Faida za kuwa na world-best irrigation system ni kilimo kitakuwa kinafanyika mda wote bila kutegemea mvua na kutatengwa budget ya Shilling Trillion moja kwa ajili ya kuzitengeneza
Tutalazimisha mabadiliko yafanyike kwani huu uchaguzi sio wa samia wala wa nani, uchaguzi ni wa watanzania wote lazima tuongee lugha moja ndio uchaguzi ufanyike kwa haki hakuna haki kama mtu mmoja hajiamulie vitu kutoka chumbani kwamba uchaguzi uwe hivi au uwe vile bila wengine kutaka.
Why nasema hivo kama mtu una akili Timamu utanielewa ila kama akili kisoda hutaelewa ipo hivi Uwanja wa Mkapa ulifungiwa kabla ya Robo fainali ya pili Vs Al Masry na CAF wenyewe..
Simba wakacheza First leg Vs Al Masry wakala chuma 2 kavu wakaangalia wakaona marudiano itakua wapi options...
Kumekuwa na taharuki kuwa mchezo wa awamu ya pili utapigwa Zanzibar lakini sisi kama taifa tunaweza kufanya hivi ili hii Ngoma ipigwe kwa mkapa
kwamba eneo la uwanja wa Amani, hasa sehemu ya pitch, lifanyiwe marekebisho ya muda ili lisiwe tayari kwa matumizi.
Hii itatupa fursa ya kucheza...
Habari ya muda Great Thinkers!!
Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.
Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya...
Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu...
1. WAFANYABIASHARA WADOGO
Unauza nguo, viatu, chakula, vipodozi, electronics,
👉 Kama unataka kuuza zaidi ya watu wa mtaa wako, unahitaji matangazo ya kulipia.
🟢 Ads zitakusaidia kufikia maelfu ya watu wanaohitaji bidhaa zako, unaweza kufanya hata bila kuwa na duka!
2. MACHINGA & MADALALI
Wewe...
Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia
Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia Prof.Adolf Mkenda amesema kupitia mradi wa kufundisha wanyama (APOPO) hususan Panyabuku wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo(SUA), panya 100 wamefundishwa na kufuzu na kupelekwa nchi mbalimbali.
Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo...
Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu.
NB: No place for racism
Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa.
Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui.
Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA...
1.mbeya
najuta sana huu mkoa …biashara ya nyumba kupangisha au kuuza hapa hamna kabisa .Usije wekeza huku labda ujenge frame mwanjelwa na kabwe nje na hapo tusilaumiane
2.Iringa
huku nako biashara hii siyo ishu ukishindwa kupangiasha wanachuo utakesha
3.Katavi
4.Njombe
5……
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Maana yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali kwa wanaotuibia...
Naomba kuwasilisha maulizo yangu kwa wadau kuhusu sisi maafisa wasaidizi wa hesabu (assistant account officer), ambao tuliomba nafasi za kazi MDAs na LGAs ni lini tutaitwa kufanya interview
kiuhalisia tumekata tamaaa wengi wetu tukifikiria kwamba tumetengwa maana kila kada karibia zote...
Kwa tu misaada yao kwetu ambayo ni kiduchu sana kisichofikia hata TSH trillion moja kwa mwaka, hizi nchi za EU zinatuhesabu sisi bado ni koloni lao na maamuzi ya mahakama zetu zinapaswa kufuata maelekezo yao. Hawatambui sovereign yetu.
Rais wetu alishawakemea kuhusu jambo hilo. Hata rais wa...
Baada ya tukio lililotokea Aprili 29, 2025 ikielezwa kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma kiasi cha kusababisha Jeshi la Polisi kuingilia na kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia, ufafanuzi umetolewa kuhusu tukio hilo
Kama hukusoma kuhusu...
Moja ya sababu ya Simba kugomea mechi ilikuwa ni kuzuiwa na mabaunsa kufanya mazoezi
Je itakuwaje tena Mabaunsa wakiwazuia Simba kufanya mazoezi?
Yanga ndo mwenyeji wa mechi Bado, ndo atakuwa na majukumu yote mchezo, kama bodi ya ligi walijiridhisha kuwa mabaunsa wa Yanga walifanya vile...
REA alishindwa kufanya utafiti wa mahitaji umeme kama inavyotakiwa na badala yake ilitegemea takwimu zilizopitwa na wakati, hali iliyosababisha makadirio yasiyo sahihi ya mahitaji ya umeme. Pia, kulikuwako na ongezeko la gharama ya Shilingi bilioni 15.34 kutokana na maandalizi hafifu ya...
Uchaguzi wa ushindani ndio tunao utazamia pale mgombea anaposimama na kueleza yale atakayo yafanya na kuyatekeleza kwa ushindani wa vitendo kwa upinzani, na sio uchaguzi wa kujiteuwa ulipo kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia, hakuwezi kuwa na uwajibikaji hapo.
Kwanini vyama vya kisiasa...