kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kufanya uzembe kama huu. Hivi mnajielewa kweli??

    Leo nimepokea kesi toka kwa kidume uchwara mmoja analalamika kuwa anamhudumia msichana kwa kila kitu (kodi ya pango, mavazi, chakula, na mahitaji mengine) lkn huyu kijana hajawahi kupewa papuchi kaambiwa mpk watakapofunga ndoa. Kilichomtisha huyu kidume mpka kuja kwangu leo ni kwamba ni mwaka...
  2. JamiiForums Tanzania Tunafanya kazi saa moja hadi saa saa 12, Kuna watu wanataka wagome

    Standard working hours
  3. JamiiForums Tanzania Chanzo Cha Mwanamke Kuonesha Kiburi Kwa Mwanaume Wake. Cha Kufanya

    Hapa naongelea mwanamke ambaye ulikua naye vizuri lakini sasa analeta jeuri. Ila kama mwanamke ana hulka ya ujeuri, huyo hakuna haja ya kupasua kichwa. . Mwanaume kuwa dhaifu baada ya muda. Mara chache mwanamke atakuambia umekua dhaifu, hivyo njia rahisi kwao ni kuleta ujeuri wakiwa na matumaini...
  4. JamiiForums Tanzania Nisaidieni jinsi ya kufanya marketing

    .
  5. JamiiForums Tanzania Kujitolea kufanya kazi katika kampuni mbalimbali za umeme, Dar es Salaam

    Habari wakuu. Mimi ni mwanachuo wa DIT mwaka wa kwanza,ngazi ya Ordinary Diploma in Electrical engineering. Katika kipindi hiki cha likizo ya wiki mbili,nilikuwa naomba connection kama nitaweza kupata sehemu nikajiegeza kwa ajili ya kupata ujuzi nje ya workshops. Sehemu iwe yoyote...
  6. JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya unaponunua gari kwa Mara ya Kwanza toka showroom?

    Wadau huu uzi ni wetu, wake kwa waume mabibi na mabwana, Pindi unaponunua gari Toka showroom kwa Mara ya Kwanza Nini Cha kufanya. Wake wataalamu tunawasikiliza. Mimi sio mtaalamu Sana wa magari
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jambo la kufanya kwa siku ya leo ya wapendanao

    Kuna hii story nimeisoma somewhere. Kuna mama mmoja alijiunga kwenye self-improvement program, katika iyo program walipewa assignment wakawaombe waume zao wawatajie mapungufu sita walinayo hao wakina mama. Jioni mumewe aliporudi nyumbani yule mama akatekeleza assignment kwa kumuomba mumewe...
  8. JamiiForums Tanzania Mwasisi wa TANU, Shushushu anayetajwa kufanya kazi na mashirika 8 ya Kijasusi duniani

    Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika...
  9. JamiiForums Tanzania Nimetengeneza shule ya kwanza ya kidigitali ambayo wanafunzi watasoma na kufanya mitihani wakiwa nyumbani

    SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao pasipo kujali eneo ulilopo. Tutembelee www.taifaschool.net NB: NAPOKEA USHAURI WA AINA YOYOTE...
  10. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kufanya mtihani wa ACSEE kama Private Candidate kwa mtu mwenye diploma au degree?

    Habari wana JF, Karibuni nataraji kujiunga na diploma ya computer science,nimelazimika kusoma diploma kutokana na majukumu yangu kwa sasa japokuwa form four nilifaulu vizuri tu namshukuru mola. Swali langu ni kuwa, je naweza kufanya mtihani wa ACSEE kwa baadae kama private candidate sawa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mganga anaweza kufanya mwanamke asiekupenda akakupenda?!

    Kwema wakulungwa. Hii imenitokea juzi kuna demu ananisumbua sana apa mtaani nishamtongoza sana ila kunpa mchezo anazngua sasa nkawa nmemsimulia jamaa ang mmoja akanishauri nmchek mtaalamu mmoja yupo uko mkoan baada ya kuongea na uyo mtaalam kasema nmtumie majina ya uyo dem na hela ya kaz sh...
  12. JamiiForums Tanzania Katavi: Afungwa miaka 30 kwa kufanya mapenzi na mtoto wake

    MAHAKAMA ya Wilaya Mpanda, imemuhukumu Agustino Michese (59) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa kufanya mapenzi na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16. Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya Mpanda Rebeka Mwalusako amesema mtuhumiwa alitenda...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume, tambua sababu 5 za mwanamke kufanya mapenzi na X wake wakati mpo kwenye mahusiano

    Sababu hizi sio kwa ajili ya kuwalaumu wanawake bali ni kwa ajili yako mwanaume, sababu wewe ndo kiongozi na ni jukumu lako kutambua hali na kuchukua hatua. Vingine vinaumiza lakini ndivyo ilivyo. Ila kama mwanamke uliyenaye ana rekodi nzuri ya kudanga, na hajabadilika basi ukae tayari...
  14. JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya pale tu unapoingia katika soko la ajira

    Hii nakala nime copy kutoka moja ya mitandao ya kijamii. MWANDISHI: Iddy Makengo, 11 Sep 2017. NINI CHA KUFANYA PALE TU UNAPOINGIA KATIKA SOKO LA AJIRA! Miaka kama nane hivi iliyopita nilikua katika soko la ajira, ingawa sikusumbuka sana kwa maana ya kukaa muda mrefu bila ajira lakini...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kutafuta maisha au kufanya biashara mpaka wa Kasumbalesa njoo tukumbushane visa vya huko

    Mara ya kwanza ilikuwa ni likizo yangu December 2018, nikiwa na mwenyeji wangu ( mzambia) baada ya kupeleka mchele na kumaliza kuuza, mwenyeji wangu alinishauri tusogee Rukwa, tununue dagaa then tuwapeleke Kasumbalesa kwa kipindi hicho akadai wanalipa na yeye anawafahamu dagaa ila shida lugha...
  16. JamiiForums Tanzania Kigoma, Uvinza: Wananchi waua Askari wa akiba 3 waliodaiwa kutaka kufanya unyang'anyi wa ng'ombe

    Tukio kubwa limeripotiwa kutokea mkoani Kigoma, Wilaya ya Uvinza ambapo Askari wanne wameuawa kwa sababu walitaka kuwanyanganya ng’ombe wafugaji wa jamii ya kisukuma kwenye msitu wa Kagera, Nkanda. Askari hao wanadaiwa kumpiga risasi mchungaji baada ya kuwagomea wasichukue ng'ombe na wafugaji...
  17. JamiiForums Tanzania Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

    Hii ni kupigana midongo ya nguvu "Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?" 👇
  18. JamiiForums Tanzania Maajabu ya kaburi linalotoa moto, watu wanashangaa hawana kitu cha kufanya

    Maajabu ya Mwenyeezi Mungu Watu wameshangaa kuliona kaburi Moja likitoa moto Hawana kitu cha kufanya.
  19. JamiiForums Tanzania Kutoboa kwa sanaa pekee ni ngumu! Hawa ni baadhi ya wasanii walioamua kujiongeza kutafuta kipato cha ziada kwa kufanya biashara

    Najua wengi tayari tunawajua kina Diamond na Sugu, nisingependa kuwaweka hapa maana hawa wapo levo za ma ivestor na mega business owners, washapita stage za kuhaso, kwa sasa wanaweka chao aidha mtaji wa pesa au umaarufu wa jina wanasubiri chao, wameajiri wataalam wa kuwaendesha biashara kama...
  20. JamiiForums Tanzania Chama cha CUF wananchi wilaya ya Kinondoni kufanya mkutano mkubwa wa hadhara Magomeni Februari 2, 2023

    CuF- chama cha wananchi wilaya ya kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia prof.Lipumba. Usipange kukosa njoo tuisimamishe kinondoni, njoo tuijaze magomeni. #ChamaMakini #ViongoziMakini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…