Aliyefeli Form 4 anaweza kurudia Form 3 shule ya serikali?

Kizito16

Member
Dec 16, 2019
25
16
Habari Wana Jambo

Naomba kujua kama kuna Uwezekano kwa Mwanafunzi aliyefeli Kidato cha nne kwa alama div 4 30 mwaka Jana, anaweza Kupata nafasi shule yoyote ya serikali arudie kwa kuanzia Form 3.
 
Haiwezekani mkuu. Namba ya kidato cha pili unatumika mara moja tu. Huyo anaweza rudia kama mwanafunzi wa kurudia tu.
 
Inawezekana kwa option kubwa mbili.

1. Afanye mtihani wa Form 2 kwanza ili apate namba.

2. Aingie Form 3 kwa jina la mtu.

( Kuna raia huwa wanaacha shule, halafu Walimu wanajiongezq kwa kuchukua mtu wa Form 1 au 3 kufanya mitihani yao, ili hayo majina yapate namba. Haya majina baadaye huwa yakipata mtu, wanayauza ).
 
Inawezekana kabisa

Ipo hiv anasoma kama mwanafunzi wa kawaida na kulipa michango ya chakula but kwenye usajili hasajiliw wala kwenye roster ya wanafunzi hawekwi

Then atakuja kufanya mtihani kama PC au private candidate atakapofika form 4 that's all

Nicheki kwa namba hiz nkuunganishe na hizo shule zipo huku Kilimanjaro ondoa shaka kabisa
Calls and whatApp
0764616353
 
cheating;- husomwa;.... "chitingi"
......kutenda kitendo cha udanganyifu kwa uaminifu ili kupata faida, hasa katika mfumo au mitihani.......
.....kwa maana nyingine "koneksheni"............
 
Kuna baadhi ya shule za serikali Zina elim ya watu wazima ODL , mtoto anaweza kusoma kwa miaka miwili. Mwaka mmoja anafanya QT hii hutumika Kama mtihan wa kidato Cha pili na mwaka unaofata anaweza ufanya paper ya four na Kama atafaulu anaweza kupangiwa advance shule za serikali Kama ana vigezo.

Unaweza kunipm kwa maelezo zaid
 
Inawezekana kwa option kubwa mbili.

1. Afanye mtihani wa Form 2 kwanza ili apate namba.

2. Aingie Form 3 kwa jina la mtu.

( Kuna raia huwa wanaacha shule, halafu Walimu wanajiongezq kwa kuchukua mtu wa Form 1 au 3 kufanya mitihani yao, ili hayo majina yapate namba. Haya majina baadaye huwa yakipata mtu, wanayauza ).
Hizo zote haziwezekani mkuu. Siku hizi ili ufanye mtihani wa kidato cha pili kwenye usajili wanaingiza namba ya darasa la saba. Kwahiyo, hawezi rudia kidato cha pili tena na hawezi tumia jina la mtu mwingine mana hata kidato cha pili pia wanatumia picha kwenye usajili wao
 
Back
Top Bottom