kufunga

  1. JamiiForums Tanzania Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

    Picha: Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa siku ya Alhamisi Machi 24,2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha mkoani Kilimanjaro. === Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa...
  2. JamiiForums Tanzania Benki kubwa ya Urusi yaaga soko la bara Uropa na kufunga matawi yote huko

    Hii ni baada ya wafanyi kazi wake Warusi kutishiwa waondoke kwenye mataifa yote ya Uropa, na pia kususiwa kwa biashara zote zenye asili ya Urusi. Putin alikua amesubiriwa muda mrefu aingie kwenye kumi nane, Warusi wanateseka kote nje na ndani kwa ajili yake na muda usio mrefu watamgeukia, Urusi...
  3. JamiiForums Tanzania Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Nawasalimia wana JF wote. Katika mwendelezo wangu wa kuwafundisha na kuwafungua macho watu, leo nimeonelea nilete siri iliyomo katika kufunga. Kwanza kabisa nawaomba muelewe kwamba, kuna namna nyingi sana ya kufunga lakini nitaongelea namna tatu:- 1. Kufunga kwa malengo 2. Kufunga kwa mujibu...
  4. JamiiForums Tanzania Waafrika wenzetu wakishangilia kutinga fainali za Afcon sisi tunashangilia Samatta kufunga goli ulaya. Watanzaniza tuna matatizo

    Kama kufunga goli ulaya ni mafanikio kwa taifa letu kisoka basi watanzania tumerogwa
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Mseveni aruhusu shughuli za uchumi kufunguliwa tena baada kufunga kwa takriban miaka miwili

    Shuguli zote za kiuchumi zimefunguliwa tena nchini Uganda leo Jumatatu baada ya kufungwa kwa baadhi ya biashara kwa karibu miaka miwili. Baa, vilabu vya usiku, kumbi za michezo na maeneo mengine ya burudani pamoja na shuguli nyingine za usiku vimefunguliwa rasmi baada ya kufungwa mwezi Machi...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania tumepatikana, mawaziri watakaokwenda na Rais mpaka 2025 ni kama huyu aliyesaini mkataba wa bil 69 kufunga software Tanesco

    Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati. Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kufunga Mwaka 2021: Jamii Forums na kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali

    Katika kufunga Mwaka 2021, Jamii Forums mnamo Desemba 30 ilidhamini kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali waliokutana Magomeni jijini Dar na kula, kunywa na kucheza pamoja kwa furaha kuuaga mwaka 2021. Kusanyiko hili liliwezekana kwa kubuniwa na kuratibiwa na Padre Christian...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tunafunga uzio wa umeme (Electric fence)

    ELECTRICAL FENCE SPECIAL OFFER (19,000/= per meter) fungiwa electrical fence kwa 19,000/= kwa mita moja, gharama iyo inajumuisha vifaa vyote vinavyotumika na ufundi, bei iyo ni kwa eneo la kuanzia mita 70 kuendelea, tunafanya kazi mikoa yote popote pale tunakufikia mteja, wahi sasa. Piga...
  9. JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kufunga ndoa nichangieni wana jf

    Amani ya bwana iwafikie popote ulipo, tumekuwa pamoja hapa jf toka 2016 mpaka Leo, ndugu yenu nimefanikiwa kupata jiko jipya sasa tuinuaneni kwa kunichangia kijiko, sahani, bakuli, sufuria ili tuanze maisha salama na shemeji yenu anawasalamia sana.... shem wenu anawaomba mu mnunuliwe iPhone 13...
  10. JamiiForums Tanzania Ajali za kufunga mwaka na kufungua mwaka uacha makovu makubwa ya moyo na nafsi kwa watoto.

    Niliwahi kushuhudia familia ikipoteza baba na mama kwa wakati mmoja katika ajali ya gari wakiwa wanatokea kula Krismasi na mwaka mpya, kijijini kwao, wakati huo watoto wao wa pekee (mapacha), walikuwa wamebaki shuleni (skuli ya wazazi na walezi wenye kipato cha kati) wakifanya maandalizi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi. kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
  12. JamiiForums Tanzania Vita ya CCM chotara na CCM walowezi: Nani alirudisha Chama kwa wananchi?

    Wana JF Japokuwa Kiroboto anapigana kivyake kwa kutokubaliana na mambo fulani fulani yanayoendelea ndani na nje ya serikali mbali na maudhui yake ya kununua machawa toka upinzani, angalau bado ana kauzalendo kalikokuwa kamemezwa na mapapa ya CCM Asilia ambao kazi kubwa ni kuhakikisha...
  13. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo: Mshambulizi wa Man Utd na Ureno anakuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao 800 ya kiwango cha juu

    Takwimu: Mechi 1,097, mabao 801. Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia kufunga mabao 800 ya kiwango cha juu katika maisha yake ya soka alipoifungia Manchester United mabao mawili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Arsenal siku ya Alhamisi. Ilikuwa ni jibu la kawaida la...
  14. JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuzingatia kabla ya kufunga ndoa

    Mambo ambayo ni ya msingi ili kufanya muunganiko wa mwanaume na mwanamke uweze kutambuliwa kama Ndoa ni pamoja na haya yafuatayo: a) Hiari : lazima muunganiko utokane na chaguo binafsi la wahusika; bila Udanganyifu, laghai au kurubuniwa kwa aina yoyote b) Kusudio la kudumu: muunganiko wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Simon Msuva akicheza bila Mbwana Samatta Taifa huwa anajituma maradufu Kuifia Timu hadi Kufunga Magoli muhimu?

    Je,.... 1. Ufalme wa Mbwana Samatta unamtesa? 2. Anataka kutuonyesha kuwa Mbwana Samatta ni cha Mtoto tu Kwake? 3. Huamua Kumsusia Timu Kimakusudi Mbwana Samatta? 4. Hampendi Mbwana Samatta? 5. Usimba na Uyanga umewaathiri kwakuwa Msuva ni Yanga SC na Samatta ni Simba SC? 6. Anataka...
  16. JamiiForums Tanzania Wikileaks: Julian Assange aruhusiwa kufunga ndoa jela

    Julian Assange amepatiwa ruhusa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika jela ya Belmarsh, BBC imeambiwa. Mwanzilishi huyo wa mtandao wa Wikileaks na bi Moris wana watoto wawili wa kiume , ambao alisema walipatikana wakati alipokuwa akiishi katika ubalozi wa Ecuador mjini London . Huduma ya jela...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kupasua Chungu na kufunga kwaajili ya kesi ya Ugaidi ya Mbowe kuna madhara kwa wasiotenda haki na vizazi vyao?

    Kuna Jambo linasambaa kwa Kasi Sana kwamba wenzetu huko Kaskazini wanapasua vyungu pale wanapoona Jambo limekaa kinyume Cha haki ili miungu yao iangaike na wale walioshiriki aidha kuua, kuiba, kudhulumu au kumnyanyasa mtu mwingine. Kwa wasimavyo Chungu uangaika na kizazi na hakichagui kabila...
  18. JamiiForums Tanzania Tusiotaka kufunga mwaka tukiwa 'single'

    Tunakimbilia 'December' funga mwaka, kama malengo yako ya kuoa / kuolewa yamefanikiwa, tunakupatia pongezi; kama bado kufanikisha, tunakupa pole pia tunakushauri ujikague na ujirekebishe na usonge mbele. Kupitia uzi huu, jaribu kunadi sera zako ili wale wasiotaka kufunga mwaka wakiwa makapera...
  19. JamiiForums Tanzania Kama mtuhumiwa mwenzake na Mbowe alikiri kupanga njama za ugaidi, Jamhuri inachelewesha nini kufunga ushahidi ili kesi iishe?

    Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi. Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe. Malizeni kesi, toeni hukumu mapema.
  20. JamiiForums Tanzania Bariki ndoa na si kufunga ndoa

    Ndoa ni nadhiri au maagano mnaojiapiza mbele ya Mungu yaani kwamba mume na mke mtavumiliana kwenye raha na shida. Katika karne hizi vijana mnafunga ndoa kama sanaa za maonesho tu baada ya hapo ni usimbe na umalaya kwenda mbele. Huwezi ukamfahamu mtu tabia yake vizuri ndani ya miezi, mwaka au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…