kufunga

  1. R

    JamiiForums Tanzania Unatarajia kufunga ndoa karibuni? (Honeymoon experience)

    Kama unatarajia kufunga ndoa karibuni chukua nafasi ya punguzo la bei kwa safari za utalii lililosababishwa na na janga la CODID-19 kula fungate (honeymoon)kwenye mbuga maarufu duniani ya Serengeti. Tegemea ushauri wa kitaalamu kutoka kwa muongoza watalii mwenye uzoefu wea miaka 14 aliyeongoza...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni kosa makampuni ya minada kufunga gari kwa "Wrong Parking"

    Tabia ya kufunga funga Magari na kudai Tshs 50,000 hii hapa, jisomee. Kwa wapenzi wa sheria, kuna kesi tamu hapa ya Vigu Trading Co. Ltd dhidi ya TANROADS, Yono, Inland Transporters Ltd (breakdown) na Mwanasheria Mkuu (kwa sababu ni kesi ya serikali) Mshtaki lori lake liliharibika mbele kidogo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Ni marufuku Wasimamizi wa Uchaguzi kufunga ofisi siku za kurudisha fomu na siku za uteuzi

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi amesema ni marufuku kwa Wasimamizi na Maafisa Uchaguzi kufunga ofisi muda wa kazi wakati wa kuchukua na kurejesha fomu kadhalika siku ya uteuzi wa wagombea. Mwenyekiti wa NEC amesisitiza kuwa ni kinyume cha Sheria wasimamizi kufunga ofisi muda wa kuhudumia...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa siku ya kufunga kampeni za urais 2015 alifunga mitaa yote ya Dsm kwa maandamano lakini aliangukia pua!

    Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani. Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa? Maendeleo hayana vyama!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imeamua kufunga Konseli Kuu ya China mjini Houston, Marekani?

    Wiki hii Serikali ya Rais Donald Trump imeishangaza ulimwengu kwa kuendelea na sera yake ya kuiandama China kwa kutoa muda wa saa 72 kufungua konseli kuu ya China mjini Houston, kwa kisingizio cha “kulinda taarifa binafsi za wamarekani na kulinda haki za ubinufu za wamarekani”. Wanaofuatilia kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani sahihi ya kufunga ndoa, unakoendeshea shughuli zako au ilipo asili yenu?

    Mfano unaishi mji A ambao ndiko makazi yako na ndiko unapoendeshea shughuli zako za kila siku, kiasi kwamba watu wako unaoshirikiana nao kila siku wanapatikana Mji huo. Pia, una makazi yako Mji B ambako huko ndio asili yako, wazazi, ndugu na jamaa wengine wanapatikana kwa wingi. Utafunga...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuwe na mbadala wa kufunga line za ziada kwa kupiga *106#

    Naona mwamko umekuwa mdogo kwa watu kwenda kufunga line za ziada katika ofisi za mitandao, sio kwamba hatuwezi kwenda ila mambo yametinga jamani maana awamu hii ni kazi kazi kitu kinachonyima wengi muda wa kwenda hizo ofisi. Ningependa kuwasilisha maoni yangu kwamba tunavyopiga *106# kuwe na...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea Urais msishangae kuonyeshwa makondokondo hadharani, Urais ni kama Sakramenti ya kufunga ndoa, lazima uwe msafi

    Umuofia kwenu, Huu ni mwezi wa kuchukua fomu, mtu yeyote kupitia chama anachokiamini anaweza kuchukua fomu ya kugombea urais, tofauti ni pale CCM walioamua kukinzana na katiba yao kuamua kumsimamisha mgombea wao huku wakizuia kujitokeza wengine wanaoweza kuleta upinzani, ambao baadhi yao...
  9. JamiiForums Tanzania Baba wa watoto wangu watatu (kila mmoja na babake) wote wanataka kufunga ndoa na mimi

    Mtoto wa kwanza nilimzaa na class mate wangu. Wakati huo wote tukiwa hatuna ajira. Wazazi wote walitusaidia. Ikifika wakati kaka yake alimuita Gabon akamsaidie biashara. Aliniacha na mtoto wa miaka miwili. Tulipoteza mawasiliano. Mtoto wa pili nilimzaa na aliyekuwa boss wangu. Alikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Maandamano yanayoendelea USA ni sawa na kufunga goli baada ya kipenga cha mwisho

    Poleni na harakati za kila siku. Ni matumaini yangu kuwa nyote mu wazima wa afya. Basi kama kichwa cha habari kilivyo mimi binafsi ninaona marehemu hakutendewa haki. Wakati jamaa amewekewa goti juu ya shingo yake na askari Nina imani kulikuwa na mashuhuda mbalimbali eneo la karibu. Je...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani: Trump atishia kufunga mitandao ya kijamii nchini Marekani

    Donald Trump anatarajia leo Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya White House wamesema, saa chahe baada ya rais huyo kutishia kudhibiti au kufunga makampuni ya mitandao yote ya kijamii, akiyatuhumu kujaribu kuzuia uhuru wa kujieleza. Wawakilishi...
  12. JamiiForums Tanzania Magereza yote kuwekwa vifaa vya upekuzi, CCTV

    JESHI la Magereza linakusudia kuongeza vifaa vya upekuzi magerezani na kufunga kamera za usalama za CCTV, ili kubaini vitendo viovu vinavyofanyika ndani ya magereza hayo. Hayo yalisemwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati ikijibu swali la Mbunge Viti Maalumu, Rukia Kassim Ahmed (CUF)...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu akanusha taarifa za Tanzania kufunga mpaka na Kenya

    Waziri amekanusha kwenye page yake na kusema habari hizo ni uzushi . BBC mnakwama wapi mbona mmekuwa wazushi hivi.
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil asema kufunga mji 'lockdown' ni kuua uchumi

    Rais wa Brazil, Jair Bolsonar amesema kufunga mji ni kuufanya uchumi ufeli kwa kuwa hawatakuwa na hela za kuwalipa watumishi wa umma Kwa muda mrefu rais wa Brazil amelaumiwa kwa kutochukua hatua ya kudhibiti #CoronaVirus kwa madai aliyosema kuwa ni mafua ya kawaida tu, aidha aliwahi kusema kila...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

  16. JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Yumkini hali si nzuri. Rais kafunguka. ===== Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli ameandika: "Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na...
  17. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila astuka , Atengua zuio la kufunga Bar kuzuia Corona

    Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona . Lakini...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Salum: Misikiti isiyoweka vitakasa mikono, maji tiririka na sabuni kufungwa, atangaza kufunga ofisi ya Sheikh wa mkoa kwa siku 30

    Shehe mkuu wa mkoa wa Dsm Alhad Mussa Salum amewataka mashehe wote mkoani Dsm kuzingatia maelekezo ya wizara ya afya ya kuweka vitakasa mikono na maji tiririka na sabuni na watakaopuuza misikiti yao itafungwa. Pia ukaaji wakati wa ibada uwe ni wa kuachiana nafasi kiasi cha kutopumuliana. Aidha...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wafunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali inayowasababishia wananchi kupata mafuriko

    Wabunge wastaafu na wale watarajiwa wa CCM wamejianzishia mtaa wao huko Ununio na kuuita Bunge Btreet, miongoni mwao ni Mzee Kimiti, Mh. Foya wa Hai, Mh. Adam wa Muleba na Mh. Kippi anayetarajia kugombea Kawe. Cha kusikitisha wabunge hawa wamefunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali...
  20. JamiiForums Tanzania RC Makonda: Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa

    "Tokeni kafanyeni kazi eti Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa, ndio maana leo nawafuatilia wakandarasi, sasa nimkute mkandaraai hayupo site kisa corona, kuna wapuuzi huko wanasema Serikali inadanganya idadi imeongezeka, kwenu kuna Mtu amekufa na corona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…