kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Jacob: Walimu na Polisi wanaisaidia CCM kuihujumu Chadema wakati wa Uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob awashukia vikali walimu na askari Polisi adai wanahusika kuihujumu CHADEMA kwenye nyakati za uchaguzi.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halima Mdee: Hoja za CHADEMA kudai Reforms zina uzito mkubwa

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amesema kuwa hoja za vyama vya upinzani hasa CHADEMA na ACT Wazalendo kuhusu kudai reforms kuwa zina uzito mkubwa. Mdee amesisitiza juu ya usahihi wa CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wapendwa wapigania ukombozi wa Nchi yetu, tafadhali msikate tamaa

    Nchi yetu inahitaji ukombozi kamili ili tuweze kuendelea. Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa( Vyama vya Upinzani) wamekuwa mstari wa mbele kupigania UKOMBOZI wa Nchi hii. Niwaombe sana tena sana, msikate tamaa. Kama mjuavyo sisi Watanzania tulio wengi tuna tatizo kubwa la kutokuwa serious...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mameo: Taifa lirudi katika misingi ya Haki, agusia Tume Huru, na 'No Reforms' asema Ikulu imegeuka kuwa sehemu ya lawama

    Wakuu! Ibada ya Ijumaa Kuu Kitaifa imefanyika katika Kanisa la KKKT Ushirika wa Ifakara Mjini, Dayosisi ya Ulanga Kilombero, ambapo imetumia nafasi hiyo kueleza kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini, wakati huu Taifa likielekea kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 2025. Akihubiria...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Rombo akabidhi mkopo wa Sh. Milioni 641 kwa vikundi bila riba

    Jumla ya Vikundi 52 vya wajasiriamali wadogowadogo wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro vimekabidhiwa Mkopo wa Jumla ya Shilingi Milioni 641 unaotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya wilaya hiyo. Zoezi lakukabidhi mikopo hiyo limefanyika leo Jumatano April 16, 2025 kwenye...
  6. The Assassin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Fid Q: Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania

    Katibu mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania bwana Farid Kubanda maarufu kama Fid Q amesema ndani ya kipindi cha miaka 4, Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa ajili ya maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania. Unaweza kuendelea kumsikiliza hapa. Pia kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wabunge Subira Mgalu na Saasisha Mafuwe wampongeza Mchengerwa bungeni kwa Kasi ya Maendeleo

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu, ametoa pongezi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa (MB), kwa namna ambavyo amekuwa mstari wa mbele katika kutafuta suluhisho ya changamoto za wananchi na kusimamia na kuhakikisha utekelezaji wa miradi ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira apokelewa Sikonge, awasilisha ujumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM

    WASIRA APOKELEWA SIKONGE, AWASILISHA UJUMBE WA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili wilayani Sikonge Mkoa wa Tabora na kushiriki mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya wilaya hiyo. Wasira amewasili wilayani humo leo Aprili 17, 2025 akiwa...
  9. Mollel_ Jr

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mume wa Maria Sarungi amekamatwa na dawa za kulevya

    je hii taarifa ya kweli kihusu mwanaharakati maria sarungi
  10. ILAN RAMON

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Tanzania Utazidisha Kukatishwa Tamaa Kuhusu Demokrasia

    Zaidi ya miaka miwili iliyopita, mnamo Machi 2023, Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, alitembelea Tanzania. Akiwa huko, alipokelewa kwa ukarimu na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye alikuwa amepanda madarakani kufuatia kifo cha aliyekuwa rais wa kiimla, John Magufuli. Rais Samia alielezea...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini video ya zoezi la kusaini kanuni za maadili imefutwa katika chaneli ya Tume - Uchaguzi TV? Kasoro za kanuni ni chanzo?

    Wakuu, Kuna jambo nilikuwa naangalia hapa jukwaani kwenye uzi wa siku ya kusaini kanuni za maadili, si ndio nikaona kale ka alama kuonesha video imeondolewa bana, kufika utube wanakwambia sorry, video imeondolewa? Spana za wananchi na upinzani juu ya kanuni hizo zimechangia Tume kujishtukia...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simbachawene: Madai ya kubadilishwa kwa mfumo wa Uchaguzi 2025 hayawezi kutekelezwa kwa kipindi kifupi kilichobaki

    Waziri wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema kuwa madai ya kubadilishwa kwa mfumo wa Uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 hayawezi kutekelezwa kwa kipindi kifupi kilichobaki kwani mabadiliko makubwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bodaboda waaswa kutotumika kisiasa mwaka huu wa uchaguzi

    Maafisa Usafirishaji (Madereva bodaboda) wametakiwa kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa kwa kutokuwa tayari kutumika kwa namna yoyote katika vitendo vya rushwa katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi mkuu 2025. Wito huo umetolewa leo Aprili 17, 2025 na Mkuu wa Dawati la Elimu kwa Umma TAKUKURU...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema amesema Tundu Lissu hataki Vikao vya Gizani ni bora anyongwe

    Godbless Lema afichua maneno aliyoambiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alipoenda kumtembelea Mahabusu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake wanayapa kipaumbele mambo yasiyokuwa na maana ikiwemo ushabiki wa mpira wa miguu hususan kwa timu za...
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watu wafupi nchini waja na 'Wajukuu wa Samia' kuelekea uchaguzi mkuu

  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Warioba ajitosa kusaka suluhu kati ya Tume ya Uchaguzi na CHADEMA

    Wakuu, Jawabu la swali kuhusu mwafaka kati ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, limeanza kutafutwa baada ya Jaji Joseph Warioba na wazee wenzake, kujitolea kutafuta suluhu. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Mabalozi wa Marekani na Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Kama ulidhani mambo haya ni madogo, basi unapaswa kufikiria Upya. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chadema inaonyesha Orodha ya Viongozi wa Juu wanaowakilisha Mataifa yao Nchini Tanzania wataohudhuria Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, baada ya Viongozi wa...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: CCM itashinda bila kutegemea Jeshi La Polisi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi. Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Wote tukutane Kisutu tarehe 24 kwa Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho na Wananchi kwa ujumla kufika kwa wingi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu siku ambayo Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu atafikishwa Mahakamani April 24 kwa ajili ya kusikiliza...
Back
Top Bottom