kufuata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msajili Hazina: Watumishi wa Umma wako busy kuomba uhamisho kwenda TRA, EWURA, TANESCO na TPA kufuata maslah makubwa

    Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu amesema kuwa kuna wimbi la watumishi ambao wanakimbilia kuomba uhamisho kutoka katika taasisi zao kwenya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shirika la Umeme nchini (Tanesco), Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) na Mamlaka ya Udhibiti Nishati na Maji (EWURA)...
  2. JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

    Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai. Nape ameandika kupitia Twitter -- MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
  3. JamiiForums Tanzania Je serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria?

    Na Yericko Nyerere Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliye twaa Urais wa Samia aurejeshe haraka sana! Kwamjibu wa Sheria ya Nembo ya Taifa ya Mwaka 1971 na Katiba...
  4. JamiiForums Tanzania Ni utaratibu gani wa kufuata ili kubadili tahasusi(combination) kwa mwanafunzi aliyepangiwa kombi asiyoitaka?

    Ndugu zangu nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa haraka. Imebaki wiki mbili wanafunzi wa kidato cha tano wa Report lkn nimepata kesi ya dogo mmoja hapa anahitaji msaada wa haraka maana ni kama amevurugwa. Dogo amesoma shule ya kata na amepambana kweli akapata div One ya 17 na matokeo yake ni...
  5. JamiiForums Tanzania Chongolo: Wazazi wafundisheni watoto tabia njema

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo amewakumbusha wazazi kuwalea watoto wao kwa misingi ya uadilifu na tabia njema. Hayo ameyasema mbele ya hadhara aliposimama barabara huko Wilayani Kondoa anapoendelea na ziara yake Mkoani Dodoma. Kidumu Chama cha Mapinduzi!
  6. JamiiForums Tanzania Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  7. JamiiForums Tanzania Pale Katibu Mkuu wa Guam anaposoma mchezo na kuhamisha Pesa zaidi ya 12Bilion bila kufuata utaratibu, zikitoa Roho ya Bendera inayofuata maembe yake

    Ni miaka kadhaa imepita leo katika kupitia nyaraka nyeti nikaona suala lililonishangaza sana Hivi katibu mkuu wa Chama anaweza pata wapi Pesa zaidi ya 10B Tzsh ? Je ni kwamba alikuwa anawatunzia watu au ni zake ? Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Tawala Guam na baadae kuwa Katibu Mkuu kiongozi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya...
  9. JamiiForums Tanzania EWURA yawataka Wadau wa Gesi Asilia kufuata Sheria

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), leo Tar. 15/05/2023, imetoa semina kwa wadau wenye vituo vya kujaza gesi asilia iliyokandamizwa (CNG) kwenye magari, karakana za kuweka mifumo ya gesi kwenye magari, waidhinishaji na wakaguzi wa mifumo ya gesiz hiyo na kuwataka...
  10. JamiiForums Tanzania Dereva wa gari okoa uhai kwa kufuata sheria za barabarani

    Kuna sheria za barabarani zinazowaongoza madereva wa vyombo vya moto na baridi, pamoja na watembea kwa miguu. Ili kuokoa uhai, hasa wa watembea kwa miguu, ni vyema madereva kuzingatia kusimama kwenye alama ya pundamilia pale wavuka kwa miguu wanapokuwepo, hata akiwa mmoja. Na hii ni lazima...
  11. JamiiForums Tanzania Jiamini kwa kufuata mambo haya 5

    Habari zenu wakuu.. Bila kupoteza muda leo nineona nije na huu uzi kuokoa baadhi ya watu wenye (Insecurities) ambao hawajiamini na wengine wanaenda mbali zaidi hawajipendi. So Kutojiamini kukizidi kunazaa kutojipenda, yaani unajichukia wewe mwenyewe. Kuna makundi mengi ya watu ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya kunyimwa silaha na China, Urusi sasa yaendelea kufuata Korea Kaskazini

    Supapawa anatapatapa, kalemazwa na kainchi kadogo. "We have new information that Russia is actively seeking to acquire additional munitions from North Korea," said White House national security spokesman John Kirby. He said the man, identified as Ashot Mkrtychev, 56, of Bratislava, was working...
  13. JamiiForums Tanzania Njoo tushauriane jinsi ya kuacha kazi sehemu moja na kufuata greener pasture

    Hii imemtokea rafik angu kapata offer nzuri kampuni ingine kutokana na utendaji wake. Sehemu aliyopo kamaliza contract wanamlipa vizuri na anaishi vizuri tuu hapa mjini. Kawapa demand zake Ili a renew contract ila wamesema hawata ongeza maslah Kwa kiwango anacho taka yeye. Amefanya na hao...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia awastukia Chawa, aanza kufuata ushauri wa Askofu Bagonza

    RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kuruhusu kukosolewa baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi na viongozi wa dini kuwa amezungukwa na watu wanaomsifu kama njia ya kumdanganya asione changamoto za nchi. Hatimaye sasa Rais Samia amewastukia watu hao na kuruhusu rasmi kukosolewa kama...
  15. JamiiForums Tanzania Faisal ahame kwa kufuata taratibu

    Usione vyaelea vimeundwa, Faisal amekuwa Faisal baada ya kunolewa na kupatiwa huduma stahili. Hakuna sababu ya kumzuia mchezaji asiondoke kwenye timu baada ya kufuata taratibu zote, maana hata wachezaji wakubwa wanazihama timu zao, lakini Kuna wachezaji wakubwa pia wanakwama kuzihama timu zao...
  16. JamiiForums Tanzania Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  17. JamiiForums Tanzania Salama pekee ya Mtu Mweusi kujikomboa ni kwa Siasa ya Ujamaa na kujitegemea

    Nimekaa na kuwaza sana kuhusu nafasi ya Mtu Mweusi kwenye ulimwengu huu wa kibabe na ni kwa hakika wala siioni nafasi yetu zaidi ya kuonekana tu kuwa tunafaa kubaki kama Jamii ya kuwatumikia hao Wakubwa. Mifumo yetu yote ya Elimu imeasisiwa kwao na Wengine huko nasi kubaki kama wapokeaji...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna Aliyewahi Kufuata Maelekezo Akafanikiwa Kwenye Hili?

    Nimekuwa napokea meseji nyingi za hivi, lakini nikifuata maelekezo sioni matokeo👇 Ndugu Mteja, tuma taarifa za UTAPELI unaofanyika kwa njia ya simu kwa kutuma ujumbe wenye neno utapeli kwenda 15040 kisha fuata maelekezo au piga *148*90#
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kufuta Namba za Whatsapp zilizo left

    Naomba kuelekezwa namna ya kufuta namba Whatsapp zilizo left kwenye group. Watu wana left namba kibao zinabakia nahitaji niziondoe. Msaada tafadhali
  20. JamiiForums Tanzania Ndoa za kikristo ni kituko, wakristo wengi wanakimbilia sheria za mahakamani ndoa zinaposumbua hawataki kufuata sheria zao za kikristo

    Ndoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo Sheria za wakristo ni kwamba hakuna ndoa kuvunjika na hakuna kuoa tena, kiuhalisia hili ni jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…