Ithibati ni nini na itakiwaje kufanya kazi?

Ithibati ni nini na itakiwaje kufanya kazi?

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
ITHIBATI NI NINI NA ITAKIWAJE KUFANYA KAZI?

Kumekuwa na mazungumzo mengi mtandaoni kuhusiana na bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, kwenye Kikao cha dharura cha @speshokabwanga Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile anaelezea ithibati ni nini na inafanyaje kazi.

Full Interview ya Kikao cha dharura ipo kwenye youtube account ya @speshokabwanga



 

Attachments

  • VID-20250802-WA0140.mp4
    32 MB
  • VID-20250802-WA0050.mp4
    20 MB
  • VID-20250802-WA0144.mp4
    21.2 MB
Back
Top Bottom