kufundisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ubuju

    KERO Changamoto ya vifaa vya kufundishia kwa course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering inaferisha vijana kwenye soko la ajira

    Habari wakuu, Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering inayotolewa katika chuo cha ufundi arusha (ATC) ambayo ina miaka 5 toka iyanzishwe inapitia magumu sana kwa wanafunzi wanayosoma kwasababu hakuna mitambo ya kujifunzia uliopo ni fuvu tu haifanyika kama ilivyo hapo...
  2. comrade_kipepe

    Niliwahi kupita pale chuo HTC pembeni ya darajani kwenda kariakoo, kufundisha

    Nilikutana na mwanamke msukuma, ana sura ya baba ila biyo shape duuuh! Mk*nd mkubwa sana mzuri, somebody V . kama upo hapa nicheki pm please, SIKUSAHAU. tuliwahi ku do juu ya deka Maeneo ya TMK maduka mawili. Come dm omease kama utaona hii. Ulikua unavaa miwani hivi. Usijiulize mengi njoo...
  3. kingphisher

    Natafuta chuo cha kufundisha

    Wakuu, nimejikuta kuwa na passion ya kufundisha kuliko kitu chochote kile yaani. Ipo hivi, nimesomea IT bachelor pale UDSM nimehitimu mwaka jana. ilivyofika mwezi wa pili mwaka huu, katika harakati ya kutafuta hela za kunibakisha hapa mjini (Dar), nikapata kampuni moja hivi maeneo ya posta...
  4. H

    Kabla wamisionari hawajaja Afrika na kufundisha kuhusu mbinguni na kuzimu wazee wetu walikuwa wanaenda wapi?

    Iwapo kuna mbinguni na kuzimu wanakoenda Wafrika wakifa je kabla ya wamisionari walienda wapi?
  5. J

    Dini na Siasa ni maisha ya watu. Waacheni Maaskofu wazungumze

    Kufuatia funga ya Novena ya Kanisa Katoliki na Mahubiri ya Maaskofu wa Kanisa hilo Jumapili iliyopita, watu mbalimbali hususani wana CCM wamejitokeza kuwazodoa viongozi hao wa Dini kuwa wanachanganya Dini na Siasa na kuwataka waache mara moja. Mi nataka niwaulize, hivi ukiwa Kiongozi wa Dini...
  6. GENTAMYCINE

    Kocha Florent Ibenge umefanya kosa kubwa sana na la Kiufundi kuja Kufundisha Soka Tanzania ambayo Ligi Kuu yake ina Makandokando mengi yasiyoelezeka

    Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
  7. Mindyou

    China kuanza kufundisha watoto masuala ya AI (Akili Mnemba) mwezi Septemba mwaka huu

    Wakuu, Kuanzia Septemba mwaka huu, Beijing, China itaanza kuwafundisha watoto wadogo kuanzia umri wa miaka sita masomo ya lazima ya Akili Bandia (AI) katika shule zote za msingi Shule zote jijini Beijing zitalazimika kutoa angalau masaa 8 ya ufundishaji wa AI kwa kila mwaka wa masomo, ama...
  8. S

    Kama kocha Fahdu Davis Kapendekeza Deborah Mavambo aondolewe Simba basi hata mm namzidi uwezo wa kufundisha

    Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo. Huyu wala tusidanganyane kuwa hana uwezo,. Mavambo ni fundi hasa, ana nguvu, ana akili ya ball, ana...
  9. Knock life

    Baada ya Bunge kuvunjwa rasmi, Je Dkt. Bashiru Ally anarudi UDSM kufundisha siasa na kuishi kwake pale Ubungo Maziwa?

    Bashiru Ally Kakurwa sijamuona akichukua Form Na sioni Kama akiteuliwa tena kwa Sababu alipopewa nafasi ya kutawala kosa kubwa alilofanya alitumia nguvu kubwa kutengeneza maadui . Je, atarudi Ubungo Maziwa na Udsm kuendelea kufundisha political science. Ushauri, mitaala imebadika kwa hiyo...
  10. Fufua Tumaini Jipya

    Wakuu , Natafuta Shule ya kufundisha Zanzibar kwa secondary au primary

    Wakuu Mimi ni Mwalimu ambaye nimesomea kufundisha Kiswahili na kiingereza. Natafuta Shule ya kufundisha kwa maeneo ya Zanzibar Unguja au Pemba. Kwa upande wa primary naweza kufundisha vilevile kwa upande wa secondary. Masomo ya social studies yote. History Civics Kiswahili English...
  11. M

    Naitaji kazi ya kufundisha

    Ni Mwalim wa geography and history nipo Dar natafuta tuition ya kufundisha kipindi cha likizo 0750544220 what's app Geography and history
  12. Doctor Mama Amon

    Uhuru wa Kuabudu na Haki ya Askofu Gwajima Kufundisha Amri za Mungu: Usiue mtu asiye na hatia, Usiue jina zuri la mtu baki, na Usiibe mtu kwa Kumteka

    https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y I. Usuli Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi wake, ni ushahidi kwamba huenda viongozi wetu hawaelewi kwamba uhuru wa kuutafuta ukweli wa...
  13. N

    Je, unaweza kufundisha Basic mathematics kwa umahiri mkubwa!?

    Habarini.. Ikiwa wewe ni muhitimu wa kidato cha sita, diploma au degree na unamudu kufundisha basic mathematics O- level, Na hujaajiriwa... Nitafute inbox
  14. L

    Serikali/Wizara ya elimu ifikirie kufundisha THINKING kama somo ikiwa wapo serious na kuondoa umaskin

    Ukweli usipingika ni kwamba maendeleo ya mtu/watu/taifa yanaendana na ubora wa ufikiri(thinking) ya mtu/watu. Niwe mkweli tu quality ya ufikiri wa watanzania walio wengi iko chini na inaendelea kushuka.Fanya reseach ndogo tu, ongea na watu kumi randomly unaokutana nao topic za maana au angalia...
  15. Maganjila tz

    Waalimu hawataki kufundisha shule za vijijini

    nini kifanyike na shule za vijijini zipate waalimu wa kutosha kama za mijini?
  16. M

    Music production

    Natafuta mtu wa kufundisha mdogo wangu music production Dodoma aniachie namba
  17. Pdidy

    Sijawahi sema refa sio kocha toka nianze kufundisha hata kama anapuliza filimbi kama anachezesha ngoma. Lakini kwa jana nawaachien wananchi

    Walioangalia KIPINDI CHA michezo channel ten yanasikitisha sana sanaa, Kocha mgunda kaulizwa umeonaje mechi, AKASEMA hajawahi kumsema Refa YOYOTE Toka aanze KUFUNDISHA akasema HATA kama anapiga filimbi kama ANACHEZESHA ngomaa Lakini yaliyotokeaaaa wananchi mmeyaonaaa nawaachia nyie mseme...
  18. Yoda

    Serikali inapaswa kuratibu madarasa ya kufundisha watoto wadogo dini kupitia mfumo rasmi wa elimu

    Video ya inayosambaa mitandaoni ya mwalimu wa madrasa huko Mbagala akiwapiga fimbo watoto wadogo ni mbaya sana. Hata hivyo ukisikiliza wanaochukua hiyo video wanasema siku nyingine huwa anawapiga mpaka hasira zake ziishe! Hii ni hatari kwa usalama wa hao watoto. Kwa kumuangalia tu huyo mwalimu...
  19. Kazanazo

    Kama mtanzania napataje fursa ya kwenda kufundisha nchi kama Shelisheli, Kanada, Norway au Kenya?

    Wakuu mimi ni mwalimu natamani nikafundishe kati ya Nchi tajwa hapo juu tafadhali mwenye miongozo anipatie hapa jukwaani mimi na wanajukwaa wenye shida kama yangu tutashukuru sana Ahsanteni
  20. M

    Kwanini walimu wa economics hawajumuishwi kufundisha somo la business studies?

    Serikali ilitangaza ujio wa ajira mpya za ualimu, moja ya ajira hizo ni somo la (business studies)na linaonekana lina uhaba wa walimu ilihali kuna kuna lundo kubwa la walimu wa economics wapo mtaani na hawajiliwi kufundisha somo hilo je economics haikizi vigezo vya kufundisha somo hilo la...
Back
Top Bottom