kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marais Samia na Kenyatta watia saini mikataba saba mpya ya kuendelea kushirikiana

    Mama ameamua liwalo na liwe potelea mbali, mbwai na iwe mbwai, biashara ifanywe, wale walioaminishwa chuki (buku saba) raundi hii sijui watapasuka tu. Kila mtu ajitume, masoko yanaendelea kufunguliwa, ushindwe mwenyewe. Kama una matikiti yako Mpanda hapo Tannzania, soko liko wazi Kenya yote...
  2. Sheria ya kuruhusu wenye mimba kuendelea na masomo,je imejaribu kutazamwa kwa upande wa mtu aliyesababisha hiyo mimba?

    Sheria ya kuruhusu wenye mimba kuendelea na masomo,je imejaribu kutazamwa kwa upande wa mtu aliyesababisha hiyo mimba? Wakati huyo mwanafunzi analea, mimba yake akiwa darasani je, huyo aliyetungisha, mimba atakuwa wapi? Sheria itaruhusu mwenye mimba kuendelea na Masomo kwa kujiamulia tu au...
  3. Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

    Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali" ====== Waziri wa Elimu, Prof...
  4. Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

    Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra, atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs! Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.! Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi, bikra! Kuwa...
  5. Ilikuwaje watu wakaamini kwamba Tanzania inaweza kuendelea bila kushirikiana na dunia?

    Huwa nawaza sana tulifikaje hapa tulipo leo, Hivi ilikuwaje taifa lenye wasomi wazuri kabisa likaamua kufanya maamuzi ya kipumbavu ambayo hata Waroma wa kale walioishi miaka 2000 iliyopita wasingeyafanya. Hivi katika maksudi kabisa, taasisi nyeti za Tanzania ziliamini kabisa kwamba wao...
  6. Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kufurika Chato na Geita, huku kwingine sisi si waTanzania?

    Siyo vibaya kwa viongozi kutembelea wananchi mikoa yote na kujua matatizo yao pale walipo. Lakini sasa imetokea tabia kwa viongozi wengi wa Kitaifa kuendelea kufurika Chato na Geita, ati kusimamia ahadi za chama na Ilani. Sasa sisi wananchi wa mikoa mingine , hasa kwa mfano mikoa ya kwetu huku...
  7. Wanatulazimisha kuendelea kumkumbuka Hayati Magufuli

    Nimeangalia mwenendo wa Utawala huu uliopo naona kabisa Rais hana hiana na Mtu na wala hana shida na Mtu. Wana hana hiana na Team Hayati Magufuli. Nime kuja kugundua vitu viwili tu ambvyo vinarudisha nyuma imani ya wananchi kwa serikali ya awamu ya Sita. Naviorodhesha hapa chini afu...
  8. RPC Arusha ahamasisha Raia kuendelea kusalimisha silaha

    #ARUSHA: Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amewataka raia kuendelea kusalimisha Silaha zote wanazozimiliki kinyume cha sheria katika vituo vyote vya Polisi, Ofisi za Serikali za Mitaa, pamoja na Ofisi za watendaji wa Kata. Kamanda Masejo ameyasema hayo jana Novemba 12, 2021...
  9. Umoja wa Ulaya yaimwagia sifa Tanzania. Yaahidi kuendelea kumwaga mapesa

    Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu. EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU...
  10. Nchi hii hata watu wote wawe na Degree moja, haiwezi kuendelea

    Kwema Wakubwa! Kwa tathmini zangu ninazoziamini kuliko kitu chochote kile. Nachelea kusema, nchi hii hata watu wote yaani wote milioni 60 tuwe na Degree moja moja na zaidi kamwe haiwezi kuendelea. Kwa bahati nzuri Mimi ninayo hiyo degree hivyo ninachokiongea nakielewa vizuri Sana. Kama...
  11. Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake Watatu kuendelea tena tarehe 26/10/2021

    Hii ndio Taarifa mpya niliyoipata kutoka kwenye ofisi moja ya Ubalozi Jijini Dar es Salaam, nilipoenda kwa masuala ya kibiashara , Kwamba Yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Mtemi Isike , Laingwanan au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyojulikana huko Zanzibar , kesho atafikishwa kwenye Mahakama...
  12. Inauma, inasikitisha, inakera sana, na inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na Safari ya Uongozi

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  13. Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  14. Singida: DC Muragili awasihi wazazi kuwasaidia watoto wa kike kujikwamua kiuchumi wanaposhindwa kuendelea na masomo

    Wazazi na walezi wameaswa kuwatafutia njia mbadala watoto wao wa kike ya kujikwamua kiuchumi inapotokea kukatishwa ndoto zao kwa kushindwa kuendelea na masomo kwasababu mbalimbali ikiwemo kubebeshwa mimba. Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili alitoa wito huo wakati akizungumza...
  15. M

    Kwako Beki Dickson Job japo Mimi ni mwana Simba SC, ila kuendelea Kucheza Kwako NBC Tanzania Premier League ni sawa na Kututukana Watanzania

    Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu. Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na...
  16. Nahitaji Monitor 24inch na kuendelea

    Nahitaji PC Monitor iwe na sifa zifuatazo iwe na minimum resolution 1920 x 1080 Refresh rate ya 75HZ IPS Display iwe added advantage Add Picha ikiwezekana! Nicheki kwenye wa.me?/0757497175
  17. Nchi masikini haiwezi kuendelea ikiongozwa kidemokrasia

    Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia. Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa...
  18. K

    Kiongozi mmoja aliyepigania watoto wasirudi shule ampeleka mwanaye nje kuendelea na masomo miezi 6 baada yakujifungua.

    Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali. Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa...
  19. Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  20. Namna ya kukabili tatizo la kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea

    1: Punguza wasiwasi: Hebu lifikirie tendo kama njia ya kujifurahisha sio njia pekee ya kutafuta kutoa mbegu, hii itakusaidia kuondoa mawazo ya kutafuta mbegu na kuchelewa kumaliza. 2: Fanya taratibu: Picha za ngono zinadanganya sana watu kwamba kulala na mwanamke lazima ufanye kwa haraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…