kufunga

  1. G

    Nchi ya Tanzania Haina Dini kuweka masharti yoyote ya kidini ni kinyume Cha katiba ya nchi kufunga sio Sheria ya nchi viongozi wasiwe wanafiki

    Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
  2. ngara23

    Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

    Mimi siamini unachokiamini, unataka nisile ati kwakuwa wewe umefunga mara ooooh nisile hadharani, yaani nilie chumbani au kichakani kama nafanya ngono Unakuta mtu saa 9 kalegea kama msusa, mishipa usoni imemtoka, macho yamelegea na kujaaa tongo tongo, mdomo unapasuka ila ananuna tukiwa...
  3. Luxe Light Craft

    Je, unahitaji taa za kisasa kwa ajili ya Finishing ya Nyumba yako?

    Je, Unahitaji Taa Za kisasa kwaajiki ya Finishing ya Nyumba yako? Luxe Light Craft, tumekuja kwaajili yako. Karibu ujipatie taa bora na za kisasa kutoka kwetu. Tunazo Taa Aina zote! Tunapatikana kariakoo📍 Wasiliana nasi kwa whatsapp namba +255764379293
  4. comrade_kipepe

    Kufunga ni kama mchezo wa kuigiza

    Yani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache. Mtu unakandamiza nguna alfajiri, unashiba ngaaa! Unalala unaamka bado umeshiba, jioni tena unashindilia. Yani wakati wa Ramadhani mtu anakula sana zaidi ya mara 3 ya siku za kawaida sasa ndio nini hiyo...
  5. Tlaatlaah

    Katika Imani, Je, mtuhumiwa uhalifu alie gerezani mahabusu anaruhusiwa kufunga kwarema au ramadhani?

    Achilia mbali watuhumiwa uhalifu ambao tayari wanaonekana na kujulikana kwa kubeba chakula hadi kwenye vizimba vya mahakamani kupunguza njaa kali baada ya kubanwa mbavu za kisheria na mashahidi au mawakili kulingana na uhalifa wao. Je, ni halali kwa mahabusu walio gerezani kufunga kwaresma au...
  6. M

    Wenzetu mlioamua kufunga imani yenu ni mnakerwa tukila mbele yenu, mmefunga kwa imani au kwa matumbo?

    Nimeona habari nchi mbali mbali zikikamata watu na kutoa maonyo kutoruhusu watu kula hadharani kwasababu za mfungo. Kwa mtu alieamua kufunga kwa imani, ni rahisi funga yake kuharibika akiona hata mgonjwa anaotea jua nje huku anakula chakula ? Hii ni funga ya kimwili au kiroho.
  7. ngara23

    Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

    Mimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena. Tuache unafiki hakuna...
  8. Stuxnet

    Bashite kufunga namba za Serikali kwenye magari binafsi, hii imekaaje?

    Huu ushamba haufai kuachwa hivihivi, TISS, TRA, TEMESA sijui nani anahisika hapo atuondolee aibu hii
  9. N

    Je, njia ya kufunga uzazi kwa Mwanaume inapunguza nguvu za kiume?

    Hii dhana umekuwepo kwa Watu wengi sana, wapo wanaoamini kuwa Mwanaume akifunga uzazi basi inamaanisha nguvu zake za kiume nazo zinapungua. Wataalam wa Afya hawa hapa wanasema dhana hiyo siyo ya kweli. Wataalam wanasema “Njia ya kufunga uzazi kwa mwanaume (Vasectomy) haithiri nguvu za kiume...
  10. Chachu Ombara

    Hapa, unamchagua nani kupiga freekick anayeelekea kuwa na uwezo wa kufunga?

    Timu yako inahitaji ushindi, na dakika za lala salama imepata freekick karibu na goli la mpinzani. Unamchagua nani kati ya hawa kupiga mpira huo wa adhabu ndogo ili kuhakikisha ushindi?
  11. Roving Journalist

    Katambi: Tumedhibiti wimbi la wahamiaji haramu, Uhamiaji imedhibiti na kufunga njia za vipenyo 1,777

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema katika kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu wanaoingia nchini. Idara ya Uhamiaji imedhibiti na kufunga jumla ya Vipenyo Elfu Moja Mia Saba Sabini na Saba vilivyopo maeneo mbalimbali nchini, vilivyokua vinatumika kuingia nchini kwa njia...
  12. Fbn

    Raisi feki kwa hii hotuba 2025 kufunga mwaka kama umenifungulia mwaka kwa kunikasirisha kwa kejeli.

    Ila huyu mtu jamani sijui anaona maisha ni kifutio au penseli,yani unaweza kufanya lolote kama ufahamu lolote. Ulipopata kijiti hakuna kilichofanyika umebagaza nchi,umeua,umeteka,ufira,umebaka,umeleta mambo ya ajabu. alafu neno lako unasema "tusitengane kwa tofauti zetu" .kwa hiyo tofauti yako...
  13. Foffana

    Tukielekea kufunga mwaka taja Members wako bora watano kwa mwaka huu 2025-Top 5

    Tupo ukimgoni wa mwaka huu uliokuwa na shuruba nzito nzito Kwa hakika ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mpaka leo imetukuta tukiwa tunavuta pumzi yake Hawa ni members bora kabisa kwangu kwa huu mwaka 2025 1. Binti wa zamani at the top 2. Manyanza 3. Sizinga 4. Chief-Mkwawa 5...
  14. Bawabu wa pili

    Tukielekea kufunga mwaka, ni matukio gani ambayo yametokea mwaka 2025 hayawezi kufutika kwenye kumbukumbu zako?

    Wakuu tupo Disemba, zikiwa zimebaki siku kadhaa kufunga mwaka 2025 na kuuanza mwaka mpya 2026. Ni mambo gani uliyoyashuhudia au umeyapitia na pengine mazuri au mabaya ambayo huwezi kuyasahau. Maoni yenu kwenye comment yataamua huu mwaka ulikuwa baraka au wa laana. Haya twende kazi, nasoma kumment
  15. The Father of All

    Kama ICC itamfungulia mashtaka Samia, tujiandae kufunga na kuzira kula kwa ajili yake hata ikibidi kufa

    Nimesikia maadui wa taifa mashambenga, na wambea wengi wakitangaza na kusherehekea uwezekano wa mama kufungliwa mashtaka kwenye Mahakama ya Kimataifa kuhusiana na vurugu, siyo mauaji, maana waliokufa hawakufa, ndiyo maana hawakuzikwa. Wangezikwaje wakati hakuna miili ya kuzika? Halafu, ajabu...
  16. Kipenzi Changu

    Acha kupotosha, hizi ni protocal za kufunga milango ikulu

    Ambao hawajawahi kufika ikulu ndio wageni wa hizi protocal. Miongozo ndio inataka hivyo
  17. M

    Ushauri: Waandamaji fungeni barabara ili magari ya Polisi yasipite. Itapunguza mashambulizi

    Waandamaji ni lazima kufunga barabara magari ya polisi yasipite waje kwa miguu hii itasaidia kupunguza vifo maana asilimia kubwa wanaofyatua risasi ni wale wanaoshambulia kutumia magari Barabara zifungwe hakuna kuruhusu gari kupita ili kufanikisha maandamano ambayo hayatatoa uhai zaidi wa watu...
  18. Agent-47

    Watanzania, msijaribu kwenda kumtoa Lissu

    Watanzania!. Nimeona uzi wa britanicca kuhusu kwenda kwa lissu na wengine wamechangia kwenda huko. Mkienda na mkajaribu kumtoa mnaweza kumuweka kwenye hatari kubwa sana ya usalama wake. Wapo watu wahovu wanaweza kujipenyeza na kumdhuru. Kwa sasa yupo sehemu salama. Uhakika wa yeye kutoka...
  19. JamiiForums

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
  20. Fbn

    Serikali ya CCM inaogopa kufunga mtandao wa instagram sababu wasanii wao wapo huko

    Wahuni walijua kufungia twitter(X) ndio kukomesha wanaharakati na walijua hakuna watumiaji wengi. Sijui hizi habari wanashauriwa na vilaza toka JF. Sasa siasa imeamia instagram na facebook na huko ndio kuna wasanii wao 😂. Karma karma sasa fungeni wawa geuke
Back
Top Bottom