! Timu ya Al Ittihad ambao ni mabingwa wa Saudi Arabia wamempandia dau Mohamed Salah la kufa mtu. Kwanza wametoa offer ya uhamisho kutoka liverpool ambayo ni rekodi mpya ya dunia., offer ya USD 270M. Awali Liverpool walikataa offer ya USD...
sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga
Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu.
Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa yaliletwa na kontena mbili
zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce &...
Tunakoelekea sasa Mheshimiwa Rais Samia tutakutajia Watendaji wako (hasa Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya) wenye Unafiki mkubwa ambao GENTAMYCINE huwa napata Taarifa zao kupitia kukutana nao baadhi, Wanafamilia Wao, Ndugu zao, Madereva, Wasaidizi Ofisini na Walinzi wao na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.