kufungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wapambanaji: Kama unataka kufungua duka dogo la kuuza accessories & huduma ndogo ndogo zinazohusu magari pitia hapa!

    Wakuu. Kutegemea na muda wako na location uliopo, unaweza kufungua duka dogo ukawa unauza accessories ndogo ndogo za gari na kutoa huduma ndogo ndogo pia. Ukitoa gharama za fremu, kwa mtaji wa chini ya Million 2 unaweza kuanza na hii biashara. Tunaweza kudiscuss vitu ambavyo unaweza kuanza...
  2. JamiiForums Tanzania Azam kufungua kesi,TFF kuipokonya Sumba magoli mawili ya offside na alama tatu

    Hongera tumu ya Azam kwa kudhamiria kukomesha bahasha na wale wote wanaodhamiria kuvuruga mpira wa Tanzania. Ni matendo yanayopaswa kukemewa na mtanzania yeyote mzalendo na mpenda soka. Azam walistahili ushindi lakini kutokana na ubovu wa muamuzi, ambaye siku zote amekuwa na maamuzi mabovu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Benki gani naweza kufungua akaunti na kupata kadi siku hiyohiyo?

    Habari wakuu. Kuna jambo la haraka ambalo ili kulikamilisha natakiwa kuwa na physical (plastic) debit/credit card na siyo hizi virtual kama za M-Pesa ambazo ndizo nazitumia sana. Kwa anayefahamu benki ambayo unaweza kufungua akaunti na ukapewa kadi ya Master au Visa siku hiyo hiyo naomba...
  4. JamiiForums Tanzania Nimefanikuwa Rasmi kufungua akaunti ya Jamii Forums leo .

    Habari zenu wana Jf? Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana.... Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti.. Ahsanteni!!
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri wa kufungua kampuni ya transportation and logistics

    Salaam JF. Nimekuja hapa nikiwa na imani ya kuwa jf ni uwanja mpana uliosheheni watu wenye ujuzi tofauti. Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana elimu na uzoefu katika masuala mazima ya kumiliki pamoja na uendeshaji kupitia kampuni inayohusia na Transportation and logistics. Nakarabisha...
  6. JamiiForums Tanzania CCM: Ujenzi barabara ya Iringa - Msembe kilometa 104 kufungua fursa Nyanda za Juu Kusini, Ni utapeli Tena?

    https://www.jamiiforums.com/threads/zaidi-ya-km-2000-za-barabara-kuanza-kujengwa-kwa-mtindo-wa-epc-f-serikali-yasema-hazitalipiwa-tozo.2108484/
  7. JamiiForums Tanzania Je inafaa mtaji wa sh. ngapi kufungua biashara ya phone accessories?

    Wakuu nahitaji ushauri. Ni muda mrefu nina ndoto ya kufungua biashara ya vifaa vya simu. Ila changamoto nakosa mtaji na sijajua kiasi gani kinaweza kufaa kuanzisha hii biashara. So wajuzi wa mambo naomba mnipe ABC kuhusu mtaji unaofaa na maeneo yanayofaa zaidi kwa biashara hii. Nataka kuuza...
  8. JamiiForums Tanzania Kununua bodaboda na kufungua salon

    Samahan wakuu hapo sasa kipi kitanipa pesa? Asanteni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kufungua simu bila kureset, nimesahau pattern (aina ya simu ni lg velvet 5g

    Kama inavyojieleza hapo juu simu yangu nimesahau pattern na sitaki kufuta vitu vilivyomo, msaada kama naweza kuifungua
  10. JamiiForums Tanzania Business idea: kufungua nyama choma center

    Igweeeee Nimekaa nimewaza na kuwazua nifingue biashara gani ili maisha yasonge mbele hapa jijini Wazo pekee ambalo naona linaweza kuwa tofauti kidogo na zile biashara za kuigana mwishowe kuanza kurogana ni kuanzisha NYAMA CENTER NYAMA CENTER itakuwa inauza nyama za aina mbalimbali kama vile...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI NINI ILI NIWEZE KUFUNGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA SIMU ?

    Natamani kufungua kiwanda cha kutengeneza simu.Najua kua kila component hutengenezwa nchi tofauti then kuunganishwa, nahitaji vitu gani ili niweze kufungua kiwanda cha Simu ?
  12. JamiiForums Tanzania Nina wazo la kufungua kiwanda cha kugandisha barafu feri

    Habari za Mchana Nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kugandisha mabarafu pale soko la Feri Naitaji muongozo na ushauri Kwa mtu yoyote ambae aliwahi kufanya au ana uzoefu kidogo na biashara hii Na pia napenda kupata ushauri au mawazo ya jinsi ya kurent sehemu ya soko na kuweka kampuni yangu...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa hiki kisa changu naweza kupata madai yangu NSSF?

    Habari wakuu! Nilikuwa nafanya kazi mkoa wa kusini Songea ajira ya mkataba wa muda baada ya mkataba kuisha nilienda kuulizia taratibu za kufungua madai wakaniambia mimi bado kijana nitapata kazi nitaendelea kuchangia.. Imepita almost miaka miwili nikiwa Sina kazi nikakumbuka Kuna hela nilikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka tusaidie kwenye kufungua hili shauri

    Wakili Madeleka popote ulipo, tunaomba uwasaidie Hawa wananchi wanaotapeliwa kwa kupitia jina la Ikulu. Nadhani wewe na Ex Mayor Bonny ndio mmebakia wenye uchungu na raia. Kuna mtu anatumia jina la Ikulu, Waziri Mkuu na hata Jeshi letu la JWTZ kuwatapeli wananchi. Na mpaka sasa hivi kuna watu...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini kuna ugumu mkubwa kufungua kikundi cha maendeleo kisheria

    wadau habari msaada tutani... JOB tupo kama mtu tano tunahitaji kuanzisha kikundi cha maendeleo ila tunataka kukisajili kisheria ili litakapotokea lolote kila mtu awe na haki sasa changamoto inakuja kuna vipengele vingi sana tukienda kwa mwanasheria mf. lazima uwe na physical address + P.O.BOX...
  16. JamiiForums Tanzania Mafinga: Wafanyabiashara wagoma kufungua Maduka siku ya pili baada ya Halmashauri kuwapangia kodi kubwa ya pango

    Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa huduma. Mwananchi limefika sokoni hapo na kushuhudia milango ya maduka hayo imefungwa huku baadhi ya...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia Vijiji vya Ngorongoro Kufutwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro. Umuamuzi huo umetolewa leo August...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua Movie Store. Je, ni desktop computer gani itanifaa kwa kazi hiyo?

    Mwezi hii ya mbeleni nipo kwenye mpango wa kufungua movies store hapa Dar es Salaam. Napitia changamoto moja ni CPU gani na yenye sifa gani inayoweza kunifaa. kwakazi hiyo maana siitaji kununua cpu itayo nipa ugumu wakufanya kazi. Nahitaji niiweekee 80TB na ram 12 GB machanga complex...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Jennifer Lopez kufungua shauri la kudai talaka ya Ndoa yake ya 4

    Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani, Jennifer Lopez na mumewe Ben Afflect wanatarajiwa kupeana talaka baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka miwili baada ya Jeniifer kuwasilisha shauri la kudai talaka Agosti 20, 2024 Aidha katika hati hizo zilizofikishwa mahakamani zinaeleza kuwa ndoa ya wawili...
  20. JamiiForums Tanzania Wagonjwa wa kiharusi wafanyiwa upasuaji bila kufungua fuvu kwa mara ya kwanza MOI

    Kwa mara ya kwanza Taasisi ya tiba ya mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefanya upasuaji wagonjwa 11 wenye kiharusi na magonjwa mengine ya mishipa ya damu ndani ya ubongo bila kufungua fuvu kupitia mtambo wa kisasa wa Angio suite (Cath lab) uliopo MOI. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…