kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania tunasubiri kuibiwa kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Uchaguzi ni gharama kubwa sana kwa wagombea, vyama vya siasa na taifa kwa ujumla wake. Kupata pesa za kugharamia kupita kwenye kura za maoni, kupiga kampeni, kuchaguliwa, kulinda kura na kutangazwa kuwa mshindi ni bei kubwa sana. Watanzania tunatarajia kusikia wizi au uhalalishaji wizi mkubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Makonda, wanakutumia kuelekea 2025. Wakizingua gombea mwenyewe

    Sina mashaka na upeo na uelewa wako katika hili. Naamini wewe unaijua vizuri CCM. Kwa ufupi Sana,Jamaa wamekuweka hapo kutafuta kura za wasukuma. Bahati nzuri kabisa hii ni fursa kwako ya kujitangaza na ilivyo ajabu Watanzania wamekupokea vizuri Sana. Unaushawishi na kuna maono mazuri...
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea Tuzo za Muziki Tanzania (TMA): BASATA yaunda kamati maalumu ili kufanya TMA kuwa na hadhi ya kimataifa

    TAARIFA KWA UMMA KUANZA KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA KAMATI YA KITAIFA YA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA (TMA) Baraza la Sanaa la Taifa linapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wadau wote wa sanaa kuwa Kamati ya Kitaifa ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) imeanza rasmi kutekeleza majukumu yake kwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maandalizi kuelekea maandamano ya amani kesho Novemba 9

    Kwamba taarifa zote zilifuatwa. Hata ilipobidi rufaa ilikatwa kwa waziri: "Silence gives consent." Kesho tutamwagika mitaani kwa maandamano yatakayokuwapo kila tarehe 9 ya mwezi hadi hoja zetu zitakapojibiwa. Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, rais wetu mpendwa wa JMT: "Kuna tetesi...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025: Kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri

    Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri. Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
  7. JamiiForums Tanzania Ishmael alizaa Maseyidi (watoto) 12 ambao ndio Waarabu wa leo. Eneo lao la umiliki ni kuanzia Saudi Arabia kuelekea Ashuru na mashariki ya Misri

    ISHMAEL ALIZAA MASEYIDI(WATOTO) 12 AMBAO NDIO WAARABU WA LEO. ENEO LAO LA UMILIKI NI KUANZIA SAUDI ARABIA KUELEKEA Ashuru NA MASHARIKI YA MISRI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna Watu wengi wanachanganya Madesa, kuchanganya waarabu na jamii zisizo na uhusiano na waarabu. Jamii za waarabu...
  8. JamiiForums Tanzania Sherekea vitu vidogo kuelekea vitu vikubwa

    Idadi kubwa ya watu haswa jamii yangu ya kitanzania imekubwa na tatizo sugu la msongo wa mawazo. Tatizo hilo limekuwa sugu kiasi kwamba watu wengi huishia katika maamuzi mabaya na hata wachache wao kuishia kuyatoa maisha yao. Kuna mambo machache nimekuja kujifunza na hii mara baada tu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Asia ya Hangzhou 2023 kuhimiza Asia kuelekea maendeleo ya pamoja, uwazi na mafungamano

    Michezo ya 19 ya Asia inayofanyika mjini Hangzhou, China ni jukwaa kubwa zaidi la michezo barani Asia, na inafanyika kwa mara ya kwanza baada ya kusimamishwa kwa muda kutokana na changamoto ya COVID-19. Kwenye hotuba ya ufunguzi wa michezo hiyo, Rais Xi Jinping wa China alikumbusha kuenzi kauli...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

    Salaam wana jukwaa, nimekutana na interview ya Wakili Mwabukusi na Maria Sarungi probably kutoka Maria spaces/clubhouse. Cha kushangaza Wakili msomi alikua busy kushambulia wapinzani kuwa ni wawaza ubunge, wapenda vyeo n.k. Hivi kweli hajui struggle za lissu hadi kumwagiwa risasi, hajui mbowe...
  11. JamiiForums Tanzania Webiro Wakazi: Tujiandae Kimkakati Kuelekea AFCON 2027

    TANZANIA TUJIANDAE KIMKAKATI UWENYEJI WA AFCON 2027. Tarehe 27 Septemba 2023 Shirikisho la Mpira Barani Afrika CAF katika kikao chake kilichoketi Nchini Misri ,wamezitangaza nchi za Afrika mashariki Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji wa mashindano ya Mataifa ya Afrka ya Mpira wa Miguu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kuelewa biashara ya hewa ukaa. Njia kuelekea mazingira bora

    Habari! Je, umewahi kujiuliza jinsi tunavyoweza kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa na kupunguza uzalishaji wa gesi chafu kwa ufanisi? Hapa ndipo Biashara ya Hewa Ukaa inapoingia! 🌿💨 🔍 Ni nini Biashara ya Hewa Ukaa? 🔍 Biashara ya hewa ukaa, inayojulikana pia kama biashara ya uzalishaji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Nimeona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu Waziri Mkuu ikitengenezwa kwa kasi maeneo ya Musabe

    Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.
  14. JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika. Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii. Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Maombi maalumu kuelekea mechi muhimu za leo

    Leo watanzania tutakuwa bize na matukio mawili na hivi punde mechi zinaenda kuanza pale nchini Zambia na Rwanda limebaki saa moja la kufanya maombi ya mwisho. Mungu awabariki mashujaa wetu walioenda kupambana kwajili ya tukio la leo. Mungu awabariki wapate matokeo mazuri. Mungu ibariki Simba...
  16. JamiiForums Tanzania Tupia utabiri wako kuelekea weekend ya Kimataifa kwa Simba & Yanga zilizopo ugenini

    Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika. Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan. Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
  17. JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Watahiniwa 1,397,370 kuanza mitihani ya kuhitimu msingi

    https://www.youtube.com/watch?v=S09urvRNEIg JUMLA ya watahiniwa 1, 397, 370 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika kesho Septemba 13 na 14 nchini kote. Kati ya watahiniwa hao, 654,652 ni wavulana sawa na asilimia 46.85 na wasichana ni 742,718 sawa na asilimia...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Madagascar ajiuzulu kuelekea kwenye uchaguzi wa Novemba 2023

    Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amejiuzulu baada tu ya kuthibitishwa rasmi kuwa mgombea katika uchaguzi wa Rais wa taifa hilo uliopangwa kufanyika Novemba 9, taarifa hii ni kwa mujibu wa mahakama ya kikatiba ya nchi hiyo. Katiba ya Madagaska inamtaka kiongozi mkuu wa nchi anayetaka kugombea...
  19. JamiiForums Tanzania Group Jipya la wana-CCM kuelekea uchaguzi ujao, watu wamechafukwa

    Dr Kesho: Naomba kutoa Shukrani kuniunga Huku ila kwasasa sihitaji kuwa magroup yoyote ya Kisiasa Wala kijamii Sitaki Siasa. Mwenyekiti aliyepita: Samahani ndugu zangu, Mie siyo mwanachama wa CCM hivyo sina sababu ya kuwepo humu kwenye mambo ya CCM yenu. Katibu tawi: Sas mimi kwa upande wangu...
  20. JamiiForums Tanzania Kuelekea Dunia ya Kidijitali: Sekondari ya Zanaki yaanza kutekeleza mradi wa kujenga Jamii ya Kidijitali Tanzania

    Mkuu wa shule ya Zanaki ( mwenye hijabu katikati) akipokea vifaa vya tehama Shule kongwe nchini Tanzania, Sekondari ya Zanaki, iliyoko jijini Dar es Salaam, hatimaye imefanikiwa kujiunga katika utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya Kidijitali baada ya kupata vifaa vya tehama kwa ajili ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…