kufuata sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Hili la Jerry Silaa kuzuia maafisa ardhi kuwashauri watu waende Mahakamani, anataka watu wauane mitaani badala ya kufuata sheria?

    Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya? Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria! Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio...
  2. Sildenafil Citrate

    Mamlaka ya usimamizi wa wanyama pori Tanzania (TAWA) yasema taratibu zote za kisheria zilifuatwa kwa mamba aliyewindwa na kuuawa ziwa Rukwa

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema imekamilisha uchunguzi uliokuwa unafanywa ili kuona kama kuna ukiukwaji wa sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa chini Tanzania na kuleta taharuki, ambapo uchunguzi...
  3. Roving Journalist

    EWURA yawataka Wadau wa Gesi Asilia kufuata Sheria

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), leo Tar. 15/05/2023, imetoa semina kwa wadau wenye vituo vya kujaza gesi asilia iliyokandamizwa (CNG) kwenye magari, karakana za kuweka mifumo ya gesi kwenye magari, waidhinishaji na wakaguzi wa mifumo ya gesiz hiyo na kuwataka...
  4. Mwanamayu

    Dereva wa gari okoa uhai kwa kufuata sheria za barabarani

    Kuna sheria za barabarani zinazowaongoza madereva wa vyombo vya moto na baridi, pamoja na watembea kwa miguu. Ili kuokoa uhai, hasa wa watembea kwa miguu, ni vyema madereva kuzingatia kusimama kwenye alama ya pundamilia pale wavuka kwa miguu wanapokuwepo, hata akiwa mmoja. Na hii ni lazima...
  5. NetMaster

    Ndoa za kikristo ni kituko, wakristo wengi wanakimbilia sheria za mahakamani ndoa zinaposumbua hawataki kufuata sheria zao za kikristo

    Ndoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo Sheria za wakristo ni kwamba hakuna ndoa kuvunjika na hakuna kuoa tena, kiuhalisia hili ni jambo...
  6. Stroke

    Haya Magari yenye Bendera za CCM yanayoendeshwa bila kufuata sheria wahusika wakanywe

    Mimi ni mkereketwa wa CCM , mfurukutwa kada kindaki ndaki na mwanachama pia, hii tabia ya magari yanayopeperusha bendera za Chama kuendeshwa hovyo hovyo kwa kasi bila kujali sheria za barabarani haipendezi. Ipo siku italeta balaa na siku sio nyingi. Mfano majuzi pale gari moja ya kiongozi...
  7. Theb

    SoC02 Maamuzi ya kisheria kwa wale wote wanaovunja sheria yatekelezwe kwa kufuata sheria zilizowekwa

    Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Moja utangulizi ambao utelezea maana ya sheria. Mbili, hapa nitaonesha baadhi ya maamuzi ya kisheria yenye kuleta utata katika jamii zetu, ya kiuchumi, kisiasa, kijinsia na michezo na burudani SHERIA Ni mfumo wa kanuni ambazo hutekelezwa au hufuatwa katika...
  8. Stroke

    Misamaha ya Kisiasa na hatari ya Taifa lisiloheshimu mamlaka wala kufuata Sheria

    Msamaha ni jambo jema sana kama binadamu na pia ni sehemu ya ibada. Kitabu kitakatifu cha biblia tunasoma maandiko yakisema samehe saba mara sabini ikiwa na maana kwamba msamaha hauna kikomo. Vile vile kitabu hicho kinasema kwamba tuheshimu mamlaka iliyowekwa na Mungu na ya Kaisari tumpe...
  9. Kanyawela

    Ni kwanini tunashindwa kufuata sheria za barabarani?

    Wakuu nimekuwa najiuliza tuna shida gani sisi watumia barabara hasa kwenye mataa (Trafic lights). Mara nyingi nimeona taa zinaruhusu magari na wakati yanaanza kuondoka wanatokea watembea kwa miguu wanakatiza barabara ambayo ni hatari kwao. Pia nimeona baadhi ya wenye magari kusimamisha magari...
  10. Suley2019

    Rais Samia awa mgeni rasmi katika Mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO) Dodoma

    Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu. Rais Samia...
  11. H

    Kwanini madereva wetu wa Kiafrika hawawezi kufuata sheria za barabarani hadi wasimamiwe?

    Niko barabarani kwa mguu natoka mahali kwenda mjini kuna basi ya abiria imepita kwa speed sio nzuri sana eneo ambalo halitakiwi. Sijajua hivi vibao vinavyoonyesha speed ya gari ya kutembea eneo husika vina maana gani kwa sisi madereva wa kiafrika.Sijajua alama za pundamilia za kuvuka watembea...
Back
Top Bottom