kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aibu iende kwa nani juu ya huu upuuzi unaofanyika? Watu makini hawezi kufanya maandamano ya kipuuzi kama haya

    Yaani mkusanye watu wasiofaa hata kutazamika kwa macho alafu mdanganye kuwa ni waumini wa dini fulani ambayo kataa usikatae ina ushawishi mkubwa hapa nchini basi wewe hako sawa. Kwanza hii inaleta picha kuwa tayari una chuki na kinyongo juu ya hili dhehebu. Pili hili dhehebu halikubaliani na...
  2. JamiiForums Tanzania Pale ninaposhinda nyumbani halafu Sina kazi ya kufanya

    Mimi huyo Pale nimeshinda mtaani halafu mikono imezoea kuchezea cement, najenga chochote tu 🤣 +255624254690
  3. JamiiForums Tanzania Ikitokea umekula sumu bahati mbaya, nini cha kufanya?

    habari Natanguliza shukrani nauliza kama wataalamu mtatusaidia.
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wanaogopa kufanya kazi kampuni ya Asas?

    Kampuni pekee ambayo Ina magari mengi lakini madereva wanaogopa kufanya kazi. Dereva yupo radhi akae bila kazi kuliko kufanya kazi ASAS. Kwanini?
  5. JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga kuvuruga amani na uchaguzi

    Hakuna sababu ya kuunda tume kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga Kwa lengo la kuvuruga amani ya nchi Kuvuruga uchaguzi Kuharibu biashara za watu Kuharibu miundombinu ya serikali Kuliletea Taifa letu sifa mbaya Unakaaje meza Moja na watu kama hao ambao hawana tofauti na wahaini...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi bora ya kufanya malipo ya kununua bidhaa online? debit au prepaid card?

    Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki...
  7. JamiiForums Tanzania Tunachimba visima na kufanya underground water survey kwa gharama nafuu

    Habari wana jamii forum,sisi ni wataalamu na wabobevu wa uchimbaji wa Visima vya maji kwa kutumia mitambo maalumu Tunachimba visima virefu na visima vifupi Pia tunafanya Underground water survey ili kufahamu kama eneo lako lina maji,kama yapo jee yapo umbali gani na wapaswa kuchimba kisima cha...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania tunapaswa kufanya hivi ili kupunguza umasikini, uhaba wa ajira na kukuza lugha ya Kiswahili

    Hapa nitaongelea vipengele viwili na vinahusiana sana, kwa hiyo naomba usome hadi mwisho I. Suala la Uhaba wa Ajira II. Ukuaji wa Lugha ya Kiswahili I. UHABA WA AJIRA Tanzania ina uhaba wa ajira kwa sababu ya uhaba wa makampuni na wawekezaji. Sio tu wawekezaji wa nje, hata wa ndani pia ni...
  9. JamiiForums Tanzania Askofu Mihali Wakatoliki waliosimamia uchaguzi na kufanya Udanganyifu wakafanye kitubio

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa. Askofu Mihali alitoa wito huo wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu katika Imani. Tukumbuke kuwa Allah ametuahidi.

    Mwaka unaishia na mwingine unaanza. Nawakumbusha tu kuwa tuna ahadi ya milele Allah ametuahidi. Kwahiyo Tujitahidi kufanya mema twende Peponi. Quran 45 : 51 -55 "Hakika wachamngu watakuwa katika mahali pa amani. Katika Bustani (Peponi) na chemchem. Watavaa nguo za hariri nyembamba na nzito...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanapoteza fursa kwa kuwa wazito ktk kufanya maamuzi ya ki Biashara/ mapenzi

    Ktk vitu ambavyo vinafelisha watu wengi ni kuwa wazito ktk kufanya maamuzi pale wanapikuwa approched kwa malengo ya ki biashara, kazi au hata mahusiano Unaweza ukakuta mteja kawaka kweli kuna kitu anataka kununua halafu muuzaji anaanza kujivuta anamsubilisha subili kwanza nikajadili na fulani...
  12. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa JWTZ wapewe kazi za kufanya usafi wa mitaa

    Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma. Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe...
  13. JamiiForums Tanzania Ni bora ukasema hii nchi inachama kimoja na inafanya watakavyo kuliko kuishi kwa kusema kuna democracy watu wajue cha kufanya sio kutumia kuua kuficha

    Kuna rafiki yangu ni taifa ambao wamenyooka sana kwenye elimu sana na matendo yao. Wanacho kwambia kama umetaka kufanya usilete kuchanganya pande mbili kuonesha kama sio wewe. Leo hii kwa kiduku inajulikana maamuzi yake ila wananchi wengi wameshaamua kama ikitokea uwezi wanaweza kuondoka na...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumza na wakuu wa JWTZ huko Tanga

    Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi. Mbona sio kitu cha siri? Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hamza alikuwa mbele ya wakati, aenziwe kwa kufanya maandamano kila 25 August

    25 August 2021 mwamba mmoja aitwaye Hamza Mohammed aliifunga Dar kwa muda wa masaa 3. Akiwa na leso tu ya kujifutia jasho mkononi mwake, aliweza kuwanyang'anya bunduki polisi kisha kuisimamisha Dar kwa muda. Katika sakata hilo Hamza alifanikiwa kuwapeleka peponi polisi 4, na kuwajeruhi 6...
  16. JamiiForums Tanzania 🌾 USIMALIZE MWAKA BILA KUFANYA HIVI

    Mwezi wa 12 ni zaidi ya sherehe na mapumziko. Kwa mkulima na mfugaji mwenye maono, huu ni mwezi wa kufanya maandalizi muhimu kabla ya kufunga mwaka na kuweka msingi imara wa mafanikio ya msimu unaofuata. Kabla hujaumaliza mwaka huu, hakikisha umefanya haya: 🔹 Tathmini ya mwaka mzima Angalia...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Vaa viatu vyangu halafu chagua cha kuanza nacho...!

    Salamu ndugu wana JF Moja kwa moja kwenye mada. Chukulia kwamba Mungu amekupa uwezo wa asili wa kufundisha na katika kuishi kwako umegusa watu kwenye maeneo mawili muhimu: 1. Elimu ya kitaaluma 2. Elimu ya Kiroho(Uponyaji kupitia Injili ya Yesu Kristo,hapa kuna ambao wameponywa magonjwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tuache kuwaletea dharau, kebehi na kiburi wale wenye mzuka wa kuandamana kwani kufanya hivyo ni kuwachochea watekeleze kile walichokuwa wanakipanga

    Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hamtatumia tena vijana wetu askari kufanya amri zenu haramu

    Polisi wamechoka kuwavumilia nye mazombi. Wamelalamika chinichini imetosha. Nye nye wachukiwe wao na ndugu za kisa matumbo yenyu hehee. Hamtawatumikisha tena walahi. Wanaenda kujikomboa. Mwawapiganisha na raia Nye mwachekelea kwe mavinane hee. Mwawalipa bei ngani mpaka wawaue ndugu zao. Mayi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kuanzia tarehe 6 mpaka tarehe 8 hutaweza kufanya miamala ya TISS, au kwa lugha nyepesi, bank kwenda bank nyingine, Mtandao kwenda mtandao mwingine

    Hii ni taarifa ya bank moja nimepata, hii inaenda kuathiri miamala karibia yote. Chukua hatua mapema
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…