Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Amani Golugwa amesema msimamo wa chama hicho kutosaini kanuni za uchaguzi Mkuu 2025, wanajiona wako sawa huku akikisisitiza hawatakimbilia kusaini zaidi ya kufichua yasiyofaa.
“Tunaona tunaenda sawa kabisa na watu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili kufanya siasa safi na kushiriki uchaguzi ambao watapatikana viongozi bora na watakaoleta mabadiliko kwa...
Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM...
Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku ‘Musukuma’ amesema kwa niaba ya Wabunge wa CCM, hawana hofu na vyama vya upinzani na kwamba wako tayari kukutana nao majukwaani endapo uchaguzi mkuu utafanyika.
Akizungumza leo Aprili 16, 2025, Bungeni jijini Dodoma...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Kawaida akizungumza na Wakazi wa Lugarawa - Ludewa Njombe.
Sisi tumeshakaa mguu sawa kwenda uchaguzi wa mwaka 2025. Twendeni kwenye uchaguzi tukiwa katika hali ya amani, hali ya umoja kuchakua viongozi wetu watakao tuletea maendeleo na nyinyi mtakubalina na...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amewataka wananchi wa Wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, kuendelea kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na chama hicho tawala, akieleza kuwa mafanikio ya sekta ya korosho ni ushahidi tosha wa uongozi imara na wenye...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.
Aweso ametoa wiki...
Wakuu!
Hawa G-55 watakuwa na hali gani huko waliko kama kweli Mbowe, anayedaiwa kuwa nyuma yao ameenda kumtembelea TAL?
===
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe akiambatana na Salum Mwalimu aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar pamoja na...
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mlali Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro Herieth Ngonde amedai kushambuliwa na Diwani wa kata hiyo aliyetambulika kwa Frank Mwananziche kwa kupigwa wakati wa kikao cha siasa kilichokuwa kinajadili maendeleo ya chama hicho
Akizungumza na wanahabari katibu wa...
Daima huwa nnawalaumu Sana Wana Chadema kwakuwa wabwatukaji, na watu wa maneno ya fedheha na dhihaka Huku wakikosa kabisa kuwa watu wenye kutoa hoja na kusimama hoja zao.
Hiki ni kilema serious Sana kwa Hawa mambwana as per my very own personal observation and experience upon being around...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.
Wasira amekutana na Kadinali Rugambwa leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara...
Wakuu,
Machi 7 Amos Makalla alisema CCM kwenye kikao cha ndani ilifanya marekebisho makubwa mawili katika mchakato wa uteuzi. Kwanza, kutakuwa na uchujaji wa wagombea kabla ya kura za maoni, tofauti na awali ambapo jina moja lilikuwa likirudishwa moja kwa moja. Pili, hakuna mgombea atakayepita...
Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshauri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa kuwapima wateule wa Rais wanaotaka kugombea ubunge kabla ya kuruhusiwa.
Ameyasema hayo leo, Jumatano Aprili 15, 2025 bungeni alipokuwa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusogeza mbele ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, baada ya kupitia ushauri kutoka kwa wanachama wake.
Mzee Msukuma amekiri kwamba wabunge wa Tanzania wana kinga dhidi ya tuhuma za rushwa
Kimantiki amesema wapo viongozi wanakwapua fedha za umma kwenda kuzitumia kugombea ubunge
Ameeleza viongozi wengi wa umma wameomba kugombea lakini akataka wasipewe idhini hadi wafanyiwe special audit
Je...
Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, amedai kuwepo kwa harufu ya upigaji fedha katika Ujenzi wa Jengo la Utawala Arusha. Akiwasilisha hoja yake leo, Jumatano Aprili 16, 2025, wakati akichangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Iringa mjini , Frank Nyalusi amefunguka katika mahojiano na Shamba fm kupitia kipindi cha Amka na Shamba.
"Tumegundua wazi watu wote waliopewa kesi za uhaini walikuja kuwa Marais. I swear to God mimi ni mkristo Tundu Lissu atakuja...
Master Stambuli ametoa neno kwa wanasiasa wanaohama vyama vyao na kukimbilia vyama vingine katika dakika hizi za lala salama.
Amesema kama wanataka kwenda kupata nafasi ya kugombea huko wanakokwenda, hawataambulia chochote kwani hata huko wameshajiandaa na watu wao.
Dawson Kagine kupitia Mtandao wa X, amesema kuwa
''Amos Makalla ashtakiwa Kwa kesi ya Jinai.
Mimi na ndugu Yangu wa damu Martin Maranja tumemshataki Ndugu Amos Makalla Kwa matamshi yake ya kijinai kwa kuwaambia Watanzania kwamba CHADEMA inachangisha tone tone ili inunue virusi vya MPOX na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.