kufanya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Ulaya umeachia orodha iliyoimarishwa ya mashirika ya ndege yanayodhaniwa kuwa hatari, na kuyakataza kufanya kazi ndani ya anga la EU

    Muungano wa Ulaya umeachia orodha iliyoimarishwa ya mashirika ya ndege yanayodhaniwa kuwa hatari, na kuyakataza kufanya kazi ndani ya anga la EU. Sasisho hili la hivi karibuni linajumuisha Air Tanzania, ambayo imeongezwa kwenye orodha kufuatia wasiwasi wa usalama ulioangaziwa na Shirika la...
  2. milele amina

    JamiiForums Tanzania Wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini,wazidi wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.

    Uhamiaji na Changamoto za Kijamii Wilaya ya Chunya Katika kipindi hiki, tumeweza kushuhudia mabadiliko makubwa katika hali ya uhamiaji nchini Tanzania, hasa katika maeneo ya vijijini kama Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Katika muktadha huu, ni muhimu...
  3. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Simamia mwenyewe kazi zako muhimu na epuka kufanya kazi kwa simu

    Miaka fulani uko nyuma nikiwa mkoani kwangu nilishuhudia uwanja mkubwa ulio jirani yetu ukisafishwa na bdae palifanyika ujenzi matata kabisa mahala pale. Kwa harakati zilizokuwa zinaonekana pale ni wazi walikuwa wanajenga kitu kikubwa sana km hoteli kubwa au kitu kinachofanana na hicho. Kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kurujuan ya mzee MAGOMA inaendelea kufanya kazi ndani ya mtaa wa Jangwani. Lini hii slow pacha itazibwa?

    Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya Watumishi KKKT kufanya kazi bila mikataba ya ajira

    Je, ni sawa kwa baadhi ya watumishi wa KKKT kufanya kazi na kupokea mishaara bila mikataba ?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wanaojitafuta kwa kufanya kazi za ujuzi wana uhakika wa kumaintain kuliko vijana wenye maduka na huduma za fedha?

    Kwenye level ya vijana wanaojitafuta, Ni sababu ipi inayowafanya vijana wengi wanaofanya kazi za ujuzi kuweza ku maintain kuzidi vijana wenye maduka na huduma za fedha Wenye ujuzi: wajenzi Wachomeleaji wa vyuma Wapishi / wakaanga chips mafundi rangi mafundi tv / simu / ;aptop / radio wasusi...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Picha: Pongeze zenu Mawaziri mmefika Kariakoo kufanya kazi. Hongereni sana

    Mawaziri wakiwa eneo la tukio kuendelea kuokoa wahanga
  8. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

    Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe. Musk says his dream of...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Je, Jerry Silaa amemgomea Rais Samia kufanya kazi katika Wizara ya Habari?

    Kwanza kabisa nikiri wazi nakubali sana uchapakazi wa Jerry Silaa (Mb) hasa alivyokuwa Wizara ya ardhi. Lakini kama tujuavyo mteuliwa hana maamuzi ni wapi afanye kazi, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu aliamua kumuondoa Wizara ya Ardhi ambapo sote naamini tunakumbuka hekaheka zake akamhamishia Wizara...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Albadil ya wazee wa Tanga dhidi ya waliomuua Mzee mwenzao Ali Kibao imeanza kufanya kazi?

    Nauliza tu any update concerning with Albadil kurujuan which took place in Tanga few days ago.
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Napendekeza Mabasi ya Mwendokasi wafanye kazi saa 24

    Leo nimesafiri na bus usiku nikapata mawazo hivi kwanini mabus ya mwendokasi wasifanye huduma zao masaa 24
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Mastermind Tobacco walalamika kufanya kazi muda mrefu bila kupewa ajira rasmi

    Kampuni ya Mastermind Tobacco Tanzania Limited inayopatikana Jijini Dar es Salaam maeneo ya Tazara imelalamikiwa na baadhi ya Wafanyakazi wake kwa kuwafanyisha kazi muda mrefu bila kuwapatia ajira. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi hao ambaye hakupenda jina lake kuwekwa hadharani Wafanyakazi...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Najitolea bure kwa Idara za Usalama wa Taifa zote Barani Afrika katika Kuwatafutia Watu mahiri wa kufanya Kazi huko kwani hata Israel wameshanitumia

    Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa... 1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu 2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu 3. Awe na uwezo wa...
  14. py thon

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya THAAD ishaanza kufanya kazi Israel ,huku Hezbollah wakisema wataanza kushambulia kwa makombola ya kisasa zaidi

    leo ndio mtambo wa ulinzi wa anga wa THAAD unaanza kufanya kazi Israel. Huku kundi la Hezbollah wakijibu kauli ya msemaji wa Idf aliyesema watashambulia benki na mali zinazohusiana na Hezbollah,, Kundi la Hezbollah wamesema watarusha makombola ambayo hawajaanza kuyatumia Tel Aviv huku...
  15. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Waziri Mhagama na Mkurugenzi Irene Kisaka: NHIF Wache Mara Moja Kufanya Kazi Kiswahili Badala ya Kuzingatia “Service Delivery Cycle" Makini

    Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Afya, na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma, Tanzania I. Usuli Kwa mujibu wa Dokezo la Kisera (Policy Brief) linalojadiliwa hapa, ninyi Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, na Mkrugenzi Mkuu NHIF, Irene Kisaka, mnakumbushwa kutekeleza majukumu yenu vizuri...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Unatafuta msaidizi wa nyumbani? Kwa Million 100 jipatie Optimus Robot kutoka kwa Elon Musk

    Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia humanoids robots zake zinazoitwa Optimus. Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza kufanya chochote unachotaka. Akazidisha akasema “Optimus ni biggest product ever katika human kind” na...
  17. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kama hatukumuelewa Hayati Mkapa basi tumuelewe Dkt. Dotto Biteko, tuache wanaoijua siasa waicheze na tujitume kufanya kazi

    Katika zama ambazo Ukoloni mamboleo umeshamiri ni bora tushauriane katika kujikita katika kufanya kazi ili kujitafutia maendeleo binafsi . Nafahamu kwamba Siasa ndio kila kitu lakini kulaumu na kuumiza vichwa kuhusu wanasiasa haisaidii kubadili maisha magumu tuliyonayo . Kama kuna watu...
  18. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Hakika utachoka kama umeamua kufanya kazi ya kumridhisha mwanadamu

    Mhadhara - 36: Hakuna kitu ambacho kinaweza kumridhisha au kumtosheleza mwanadamu wakati wote. Si pesa wala kitu chochote cha thamani. Kitu pekee anachoridhika nacho mwanadamu ni kifo chake. Mwanadamu haridhiki wala hatosheki. Kama shughuli zako unazofanya kila siku zinahusiana na kuwaongoza...
  19. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Kila Mtanzania anayeingiza kipato kwa kufanya kazi alipe kodi. Hakuna cha misamaha kwa viongozi wakiwemo wabunge kwani wote tunahitaji huduma bora

    Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 walipe kodi zote kwa kazi wanazozifanya kihalali Kuanzia Rais na viongozi wengine wote pamoja na wastaafu wanaopata mishahara ya asilimia ya 80% ya walio madarakani. Pasiwe na misamaha ya kodi kabisa. Kiongozi anapata msamaha wa kodi, halafu...
  20. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kutuma maombi ya kuhamia Marekani kwa kuishi na kufanya kazi unaanza rasmi leo

    Hii nimeizungumzia sana sana hapa na kwenye baadhi ya vilinge nje ya hapa. Pia wadau wengi wamekuwa wakiifafanua hapa na nje ya hapa pia. Nia na lengo ni kulishana taarifa sahihi. Sasa kwa wale mliochelewa kuijua inahusu nini au inahitaji nini ili kuweza kushiriki. Ni rasmi sasa DV-2026...
Back
Top Bottom