Maombi maalumu kuelekea mechi muhimu za leo

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
823
1,613
Leo watanzania tutakuwa bize na matukio mawili na hivi punde mechi zinaenda kuanza pale nchini Zambia na Rwanda limebaki saa moja la kufanya maombi ya mwisho.

Mungu awabariki mashujaa wetu walioenda kupambana kwajili ya tukio la leo. Mungu awabariki wapate matokeo mazuri.

Mungu ibariki Simba SC
Mungu ibariki Yanga SC
Mungu ibariki Tanganyika
Mungu ibariki Zanzibar
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Azam media na wote wanaopush mchongo huu
Mungu walaani tanesco kama wakikata umeme
Mungu mpe akili na maarifa mwanamke asiuze mali.

Wote tuseme Amen🙏
 
Aaamennn
 
Back
Top Bottom