kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Silaa: Amani tuliyonayo watanzania ni tunu kubwa ambayo inatakiwa kutunzwa

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa(Mb), amesema kuwa amani tuliyonayo watanzania ni tunu kubwa ambayo inatakiwa kutunzwa. Waziri Silaa ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika tamasha la Mtoko wa Pasaka ambalo linafanyika katika ukumbi wa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu mkuu Ruwa'ichi: Tutende Haki Katika Uchaguzi. Tuachane na Uzalendo Uchwara

    Tunapo azimisha Pasaka ya mwaka huu ni Pasaka ya pekee kidogo kwetu Watanzania hasa tukikumbuka kwamba huu ni mwaka ambao Watanzania watahusika katika masuala ya uchaguzi. Uchaguzi huo ambao utafanyika kwaajili ya kupata viongozi wa Taifa, wabunge na madiwani. Kila Mkristo anapaswa kushiriki...
  3. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Roma Lacuta Causa Finita, Sitashiriki Uchaguzi Mkuu 2025 bila Reforms

    Kamwe siwezi kwenda kinyume na viongozi wangu wa kiroho, Wamewekwa wakfu ili kusimamia masuala ya Kiroho na Kijamii. Katika Biblia kitabu cha Wafalme tunaona Nabii Eliya akimkemea Mfalme Ahabu na kumueleza kwamba kwa sababu ya ubaya wake, hakungekuwa na mvua katika Israeli. Kiburi, Jeuri na...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanuni za Uchaguzi Mkuu; Wabunge, Madiwani, na Mawakala hawatapewa nakala za Matokeo wala hayatabandikwa

    Walioziandaa na Waliosaini hizi kanuni walikuwa na akili timamu kweli. Eti Leo ACT nao wanalipongeza Kanisa Katoliki kama sio unafiki ni nini. Chadema wako sahihi kabisa. No Reforms, No Election.
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kishindo cha fainali jimbo cup, mbunge Samizi awaomba wananchi kuiunga mkono CCM na wagombea wake

    KISHINDO CHA FAINALI JIMBO CUP, MBUNGE SAMIZI AWAOMBA WANANCHI KUIUNGA MKONO CCM NA WAGOMBEA WAKE Wananchi wamshukuru Mbunge Samizi kwa alivyo mstari wa mbele kwa michezo na maendeleo. Mhe. Samizi, Mbunge amehutubia maelfu ya wananchi na mashabiki wa Mpira wa miguu wa Kata 19 zilizopo...
  6. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Shoo: Polisi msitumike na wenye Mamlaka kwa maslahi yao wasioitakia mema nchi yetu

    Akitoa salamu za ujumbe wa Pasaka leo April 20,2025 katika Kanisa Kuu la Usharika wa Moshi Mjini, Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema “Mungu ametupa nchi nzuri sana Tanzania, tuipende nchi yetu, kila mmoja ajitoe kuona...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gambo achangia milioni 1 na bati 50 Kanisa la KKKT Sinoni

    TEC na Shura ya Maimamu waongeze sauti, huu upuuzi ukome. Hivi madehebu mengine hawaoni aibu wenzao wakiwa mstari wa mbele kupigania haki wao wakibaki kuwa chawa?🤔🤔 ==== Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameahidi kuchangia uboreshaji wa miundombinu katika Kanisa la Kiinjili la...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC: Watu wasipochagua kwa Uhuru Demokrasia itakufa, wananchi wasiporwe nguvu yao ya kupiga kura na kuchagua

    Wakuu, Hivi ndio inavyotakiwa, sio viongozi wa dini wanageuka kuwa machawa na kuimba nyimbo za mitano tena wakati wanaona mambo hayaendi sawa. ==== "Madkteta wengi Duniani na hata hapa Afrika hawataruhusu uchaguzi ufanyike, kwani wataogopa uchaguzi ukifanyika hawatachaguliwa. Na kama...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila: Bado sijafikiria kugombea Ubunge 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema hadi sasa hajaandika barua ya kuomba ruhusa ya kwenda kugombea ubunge hivyo yeye bado hana dhamira ya kuweka nia ya kugombea ubunge popote kama baadhi ya taarifa zinavyodai. Akiongea Jijini Dar es salaam, RC Chalamila amesema "Kuhusu swali...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kuzuia viongozi wa dini kuongelea siasa ni kuminya uhuru wa kujielezea wale bado ni Watanzania na wapiga kura

    Nilisikia zaidi ya mara moja baadhi ya viongozi wa serikali kwa nyakati tofauti tofauti ikiwemo makonda wakiwakemea viongozi wa dini kuto kujihusisha na siasa au kuongelea masuala hayo kwenye makanisa au misikiti. itambulike kwamba Viongozi wa dini kwenye makanisa na misikiti ni watanzania na...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mpango atoa rai, wazazi kuwaepusha watoto kushabikia vurugu za uchaguzi

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa wazazi hususani wakinamama kuwaongoza watoto wao hasa vijana kuacha tabia ya kushabikia vurugu wakati wa kampeni na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu. Makamu wa Rais ametoa rai hiyo mara baada ya kushiriki...
  12. Username 20

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, kwa hili CCM wapo sawa?

    Toka naanza kufuatilia siasa miaka ile CCM wamekuwa wanatutisha kuwa tukichagua upinzani kutatokea machafuko Kuwa wao CCM ndo wanaoilinda amani ya nchi hii, upinzani hawawezi kuilinda aman, lkn hapa katikati kuanzia kwa Jakaya mwishoni kumekuwa na matukio kadhaa ya watu kuuliwa na kupotea mfano...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC yasema Muda unatosha Kufanya Mabadiliko kwenye changamoto zilizojitokeza kwenye chaguzi !!!

    Baraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa. Aidha amesisitiza...
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Dr Malasusa: Tujiepushe na kauli za kuvunja amani

    Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amesema jana alifuatwa na muumini mmoja ambaye aliomba kuombewa ili afanikiwe kushinda ubunge Askofu Malasusa Ametoa wito Wakristo wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi za uongozi wa Kiraia na mara watiapo Nia wafike Kanisani kuombewa Aidha Askofu Malasusa...
  15. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi. Rais wa TEC na Askofu...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Roland Ebole (Amnesty International): Wananchi tutambue nguvu tuliyonayo katika kutokomeza ukandamizaji wa demokrasia

    Wakuu, Kengele nyingine hiyo kwa Watanzania kuamka na kurudisha uwajibikaji na kuchochea utawala bora. ==== Roland Ebole Amnesty International asema ni muda sasa kwa wananchi kutambua kwamba tupo wenyewe, ni muda wa wanachi kuelewa nguvu tuliyonayo kwenye masuala yote haya na kuungana pamoja...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Mtwara Mjini Wachangia Chupa 18 za Damu kwa Wenye Uhitaji

    Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM (UVCCM) wilaya ya Mtwara Mjini wamechangia chupa 18 za damu kwaajili ya kusaidia watu ambao wanauhitaji wa damu. Akizungumza kwa niaba ya Meneja wa damu salama Kanda ya Kusini Innocencia Charles mara baada ya kukamilika kwa zoezi hilo amesema chupa hizo 18...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Roland Ebole (Amnesty International): Uminywaji wa Demokrasia Afrika Mashariki utaisha endapo wananchi wataungana

    Wakuu, Suala la Lissu na uminywaji wa demokrasia na uhuru wa maoni Tanzania linazidi kusambaa, Watanzania huu ndio muda wa kuamka na kuhakikisha kuna utawala wa sheria wa haki. ===== Mtafiti wa Kikanda wa Amnesty International kwa Afrika Mashariki, Roland Ebole akiwa katika mahojiano leo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tangu nianze kupiga kura 2010 sijaona uchaguzi unaoongoza kwa kupoa kama huu, Watu wengi hawana mpango wa kupiga kura

    Tangu nianze kupiga kura 2010 sijaona uchaguzi ulipoa kama huu. Wapiga kura wa CCM wapo relaxed wana uhakika na matokeo hata wasipopiga kura. wapiga kura wa vyama pinzani hawana imani kabisa na tume ya uchaguzi wanaona kupiga kura ni kupoteza muda.
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jokate: Vijana nendeni mkajiandikishe kwenye daftari la Mpiga kura ili muweze kufanya maamuzi

    Jokate Mwegelo amewataka Vijana ambao hawajiamdikisha kwenye daftari la Mpiga kura kwenda kujiandikisha ili waweze kufanya maamuzi ya kuchagua viongozi wanaowataka ili kuwakeletea maendeleo Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Back
Top Bottom