Zanzibar 2020 CCM waanza kufunga virago Zanzibar, waihofia ACT-Wazalendo

Shocker

Member
Sep 15, 2012
94
400
CCM wameanza kuondoka Zanzibar kimyakimya, wanasema mziki wa ACT-Wazalendo sio wakawaida, baadhi ya kauli ni kukifananisha Chama cha ACT-Wazalendo na ng'ombe maarufu anaejulikana kwa Jina la kipole, hana msalie mtume.

Wengine wakisema hawatokubali kufanywa kuni ndani ya Zanzibar kwani kuwalinda wahafidhina wa CCM ni kuyatafuta mauti kwa hiari yako sababu ACT-Wazalendo hawazuiliki hapa Zanzibar na wanaonekana wazi wana nguvu na kila sababu ya kushinda.

Kama Iddi Amini alipoivamia Tanzania tunajua kilichomtokea mjeshi wa Uganda sasa chukulia sisi CCM ndio kama Iddi Amin na ACT-Wazalenda ndio majeshi ya Tanzania unafikiri tutapona.
 
chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
7,107
2,000
Kuna watanganyika watafanywa mbuzi wa kafara kwa kiherehere cha buku 7 na ugali maana wamevushwa kuja kuongeza idadi ili ionekane CCM ina watu wengi kumbe wote wakuja :D, bora waanze tu kurudi maana watu wameamua mwaka huu. Wameanza kupeleka majeshi yao pemba na kuyazungusha mitaani wakifikiri watu wataogopa. Kumbe watu wanatamani ata uchaguzi ufanywe kesho ili mbivu na mbichi ijulikane.
 
issa yurry

JF-Expert Member
Apr 20, 2014
410
1,000
Maalim akizubaa sasa basi maana uchaguzi ujao atakuwa na miaka 83
Hussein mwinyi siyo mzanzibar Bali huku hakuzaliwa wala hakusoma shule wala madrasa na wala hakuna hata MTU mmoja kama aliwahi kucheza nae ktk udogo wake na baba ake alipo kua Rais mwaka 1984- 1985 yani aliteuliwa Dodoma nakuja kukaa tu Zanzibar wala hakupigiwa kura kwahiyo na habari zilizopo shamsi vua nahodha amechukuliwa tangu juzi yuko Dodoma huko anahojiwa kisa anawambia watu wa Zanzibar wasimchague mwinyi kwani mwinyi akichagulia ndio Zanzibar kashaifanya wilaya

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Herbert Nkuluzi

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,168
2,000
Mapya haya

Duhh
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
5,789

Ni kweli familia ya kina Mwinyi wanajifanya kuwa wazanzibar kwa sababu za kisiasa tu ila ni wabara wale
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom