kufeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Waziri January Makamba unakwenda kufeli kutokana na sababu hizi

    Nikiri January ana uwezo mkubwa wa akili ila siyo mjuvi wa mambo yote. January siyo mtaalamu ila ni Kiongozi wa kisiasa. Januari anazo sifa zote za Kiongozi wa kisiasa lakini Hana sifa zote za Kiongozi wa taasisi. Ana mapungufu, na mapungufu aliyonayo ndiyo yaliyopelekea muundo wa taasisi za...
  2. Kuwanyima watu uhuru ni chanzo cha viongozi wengi wazalendo Afrika kufeli

    KUWANYIMA WATU UHURU NI CHANZO CHA VIONGOZI WENGI WAZURI KUFELI Wakuu nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Wote kwa pamoja muitikie CHAMA KIENDELEE. Wale wasiotaka kujibu nawakumbusha kwamba CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote. Kwa siku za hivi karibuni niliamua "kujilipua"...
  3. SoC01 Sababu za partnership kufeli katika biashara na mbinu za kutumia ili kudumisha ushirika katika kufanya biashara

    Habarini wanaJamiiForums Ni imani yangu mko salama. Leo napenda kuangazia suala zima la collabo au partnership katika kutafuta mitaji. Kutokana na ugumu uliopo katika kupata mtaji wa kuanzishia biashara, hasahasa kwa wahitimu wa chuo, collabo baina ya watu wawili au zaidi inakuwa ni moja ya...
  4. Madhara ya kufeli kwa bajeti ya Mwigulu tutayaona kwenye deni la Taifa

    Bajeti ya Mwigulu imeshaonesha kwamba haitakuwa na matokeo mazuri kwenye uchumi. Hisia za kodi kuwa kubwa tena kwenye bidhaa muhimu ni dhahiri. Kwenye uchumi, kuna kitu tunakiita 'Equillibrium Price' - yaani ile bei ambayo mnunuzi na muuzaji wataafikiana. Sasa kuna baadhi ya bidhaa ambazo...
  5. M

    Faida za kufeli katika biashara

    🙆‍♂️🙆‍♂️ FAIDA YA KUFELI KTK BIASHARA. 👩‍🦽 Nimekuwa nikiulizwa maswali mengi na watu mbalimbali juu ya suala la kufeli. 👆🏽MMI KILA NIKIANZISHA BIASHARA NAFELI JE NIFANYE JE NISIFELI? 👇👇 😆😆 Nimekuwa nikifurahi sana na kuwapa majibu mazuri, kwanza hata Mimi mwenye nimefeli mara 5 na...
  6. Kinachoendelea Tanesco Mwanza ni kipimo cha Serikali kufeli

    Katika Jiji la Mwanza, Tanesco Nyakato, wananchi wamekuwa wakilalamika kila wanapoenda ili wapate huduma katika Maeneo mbambali kama, kijerishi, Nyamongoro, Kisesa maeneo ya Isen B, Nyakato, Buswelu, National. Baadhi ya Matatizo yaliyopo ni kutowekewa umeme huku nguzo transforma na wire...
  7. D

    Utaratibu wa malipo ya N-CARD Umeonesha kufeli vibaya katika Vivuko, Waziri Chunguza TEMESA kuna kero za makusudi

    Wakati UDART wameonesha waziwazi kufeli juu ya matumizi ya CARD kwa maksudi! TEMESA nao pasipo kujua ama kwa maslahi yao binafsi, Wameingia kichwa kichwa katika matumizi ya malipo ya N-CARD bila weledi! Abiria wote wameelekezwa kuhakikisha wanatumia N-CARD ili kuweza kulipia kivuko, Hivyo...
  8. Nini chanzo cha wanawake kuzalishwa na kutelekezwa na wanaume?

    Ushawahi kijiuliza ni kwanini wanawake wengi miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakizalishwa na kutelekezwa ni wapi wanapokosea! Mpka mwanaume anamzalisha na kumtelekeza ina maana hakukuwa na makubaliano kuhusu mtoto na mimba itakuwaje au mwanamke aliamua tuu kumtegeshea mwanaume wakati mwanaume...
  9. J

    Uwanja wa Uhuru umefurika sana!, watu Washindwa kuaga. Watakiwa kujipanga barabarani kuelekea Uwanja wa ndege ili waweze kupunga mkono

    Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho. Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana. Maendeleo hayana vyama!
  10. Watakaopata daraja la 4 na sifuri elimu ya sekondari watashtakiwa kwa uhujumu uchumi

    Afisa Elimu wa Mkoa Kilimanjaro, Paulina Mkwama amesema watakaopata chini ya Division 3 wajiandae kushtakiwa kwa uhujumi Uchumi. Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Umbwe walipokuwa katika ziara ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Gerald Mweri...
  11. Tafsiri mpya ya kufeli(kushindwa)

    Hivi unajiskiaje unapoambiwa umefeli au umeshindwa? Au pale unapopata habari kwamba mtoto wako, ‘jembe lako unalolitegemea’ amefeli yaani amezungusha “O”?. Ninaanza kuhisi jinsi mapigo yako ya moyo yanavyoanza kwenda mbio bila sababu, bila kusahau kijasho chembamba kilichoanza kuchungulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…