kufungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Greatest Of All Time

    Tupia utabiri wako kuelekea kufungwa kwa dirisha la EPL leo jumapili

    Leo jumapili 22/05/2022, dirisha la EPL litakuwa linafungwa huku bingwa akiwa bado hajapatikana. Man City na Liverpool watakuwa wanawabia ubingwa. Huku kukiwa na tofauti ya point moja tu. Man City itashuka dimbani Etihad kuwakaribisha Aston Villa huku ushindi ukiwahakikishia ubingwa. Liverpool...
  2. M

    Inawezekana yanga akamaliza ligi bila kufungwa

    Ndivyo ilivyo kwa maana asilimia 90 ya mechi ngumu kamaliza, Namungo, Azam, Simba, kmc,geita gold, hizo zote amepenya, sasa amebakiza asilimia 10 tu kwa biashara, mbeya city na dodoma jiji, Pongezi kubwa kwa kamati ya usajili msimu huu walijitahidsana👏👏👏👏👏
  3. BigTall

    Serikali: Mteja ana haki ya kuona cheti cha mtoa huduma wa duka la dawa

    Wizara ya Afya kupitia Baraza la Famasi Tanzania itayafungia maduka yote ya dawa ambayo hayajasajiliwa wala kuwa na vibali na kuchukua hatua za kisheria. Hayo yamebainishwa leo jijini Dar es Salaam na Msajili wa Baraza la Famasi Bi.Elizabeth Shekhalage wakati wa ukaguzi unaoendelea nchini...
  4. S

    Hii habari ya daraja la Tanzanite kufungwa kwa ajili ya maboresho ni ya kweli?

    Nimeona hii taarifa katika mtandao wa twitter muda huu ila nashindwa kuamini hata kama ni maboresho. Ni tweet ya Haki Ngowi.
  5. kavulata

    Timu inayofungwa 3-0 inakuzaje utalii nchini?

    TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini. Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe...
  6. Nyendo

    Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana. Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya...
  7. GENTAMYCINE

    Safi sana Kipa Johora kwa kuwakomesha leo Wanafiki Wakubwa Yanga SC na Kukubali Kufungwa Kiulaini zile Goli 9 za Penati Zanzibar

    Yaani wameshakudharau kwa kukuletea Kipa Mwenzako Msheli ambayo Kwako bado ni Kinda na hata hakufikii Kiuzoefu halafu muda mwingi huwa hudaki na leo wasivyo na hata na aibu wakata ukawabebe katika Mikwaju ya Penati na Wewe ukawa unaruka Ushahidi tu. Johora Mola kakulipia Machungu yako.
  8. K

    Waziri Ummy, zipo shule zimepania kukaidi agizo lako la shule zote kufungwa

    Kwa kushirikiana na waziri wa elimu waziri Ummy Mwalimu aliagiza shule zote zifungwe na wanafunzi wote warudi nyumbani, wapumzike. Lakini kumekuwa na ubishi wa kimyakimya na baadhi ya shuke tayari zimeshatoa agizo kwa wanafunzi hao warudi baada ya wiki moja tu. Hii ni dharau kana kwamba shule...
  9. kavulata

    Timu ndogo kubalini kufungwa na Simba na Yanga ili mpone.

    Baada ya mechi za Simba au Yanga kufanya vizuri mechi zinazofuata timu ndogo hazifanyi vizuri, zinafungwa na timu ndogo wenzao. Hii inatokana na makocha au wachezaji wenyewe wa timu ndogo kwa sababu zao kutumia nguvu nyingi sana kupita kiasi kutaka kulazimisha kuzifinga Simba na Yanga kwa...
  10. demigod

    Ninaipenda Taifa Stars Ila Nasikitika Kusema kuwa Inaendwa kufungwa na DR Congo pale pale Kwa Mkapa

    Taifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani. Kwa mfano inaweza kukupa matumaini mazuri kuwa wako fit na wako poa lakini inangoja kipindi kizuri ambacho kila mtanzania anaiaminia. Hiko ndiko kipindi ambacho Taifa Stars inaenda kuvunja mioyo yetu. Mimi...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Wafahamu manabii waliokaa mahabusu na kufungwa jela (ikiwamo kwa sababu za kisiasa)

    WAFAHAMU MANABII WALIOKAA JELA , (WENGI SABABU ZA KISIASA) Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kipimo namba moja cha Nabii au mtumishi wa Mungu ni HAKI, Ikiwa nabii au mtumishi wa Mungu hatakuwa na sifa hiyo basi ni wazi yeye sio nabii wala sio mtumishi wa Mungu, huwaga nawaitaga wahuni tu. Mtumishi...
  12. ESPRESSO COFFEE

    Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

    NBC Premier League kuendelea leo. Mabingwa watetezi Simba SC wakitoka kupata sare mchezo uliopita, leo saa 1:00 usiku kuwaalika Namungo FC ambao nao pia walitoka sare mchezo wao uliopita. Je, leo nani kuondoka na alama 3? Kwa upande wa Simba, Mkude Anarejea katika nafasi ya kiungo baada ya kuwa...
  13. Erythrocyte

    Kinachomuondoa Didier Gomez Da Rosa ni Mshahara mkubwa, siyo kipigo

    Huyu ni miongoni mwa makocha wanaolipwa hela nyingi, si kocha wa bei rahisi, halipwi kama Kishingo. Ni kocha wa mshahara kama wa Uchebe. Ikumbukwe kwamba MO halipi mshahara wa kocha wa Simba kutoka mfukoni mwake kama wengi wanavyodhani , alilipa kutokana na fungu ambalo Simba walikuwa wanapata...
  14. MabatiBeiNafuu

    Tamaa za pesa zimetuponza Simba, tumesajili kimhemko. Sijasikitika sana

    Wakuu hii Simba ukiangalia ni mbovu sana hairidhishi hata kuiangalia. Hata tuliposhinda kule Botswana wala sikufurahia jinsi timu ilivyocheza. Hii timu haionekani hata ikitafuta ushindi. Tulicheza vibaya sana na timu ilionekana kuelemewa basi tu bahati ilikuwa kwetu. Kocha ameshindwa hata...
  15. Greatest Of All Time

    Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

    Bilionea Mo ametoka ku-tweet muda si mrefu, Wana Simba mnasemaje? Hali tete
  16. M

    Baada ya kuona jinsi Chelsea ilivyoteseka kwa Brentford, nikaelewa Arsenal hakuwa na namna nyingine zaidi ya kufungwa!

    Brentford wanaupiga mwingi sana, has a wakiwa nyumbani. Watu wengi waliwadharau sana Arsenal walipofungwa 2 bila na Brentford mechi ya mwanzo. Kusema ukweli haka katimu kalikopanda daraja mwaka huu ni moto wa kuotea mbali! Mashabiki wa Chelsea walipata wakati mgumu sana kipindi cha pili...
  17. Frustration

    Simba SC kufungwa goli moja

    Be Sports wameonyesha utabiri wa Simba kupoteza mechi ya leo. Najua Yanga wataisapoti analysis hii na Simba fans wataiponda na hii ndio raha ya mpira duniani
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    Ilikuwaje mpaka ACP Abdallah Zombe akanusurika kufungwa?

    Ushahidi uko wazi kabisa juu ya order alizotoa kwenye mauaji yale ya wafanyabiashara ikawaje yeye hakukutwa na hatia? Inanikumbusha picha moja ya kihindi inaitwa "Andha Kanoon" maana yake "Sheria Kipofu" Wakuu ilikuwaje mpk Zombe akanusurika kufungwa? Karibuni
  19. Cambodian

    Simba na Man Utd kufungwa weekend itakuwa tulivu sana

    Simba 0 Yanga 1 Man Utd 0 Villa 1
  20. M

    Kwanini Mightier sijachukia Simba SC yangu Kufungwa Goli 1 kwa 0 na TP Mazembe katika Simba Day na bado nina Furaha kwa Mbungi Kubwa iliyopigwa?

    1. Nimefungwa na Timu Bora mwenzangu na ambaye ameshakuwa Bingwa wa CAF CL mara Tano tofauti na Zanaco FC au Rivers United FC. 2. Nimefungwa na Timu yenye Uzoefu mkubwa wa Kimpira kuliko Zanaco FC au Rivers United FC. 3. Nimefungwa na moja ya Timu si tu Kubwa bali ni Tajiri pia barani Afrika...
Back
Top Bottom