kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Maonesho ya wakulima (Nane Nane): Serikali itafakari mambo haya 9

    1. Je, maonesho Kilimo ya Nane Nane uendeshwaji wake uko sawa sawa? 2. Je, wakulima wanahudhuria na kujifunza kupitia maonesho haya 3. Nani mwenye jukumu la kuhakikisha wakulima wanashiriki maonesho haya? 4. Je, ni kwanini kwenye baadhi ya viwanja vya maonesho waoneshaji wanalipishwa gharama...
  2. JamiiForums Tanzania Malizia hii wikiendi kwa kuendelea kukataa pombe na ulevi. Jilinde dhidi ya kufirisika, magonjwa, talaka, kudumaa na kufanya vituko ukiwa umelewa

    Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako. Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata, waambie wiki hii una marejesho Washkaji wakisema wanakulipia bill kwa leo, waambie unaumwa na hauwezi...
  3. JamiiForums Tanzania Heche kuendelea kuwepo ofisini licha ya kashifa za ubadhirifu wa mali za chama ni maana halisi ya Siasa biashara

    Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama. Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
  4. JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na mtu anajibu text message>short, mpaka unashindwa kuendelea!?

    Basi, Haaland ni mmoja wao😆🤣.
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamume Aishi Kama Mama Yake Aliyekufa kwa Miaka Mitatu Ili Kuendelea Kuchukua Pensheni Nchini Italia

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 nchini Italia anakabiliwa na tuhuma za kufanya udanganyifu wa kipekee baada ya kudaiwa kujifanya kuwa mama yake aliyefariki kwa takribani miaka mitatu ili kuendelea kupokea pensheni yake. Kwa mujibu wa wachunguzi, mama huyo alifariki mwaka 2022, lakini kifo...
  6. JamiiForums Tanzania Rafiki Wa kike anahitajika kuanzia miaka 35 kuendelea tuienjoy tu akiwa sio mwanasiasa itakuwa vizuri zaidi dm me

    urafiki ni upendo, mawazo na utulivu.
  7. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupewa na mwanamke wako/rafiki pesa, laki na kuendelea ?

    Hbari Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa namna yeyote Ile Au rafiki Yako wa kike ameshawahi kukusave swala la pesa laki na kuendelea...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA kuendelea Agosti 5, 2026

    Kesi ya Mgawanyo wa Rasilimali za CHADEMA iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Katibu Mkuu imeahirishwa mpaka Agosti 5, 2026. Taarifa hiyo imetolwa na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala...
  9. JamiiForums Tanzania ACT: Serikali imalize mgao wa maji Dar, Wananchi hawawezi kuendelea kubebeshwa gharama za uzembe na ufisadi

    ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi bila hakika ya huduma hiyo kwa siku kadhaa mfululizo. Katika maeneo tuliyofuatilia maji hutoka mara...
  10. JamiiForums Tanzania Walimu wa afrika wamezima ndoto za wanafunzi wengi ndio maana afrika kuendelea ngumu.

    Leo mjinga ndio anakuwa na cheo na kila kitu. Kwa nini dotto magari kafikia kuziaki wenye elimu wakati anachokitumia kimetengenezwa na wenye elimu. Tanzania kama mzazi kumbatia mawazo ya mtoto wako na ndoto zake. Walimu wengi wameharibu ndoto za watoto hata mliopo hapa JF mnaweza kutoa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NaPA unagoma kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB)

    National Physical Address (NaPA) kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB) inagoma kuendelea na kutoa notification ya hivi Toka last week till now. Contacts zao walizoweka hazipatikani, kuna moja inapatikana mara moja moja na ikipatikana haipokelewi.
  12. JamiiForums Tanzania Kuna Mwanaume Katoka Leo kuendelea na Mikutano ya kisiasa? Baada la Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani?

    Vyanzo vyangu vya Taarifa vimejihakikishia hakuna Kunguni yoyote aliyetoka leo baada ya Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa sana Patrobas Katambi. Mikutano ya Chuki, Matusi, Uzandiki na Uchochezi hatimaye imekwisha kabisa. Kama ulikua hujui hiyo ndiyo Serikali.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wote Wangeruhusiwa kuendelea Kupewa vibali kufanya Mikutano ya Hadhara Majimboni Mwao ili kupokea kero za Wapiga Kura wao na Kutoa Mrejesho

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo. Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo watu wenye umri wa miaka 30 na kuendelea wanafanya na vijana wa kizazi cha Gen Z wanaona ni ya kushangaza ni pamoja na?

    - Kupiga simu badala ya kutuma ujumbe.Gen z wanapendelea kutuma ujumbe kupiga simu wanaona ni kuingilia uhuru wao binafsi. Mambo gani mengine yakushangaza funguka?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nanunua pumba za mahindi kuanzia tani 17 na kuendelea

    Nahitaji pumba nzuri zilizokauka. Kwa bei njoo inbox au nichek 0682493359 kama una mzigo.
  16. JamiiForums Tanzania Kuangalia kwa muda mrefu porn kunaweza kusababisha watu kuendelea kutafuta maudhui makali zaidi na mwisho kujaribu vitendo vya ushoga

    hili jambo jamii haitaki kulisema sijui inaona aibu kuliongelea kwa vile wenye indusrty yao watasema hakuna ushahidi wa kisayansi lakini amini usiamini matumizi ya porn yanaweza kusababisha kile kinachoitwa "escalation", ambapo mtumiaji huanza na maudhui ya kawaida lakini baada ya muda...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kinaendelea CCM?

    Inavyoonekana, ni kama vile CCM kuna ombwe la ki Uongozi. Asha-rose Migiro hatoshi na hana sifa za kuendelea kuwa Katibu Mkuu hata kwa siku moja mbele! Ni Katibu Mkuu asiye na ushawishi wala hasikilizwi na yeyote. Yupo kimya kama vile alilazimishwa awe hapo alipo. Mbaya zaidi, pesa za Chama...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hilder Newton: Kesi ya Lissu kuendelea Juni 11, 2026

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa Hilder Newton kupitia mtandao wa X
  19. JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kiusalama kwa watekaji na genge lao kuendelea kutumia "Plate Number" zisiofuata mfumo rasmi wa nchi

    Maana yake Kuna Ombwe kubwa linatengenezeka . Sina Uhakika Tena Kama Askari Barabarani wanaweza Kuyasimamisha Magari yenye hizi namba. Hawawezi kwa sababu Vichwani mwao na wao wanaamini ni ya Akina Abduli. Kiasi kwamba huu uwazi , Umetengeneza Mazingira Mazuri kwa WATU WABAYA . Leo hiii...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Mahakama inachangia Lissu kuendelea kuteseka gerezani?

    Zimepita siku 72 tangu kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ilipoahirishwa, kwa muda usiojulikana baada ya upande wa Jamhuri kwenda Mahakama ya Rufaa kuomba mapitio ya kesi hiyo Februari 24, 2026. Hatua hiyo ilikuja wakati usikiliwaji wa mashahidi upande wa Jamhuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…