kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yawapa angalizo Wabunge waliopewa nafasi wakashindwa kufanya vizuri majimboni

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema wabunge ambao hawakufanya vizuri katika majimbo yao wala kurudi kwa wananchi watambue Chama kuwa hakitakuwa ba namna ya kuwasaidia kwa sababu walipewa nafasi wakashindwa kuzitumia. Akizungumza na wanachama na viongozi wa Chama katika Wilaya Sikonge mkoani...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM wanatamani Tundu Lissu aachiwe ili wapambane nae kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani asema vijana wa chama hicho wanatamani Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu aachiwe ili wapambane nae kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  3. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekua Mbunge wa Moshi Vijijini Mbunge wa Moshi Vijijini Komu arejea Chadema. Chadema inazidi kurudi kwenye misingi yake

    Hatimaye leo aliyekuwa Kigogo mwingine wa Chadema amerejea kwenye Chama hicho. Anthony Calist Komu alikuwa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema na Mbunge wa Moshi Vijijini 2015-2020. Komu alifukuzwa chama na Utawala wa Mbowe yeye na wabunge wenzake watatu ambao ni Joseph Selasini, Wilfred...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Mdee na wenzake wakija ACT WAZALENDO tutawapokea kwa kishindo

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama hicho kipo tayari kuwapokea wanasiasa kutoka vyama vingine na kitawapokea kwa heshima ya hali ya juu pindi watapokuwa tayari. Akizungumza katika mahojiano maalum aliyofanya na Jambo TV Ado, amesema kuwatengeneza baadhi ya hao...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi hapa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025

    Wakuu, Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili! Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za...
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza awataka Watanzania kuukataa uzushi wa kuimba wimbo wa amani isiyotokana na haki

    Hakika Askofu Kalikawe Bagonza ametupa jiwe gizani. Na kauli hiyo ni mwiba mchungu kwa wazushi wengi nchini kwetu.
  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kusema muda hautoshi kufanya Reform hivyo tufanye tu hivyo hivyo uchaguzi, huo ni uhuni kwa 100%

    Tusitafute majibu rahisi kwenye maswali magumu. Kwenye siasa za kidemokrasia, uchaguzi ni kitendo kitakatifu zaidi. Majibu ya viongozi wa CCM na serikali yake kuwa, muda uliobakia ni mchache kuweza kufanya mabadiliko ya kuruhusu uchaguzi ufanyike kwa haki na uhuru, hivyo twende hivyo hivyo...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Kama wanajua alipo na hawasemi ni kosa

    Baada ya taarifa kwa umma iliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kulitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Tundu Lissu baada ya viongozi wa chama hicho baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika...
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC: Ni Marufuku Kuhamasisha Watu Wasipige Kura

    Viongozi, mgombea au mtendaji wa Chama cha Siasa, mwanachama na mfuasi wa Chama cha siasa kulingana na Kanuni za maadili ya uchaguzi Mkuu zilizochapishwa hii leo kwenye gazeti la Serikali tayari kutumika, ni marufuku kuhamasisha wanachama au wafuasi kupiga kura zaidi ya mara moja katika uchaguzi...
  10. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nini Maana Ya kuchapishwa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025

    Leo Aprili 18, 2025 Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zimechapishwa katika Gazeti la Serikali kupitia Tangazo la Serikali Na. 249 la mwaka 2025. Nini Maana Yake? Taratibu za Chama cha Siasa kushiriki Uchaguzi Mkuu, kwanza ni...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani wa Kata ya Marangu Mashariki: Wananchi,wao hawanidai chochote, mimi ndio nawadai

    Diwani wa Kata ya Marangu Mashariki Jimbo la Vunjo, Jonas Mawala ameweka wazi kuwa ahadi nyingi walizo ahidi kwa kushirikiana na mbunge wa jimbo hilo Dk.Charles Kimei wamezitekeleza na hakuna wanacho daiwa na Wananchi. Ametoa kauli hiyo Aprili 17, 2025 wakati akielezea mafanikio yaliyopatikana...
  12. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ilipaswa kulinda Demokrasia ya kuchagua na kuchaguana ndani ya chama badala ya hivi ilivyofanyika

    Hizi ni salaam zangu kwa Katibu Mkuu wa CCM (ambaye kimsingi ndiye Mratibu Mkuu wa shughuli za chama. Pamoja na kwamba binafsi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa, ni muumini wa siasa za Tanzania kwa utanzania wangu na shabiki wa CCM kwa sababu kadha ambazo nitazieleza siku nyingine, leo...
  13. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kukataa tume huru ya uchaguzi, ni kukubali wazi kuwa huwa hawashindi bali wanapora uchaguzi

    CHADEMA wanachokitaka kupitia NO REFORM NO ELECTION siyo wao kupewa upendeleo, bali kuwa na uchaguzi huru na wa haki ili yeyote anayeshinda, awe ameshinda kwa haki. Na ili hilo liwezekane, kwanza, ni lazima Tume ya uchaguzi na wote wanaosimamia mchakato wa uchaguzi ni lazima wawe huru wasiokuwa...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maabara za kuchukua wanafunzi 1000 kujengwa MuCE

    MAABARA ZA KUCHUKUA WANAFUNZI 1000 KUJENGWA MuCE Wizara ya Elimu kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), inaendelea kuwekeza katika miundombinu mipya katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa (MuCE). Ujenzi wa miundombinu hiyo mipya unalenga kuongeza nafasi za udahili wa...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania No reform No Electiion ni Agenda ya Watanzania wote wenye akili timamu hata ccm wanalijua hilo

    Ni dhahiri kabisa moto wa reforms huwezi kuzimwa kwa kumkamata Tundu Lissu pekee labda wawafunge watanzania wote wanaojielewa na awamu hii wamechoka CCM hawakutegemea hii surprise.. Hapa CCM inajaribu kupambana na kila mtanzania litu ambacho hakitawezekana ndo maana presha ipo juu na hawajui...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Bado siku mbili tu za rehema kwa watesi wa Lissu

    Hello! Mpaka keshokutwa saa 5 na dk 59 usiku au 23:59 tarehe 20, Aprili kama Lissu hataachiwa nitafunga mlango wa rehema kwa watesi wake. Nitaufunga kabisa na hautafunguliwa tena. Kama Lissu amefanya uhaini kwa Taifa hili basi hukumu ya Mungu itaenda kwake ndani ya hizo siku 7 lakini haki ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CCM tunahubiri amani kwa sababu ndani yake kuna haki

    WASIRA:CCM TUNAHUBIRI AMANI KWA SABABU NDANI YAKE KUNA HAKI. Asisitiza Chama hakiwezi kukubali mtu au kikundi cha watu kuvuruga amani iliyopo Na Mwandishi Wetu, Tabora MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema ni vema wananchi wakafahamu kwamba katika...
  18. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Licha ya mbwembwe na majigambo mengi ccm ni waoga sana wa uchaguzi huru na wa haki.

    Wanaccm wengi huamini kwamba chama chao ni chama imara na huilinganisha na miongoni mwa vyama imara sana hapa Africa na duniani. Ila jambo moja ambalo linawaondolea hizo sifa zote na kuwafanya wanyonge tena ni linapokuja suala la uchaguzi huru na wa haki usiokuwa na mauzauza kama...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sikonge, Tabora: Aliyekuwa muweka hazina CHADEMA ahamia CCM

    Aliyekuwa Mweka hazina wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoa wa Tabora, Bi. Lidya Mashaka amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuikabidhi kadi ya Chadema kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM – Bara, Stephen Wasira wakati alipowasili wilayani hapo kwa ajili ya kukagua...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Rombo yatoa semina kwa wajumbe kuhusu mabadiliko ya katiba ya CCM 2025

    Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rombo, April 17, 2025 kimetoa Semina kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho Wilaya, kuhusu Mabadiliko madogo yaliyofanyika ya Katiba ya Chama hicho kwa Mwaka huu 2025. Akizungumza mara baada ya semina Hiyo Katibu wa Siasa, Mafunzo na Uenezi wa chama Hicho...
Back
Top Bottom