kufariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wafariki kwa mlipuko katika Godauni la Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa, Morogoro

    Watu wawili wamefariki Dunia baada ya kutokea mlipuko katika godaoni la Kiwanda cha Sukari Mtibwa. Lakini hadi sasa viongozi wa serikali na kiwanda wamegoma kuzungumzia chochote kuhusiana na tukio hilo lakini Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro imekiri kupokea maiti mbili za watu waliofariki...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Jamaa amrekodi mkewe akinywa sumu, mpaka kufariki dunia

    Hii habari nimekutana nayo Twitter, sijajua ukweli wake hasa ni nini lakini si mbaya niki-share nanyi -- Anaitwa DJ Brownskin... Alimrekodi mkewe akinywa sumu. Alimshawishi mwanamke huyo anywe sumu, kisha akamwita housegirl ili amnyweshe maziwa huku akiendelea kurekodi mambo yote. Mmoja wa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha Madereva kufariki kwa kusafirisha Kemikali za Sumu

    OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali na wasafirishaji wa kemikali wamesema hakuna dereva anayepoteza maisha kwa kuathiriwa na kemikali kutokana na uhifadhi usiofaa wakati wakusafirisha. Ufafanuzi huo umetolewa Mara baada ya kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii iliyorekodiwa na raia wa nchi...
  4. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Rafiki yangu Kutajirika na Kufariki kinahuzunisha

    Jamaa tulimaliza naye shule mwaka 1996 form four. Mimi nikaendelea na masomo na kufanikiwa kumaliza chuo. Nlikuja kutana nate tena mwaka 2003 akiwa anahangaika na maisha kwa kufanya biashara ndogo ndogo. Aliendelea nazo mpaka mwaka 2019 ambapo maisha yake yalibadilika sana. Akaja kuwa na pesa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua watu 20 Tanga, yadaiwa wakati wa uhai wake, marehemu alisema akifa mwili wake usipelekwe Kilimanjaro

    Ndugu wa marehemu Athanas Mrema aliyekuwa akisafirishwa katika gari lililopata ajali na kuua watu 20 Korogwe mkoani Tanga, wamedai kuwa ndugu yao hakutaka kwenda kuzikwa Rombo mkoani Kilimanjaro. Inadaiwa kuwa Mrema alitengana na mkewe anayeishi Rombo kwa zaidi ya miaka 20 na aliomba akifariki...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

    Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni. Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake...
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tuliwaonya hawakusikia walipendwa wakadeka wanaaibika mwisho wa ubaya ni aibu! poleni Chadema hii ndio maana ya kufariki kwa chadema

    walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania TANZIA Qatar: Mwandishi wa Habari wa pili afariki dunia, saa 48 baada ya yule wa Marekani kufariki

    Khalid al-Misslam, Mwandishi wa picha aliyekuwa akifanya kazi na Kituo cha runinga cha Al Kass, amefariki jana huku sababu za kifo chake zikiwa hazifahamiki hadi sasa Khalid ni Mwanahabari wa pili kufariki kwenye Kombe la Dunia huko Qatar ikiwa ni saa 48 baada ya Mwanahabari wa Marekani, Grant...
  9. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Nywele na kucha za mtu huendelea kukua hata baada ya kufariki

    Siku chache baada ya kufariki nywele za mtu pamoja na kucha zake huonekana zikiwa zimeongezeka urefu. Jambo hili huonekana mara nyingi sana, linaweza pia kuthibitika kwa kutazama masalia ya binadamu yanayoibuliwa kila kukicha. Baada ya kufariki, sayansi inasema kuwa ukuaji wa kiumbehai kupitia...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Songwe: Mchungaji akamatwa kwa kumuombea mtoto wake hadi kufariki

    Jeshi la Polisi linawashikilia watu 3 akiwemo Mchungaji Julius Mwasimba baba mzazi wa marehemu na watoto wake Elia na Emmanuel Mwansimba kufuatia kifo cha Anna Mwansimba. Kamanda wa Polisi, Alex Mkama amesema ndugu hao walimfungia mgonjwa na kuanza maombi kwa siku 3 lakini baadaye waligundua...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Ndege mbili zagongana angani wakati wa maonesho ya kijeshi

    Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia. Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Matukio ya watu wengi kufariki katika viwanja vya soka kwa wakati mmoja

    Baada ya watu 174 kufariki na 180 kujeruhiwa Nchini Indonesia, juzi Oktoba 2, 2022 matukio mengine ndani ya miaka 40 iliyopita ni: Cameroon watu 8, (2022), Misri watu 73 (Februari 2012), Ivory Coast, watu 19 (Machi 2009), Ghana watu 126 (Mei 2001), Afrika Kusini watu 43 (Aprili 2001), Guatemala...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania apigwa risasi na kufariki Afrika Kusini

    Familia moja ya Kigogo, Dar es Salaam, inaomboleza kifo cha mtoto wao nchini Afrika Kusini. Ericky Ismael Ngobei, 22, aliuawa kwa kupigwa risasi Alhamisi iliyopita usiku katika eneo la biashara lenye watu wengi baada ya kuzozana na washambuliaji. Ndugu wa marehemu amesema kuwa shambulio hilo...
  14. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana mwingine wa Kenya aliripotiwa kufariki Saudi Arabia

    Familia moja katika kaunti ya Kisii imeitaka serikali kuwasaidia kurudisha mwili wa binti yao kwa mazishi baada ya kufariki Saudi Arabia. Naomi Barongo alifariki miezi miwili iliyopita katika hali isiyoeleweka baada ya kwenda Saudi Arabia mwaka 2021 kutafuta kazi. Jamaa zake wamekuwa...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mara: Mgambo achomwa kisu na kufariki kituo cha Polisi, alimzuia aliyemchoma kumfanyia fujo mkewe

    Askari mgambo Fred William (47), mkazi wa Kijiji cha Mkengwa, Rorya mkoani Mara, amefariki dunia baada ya kuchomwa na kisu shingoni akiwa katika kituo cha polisi Mkengwa, wakati akimzuia aliyemchoma kisu kutomfanyia fujo mke wake aliyekimbilia kituoni hapo kuomba msaada. SOURCE: EA Radio ===...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Congo DR kuchunguza mgonjwa anayehofiwa kufariki kwa Ebola

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Mamlaka za Afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimeanza uchunguzi ili kubaini sababu za kifo cha mwanamke kutoka mji wa Beni anayedhaniwa kufariki kwa ugonjwa wa Ebola. Mji wa Beni ni moja ya vituo vikuu vya mlipuko wa Ebola ambapo tangu mwaka...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Jogging pembeni ya barabara zinagharimu UHAI

    Ndugu zangu wafanya mazoezi pembezoni mwa barabara. Chukueni tahadhari hususani wakati wa alfajiri na jioni/usiku. Nimepoteza rafiki wawili (mmoja Dar mwingine Mtwara) kwa ajali wakiwa mazoezini. Wameacha familia changa mno. Wakati mzuri wa kufanya mazoezi ya kukimbia huwa ni asubuhi au...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Watoto 5 wa familia moja wadaiwa kufariki kwa ugonjwa wa tumbo Arusha

    Watoto watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mswakini wilayani Monduli, Mkoa Arusha nchini Tanzania wamefariki dunia kwa ugonjwa ambao bado haujatambulika baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo na matumbo kujaa. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Julai 19,2022, Dwani wa Mswakini...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Watu 13 nchini Jordan wanadaiwa kufariki huku 251 wakijeruhiwa baada ya gesi ya klorini kuvuja bandarini

    Tanki lililojazwa tani 25 za gesi ya klorini iliyokuwa ikisafirishwa kwenda Djibouti lilidaiwa kuanguka kutoka kwenye winchi na kujigonga kwenye meli ambapo gesi hiyo ilianza kuvuja na kuzua taharuki bandarini hapo Mamlaka za eneo hilo zilituma wataalamu kuzuia uvujaji zaidi huku wakiamrisha...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Takriban watu 45 wadaiwa kufariki kwa mafuriko nchini Bangladesh

    Mvua kubwa iliyonyesha kwa takriban wiki moja inadaiwa kusababisha mafuriko makubwa ambayo yameacha mamilioni ya watu bila makazi Inaelezwa kuwa baadhi ya shule zimegeuzwa hifadhi za muda kwa waathirika ambao vijiji vyao vimefurika baada ya mito kupasuka kingo, huku wanajeshi wakiendeleza...
Back
Top Bottom