kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bucket list: Mambo ambayo unatamani kufanya kabla ya kufa

    Wasalaam. Nimetafakari tu ufupi wa maisha yetu sisi wanadamu. Walakini, bado yapo mambo ambayo nafsi yangu ingetamani kuyafanya au yatimie mnamo au kablya ya umauti. Mambo hayo ni: 1. Kuwa na mapatano na muumba wangu; 2. Kutembelea mabara yote hapa duniani; 3. Kuacha legacy nzuri na mali kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
  3. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa Ubungo - Hili Tangazo Mnaongeza gharama za kufanya Biashara

    Miaka zaidi ya 10 iliyopita Serikali ya Jamhuri ilikuwa inapambana kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini. Report ya world bank wakati ule ili rank Tanzania 121 kwa mazingira magumu zaidi ya kufanya biashara TPSF na wadau wake kupitia doing business Roadmap wakapambana mno. Kwa tathmini...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Haikuwa sahihi kwa Rais kutaja hadharani sababu ya kufanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri

    Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa. Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI KAZI YA KUFANYA USAFI

    Habari za weekend? Mimi ni msichana Naombeni kazi ya kufanya usafi Nyumbani, restaurant, bar shuleni,ofisini na kwingineko Napatikana Dar es salaam ukinihitaji karibu pm pia nafatilia comments
  6. JamiiForums Tanzania Biblia haijasema asiyefanya kazi asile, Imeandilwa Ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.

    Habari! Msingi wa andiko hili ni kuonyesha neno moja katika mstari wa Biblia 2 Thes. 3:10 ambalo lina maana kubwa lakini linasahaulika. Neno "HATAKI" linaachwa kisha watu husema kuwa asiyefanya kazi asile. Kwa zama zile za uandishi wa agano jipya yawezekana kazi zilikuwepo nyingi kulingana na...
  7. JamiiForums Tanzania Meneja Ahmed Ally afafanua Simba kufanya majaribio

    Anaandika Msemaji Mstaarabu Ahmed Ally katika kurasa ya Instagram Ni kweli tuna wachezaji watatu tunawafanyia majaribio Mashabiki wa Simba wamepata hofu kwanini timu yao na ukubwa wao wanafanya majaribio?? Kwanza kabla ya yote niwaambie tuu Wachezaji ambao sisi tunawafanyia majaribio wakienda...
  8. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamekengeuka, kumkomalia Spika kujiuzulu ni dalili kuwa hampendi bunge kufanya kazi zake za kuisimamia Serikali. Mnatumika bila kufikiri

    Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea. Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Imekua rahisi sana kufanya tendo na mpenzi wako muda mfupi tu baada ya kuwa wapenzi?

    Habarini! Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu. Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini? Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo 16 niliyojifunza kwenye hotuba ya Rais Samia - Januari 4, 2022

    Yafuatayo ndio nimejifunza kutokana na hotuba ya Jana. 1. Rais amekasirishwa na maoni yaliyotolewa na speaker Ndugai kuhusu mikopo. 2. Rais amemshambulia speaker Ndugai at individual capacity na sio Kama speaker kwenye maoni kuhusu mikopo. 3. Rais amehaidi kukopa zaidi na mpaka Sasa wamepata...
  11. JamiiForums Tanzania Mtu anaye/aliyevunja Katiba,dawa yake ni kuondoka hata kwa kufanyiwa alichofanya

    Dear Members, Heri ya Mwaka Mpya 2022, Leo nikiwa nafanya ibada ya asubuhi nikiombea Nchi yetu pamoja na viongozi wake, Neno la Bwana likanijia kwa sauti ya upole likisema ..ewe Mwanadamu, andika hivi " Kwa kuwa mshahara wa Dhambi ni MAUTI na kwa kuwa kila KOSA lazima liadhibiwe na kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

  13. JamiiForums Tanzania Khadija Kopa: Najutia sana kitendo cha kufanya abortion

    Khadija Omar Abdallah Kopa (amezaliwa Zanzibar, 1963) ni mwimbaji wa muziki wa Taarab na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Tanzania. Mbali ya muziki, Kopa ni mama wa nyumbani, mfanyabiashara na pia mwanaharakati wa kisiasa nchini Tanzania. Khadija Kopa Jina la kuzaliwa: Khadija Omar Abdallah Kopa...
  14. JamiiForums Tanzania Nchi inapoongozwa na aliyeko nyumbani, na aliyeko ofisini hajui cha kufanya

    Nilipokuwa shule nilisoma kitabu kimoja kinaitwa NCHI YA KUSADIKIKA Nilijitahidi sana kukisoma kile kitabu lakini sikuwahi kukielewa vizur kilikua na maana gani, na nilijitahidi sana kukisoma ili baadae niweze kutumia maudhui yake katika kujibu moja ya swali la mtihani ambalo ningekutana nalo...
  15. JamiiForums Tanzania Zitto adai alichosema Askofu Mwingira kiliwakumba Watanzania wengi wakati wa utawala wa Hayati Dkt. Magufuli

  16. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye mazoezi ya kuimba

    Habarini wanajamvi. Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume, naishi Dar es Salaam. Mimi ni mdau wa muziki na mtunzi wa nyimbo ingawa napata changamoto ya kupata waimbaji. Ninatamani nijifunze kuimba pia, hivyo basi, kama kuna mdau...
  17. JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana anayeweza kufanya mauzo Door to door na delivery

    Habari zenu. Kijana mwenye nishhati (energy) ya kufanya mauzo vituo maalum tutavyompangia na kudeliver kwa wateja wetu waliopo kwa bidhaa asilia za ngozi anahitajika. Piga 0713 039 875 (Awe Dar au Kibaha mjini). Muhimu: sipo JF muda mwingi,tumia simu
  18. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi mnapoenda nje ya nchi, huwa mnaweza kutalii na kufanya shopping tu? Kwaninii hamjifunzi haya na kuyaleta nyumbani?

    Tweets hizi za Zitto zimenifanya nikumbuke hilo swali ambalo kila wakati huwa linanijia kichwani hasa ninaposoma au kusikia habari kama hizi. By Zitto kupitia twitter: "Wengi wakisikia UAE na maendeleo yake makubwa wanadhani ni sababu ya Mafuta na Gesi Asilia. Lakini ukitazama Mauzo Nje ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini watu maarufu wengi wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri?

    Hello 👋 Ingependa kujuzwa kwanini Celebrities wengi hasa actors wa hollywood wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri. Tatizo ni nini hasa maana kwa pesa na umaarufu wao wanaweza kupata mwanamke yoyote mzuri n young watakae. Btw. Mapenzi ni kupenda pale roho yako ilipopenda na inafurahi kua...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Amb. Kijazi Interchange, Mchina arudi kufanya usafi na ulinzi? Tz tumeshindwa?

    Kuna usemi wa Kijaluo kwamba "Solution to One Problem Carries the Seeds for the Next Problem" yaani "ufumbuzi wa tatizo moja hubeba mbegu za kuotesha tatizo jingine, tafsiri isiyo rasmi" Daraja-kavu la Amb. Kijazi Interchange katika Manispaa ya Ubungo jiji Dar es Salaam ambalo mwanzoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…