PreGE2025 Halima Mdee: Hoja za CHADEMA kudai Reforms zina uzito mkubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,377
Reaction score
18,734
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amesema kuwa hoja za vyama vya upinzani hasa CHADEMA na ACT Wazalendo kuhusu kudai reforms kuwa zina uzito mkubwa.

Mdee amesisitiza juu ya usahihi wa CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza kuhusu mzozo wa kisheria uliopo kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na CHADEMA, Mdee amesema ni jambo la kushangaza kwa nchi inayodai kuwa ya kidemokrasia kuruhusu mfumo ambapo chama kimoja kinakuwa na mamlaka yote huku vingine vikitegemea “huruma ya mshindani wao” kuweza kushiriki uchaguzi.

"Chama chochote makini cha siasa, ukienda kushiriki uchaguzi kwa kujifanya kipofu unajiangamiza mwenyewe. Na katika demokrasia ya kweli, vyama vyote vinapaswa kuwa sawa kwa mujibu wa sheria, si kutegemea huruma ya chama tawala ili kuingia bungeni," amesema Mdee.

Akili zimeanza kumrudi
 
Huo ndiyo ukweli ytakaodumu miaka na miaka,hongera kwayeye kuongea lililo sahihi bila ya kupindisha.
 
Akili zimeanza kumrudi
Hazijawahi kumtoka. Walikwenda Bungeni ili angalau nao wafaidi keki ya Taifa japo kidogo. Kuzira wala kusingekuwa na faida yeyote. usimzirie shetani. Kuyaachia manyang'au yasiyo na haya wala aibu sio jambo la busara
 
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amesema kuwa hoja za vyama vya upinzani hasa CHADEMA na ACT Wazalendo kuhusu kudai reforms kuwa zina uzito mkubwa.

Mdee amesisitiza juu ya usahihi wa CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza kuhusu mzozo wa kisheria uliopo kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na CHADEMA, Mdee amesema ni jambo la kushangaza kwa nchi inayodai kuwa ya kidemokrasia kuruhusu mfumo ambapo chama kimoja kinakuwa na mamlaka yote huku vingine vikitegemea “huruma ya mshindani wao” kuweza kushiriki uchaguzi.

"Chama chochote makini cha siasa, ukienda kushiriki uchaguzi kwa kujifanya kipofu unajiangamiza mwenyewe. Na katika demokrasia ya kweli, vyama vyote vinapaswa kuwa sawa kwa mujibu wa sheria, si kutegemea huruma ya chama tawala ili kuingia bungeni," amesema Mdee.

Twwnde Keko...kumsalimia shujaacwa nchi ...shujaa pekee aliebskia....
 
Sheria ya Uchaguzi kama ilivyo imetoa nafasi ya kutungwa kwa Kanuni ambazo ni wezeshi kurahisisha ushiriki wa vyama na wagombea ili kuweka uwanja tambarare kwa Vyama na Wagombea wote wanaoshiriki.

.
1.Hivyo Kikatiba "It ensures that laws are within the scope of the constitution" (Sic Constitutional limit), lakini vile vile kiutawala (Sic under Adminstrative law) It prevents government Authorities/Agencies from exceeding their delegated powers.

2.Swali linakuja hapa, je kama sheria yenyewe imeruhusu utungwaji wa kanuni hizo (Tena shirikishi) zinazolenga kuratibu zoezi la Uchaguzi ili lifanikiwe utasemaje zinapingana na sheria mama Kiutawala na Kikatiba.

3.Kwa kuwa Kanuni hizo zimetungwa kwa kushirikisha vyama vyote vya siasa, tukubaliane kuwa takwa la kila mmoja wao kusaini kwamba anakubaliana kubanwa na Kanuni hizo ambazo ni zao la ushirikishwaji wa pamoja ni muhimu sana. Sasa inapotokea katika hatua ya mwisho kabisa mmojawapo anagoma kusaini tena kwa sababu zilizo nje ya makubaliano hayo yaliyofanyika anapaswa kuchukuliwaje??. Binafsi na Wengine wenye nia njema ya kujenga watasema (i) kuwa kwa sababu binafsi hawataki kubanwa na Kanuzi hizo walizoshiriki kuzitunga na wenzao, na (ii) kuwa wamechagua wao mwenyewe (Ni uchaguzi wao wa) kujinyima nafasi ya kushirikiana na wenzao katika Uchaguzi (Tafsiri nzuri wamejitoa wenyewe kwa utashi wao) na hivyo suala la kuzuiwa/kutolewa kwenye uchaguzi ni upotoshaji tu.

4.Kama huo uamuzi waliofanya ni danganya toto na baadaye watarudi kuungana na wenzao kabla ya Uchaguzi, naamini hawatazuiwa. Likewise hawazuiwi If they will stil chose to maintain their position, na binafsi naona wanaongeza tu ushahidi wa "matendo" na "nia/dhamira" kwa kesi ya Uhaini inayomkabili kiongozi wao mbele ya Mahakama.

Otherwise humu mitandaoni tunajiingiza tu kupiga ngoma ambayo sisi tunapaswa kucheza/kuiangalia tu na kufurahi kila mmoja kwa nafasi yake.
 
kwa sasa yuko hapo kwa huruma za nani
 
We ni mjinga Askari wa depo
 
Kila kanuni hupigiwa.kura na majority representative
 
Back
Top Bottom