Binafsi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri katika kipindi hiki kifupi awape Watanzania Either Tume huru ya Uchaguzi au Katiba Mpya au vyote halafu asigombee tena Urais.
Kwanini? Kwasababu mpaka kufikia October mwaka huu Mungu ajaliapo Bwawa la Nyerere litakuwa na Jina lake, SGR lots zote...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa tuzo za wanahabari zinazofahamika kama ‘Samia Kalamu Awards’ ambazo zinalengo la kuchochea na kuhamasisha uandishi wa habari za maendeleo katika nyanja mbalimbali.
Tuzo hizo...
Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.
Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele amesema kilichozungumzwa na tume hiyo ni tafsiri yao na kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanatafsiri tofauti basi mtafsiri wa mwisho wa mambo hayo ni mahakama.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba, amesema kuwa yeye bado ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ataendelea kuwa hivyo hadi atakapotoa taarifa rasmi ya kuondoka. Kauli hii ameitoa leo, Aprili 15, 2025, nje ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, alipokuwa akizungumza na...
Wakuu,
Awali April 10, 2025 walitangaza mchakato huo ungeanza Mei Mosi mpaka Mei 15 ambako ingechukua siku 15 kwa wagombea kuchukua na kurudisha fomu lakini sasa itakuwa ni siku 15 pekee ambako itakuwa ni siku moja baada ya bunge kuvunjwa June 27, 2025.
Pia soma: Pre GE2025 - CCM yatangaza...
Msije sema ni gharama kubwa maana Haki, ukweli na uwazi una gharama zake pia.
Je ni haki kwa wezi wa kura/vibaka wa kuiba kura nao pia watendewe kama vibaka wengine wa mitaani?
Twende Kazi.
I. Utangulizi
Upigaji kura kwa kutumia makaratasi ni mfumo wa zamani ambao umetumika kwa miongo kadhaa...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu nchini kupuuza wanasiasa wanaopandikiza chuki na kuhamasisha vurugu kwa lengo la kupata madaraka.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Watu wengi mumekuwa mkihusisha maana halisi ya maana ya mnara wa Babeli kama jinsi neno la Mungu linajieleza lenyewe lakini ikitazamia katika upande wa kiroho ukagusia sehemu ndogo tu ya siasa na amani katika nchi hii ya Tanzania utaona kuna ujenzi wa mnara wa Babeli japo si wote ambao...
WABUNGE wa CCM walalamikia utaratibu mpya uliotangazwa na Chama cha Mapinduzi wa kuchukua fomu kuanzia tarehe 1 Mei 2025 tofauti na miaka yote ambapo mchakato wa kura za maoni huanza baada ya kuvunjwa Bunge na kueleza kuwa katika kipindi hicho itafika siku Bunge litakosa Mbunge hata mmoja kwani...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Steve Wasira amewaagiza Wenyeviti wa CCM ngazi za mkoa na wilaya nchini kusimamia maadili wakati huu wa kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu ili kuwapata wagombea wanaokubalika kwa watu badala ya wale wanaotegemea pesa kama mtaji wao wa kuwafanya wateuliwe...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama chao cha ACT Wazalendo kingekuwa kimefanya kosa la kimkakati ikiwa wangesusa kushiriki uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, wakieleza kuwa kwasasa timu yao ya wanasheria wanajiandaa kufungua Kesi mahakamani kupinga baadhi ya vifungu...
Katika hatua ya kuimarisha maendeleo ya wanawake mkoani Kilimanjaro, Mbunge wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Maleko, amekabidhi mashine 169 za kutotoleshea vifaranga vya kuku (incubator) kwa kila kata ya mkoa huo, ikiwa ni sehemu ya kutimiza ahadi yake ya kuinua wanawake...
Taarifa ndio kama mlivyosikia, kwamba ule moto wenye Neema wa No Reforms No Election sasa unaingia Kanda ya Pwani.
Mungu hakuumba watu wa Dar ili wale Mihogo, utumbo na Miguu ya kuku, Hiyo ni kazi ya Shetani, kuchagua chawa badala ya wananchi si kazi ya Mungu
"Mwenyekiti wa Chama Taifa, anazungukwa na genge la watu wasiokuwa na uwezo. Nao wakimpelekea ushauri kama yaliyotokea kwenye uchaguzi, wanampelekea ushauri mfukuze fulani. Na yeye anakubali kwa sababu gani. Ni kwa sababu hana watu sahihi wa kumshauri katika mambo ya ujenzi wa chama," Makamu...
"Kipimo cha utayari wa kitaasisi unaweza kuona katika jinsi vyama hivi viwili vilivyojipanga na uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Wakati Dr. Samia na Dr. Nchimbi wameshaambia Watanzania kuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wanakwenda na kauli mbiu ya KAZI NA UTU - TUNASONGA MBELE, CHADEMA...
•Nchi yetu ni salama, mipaka yetu ni salama chini ya uongozi wa Dr Samia
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa hali ya usalama Tanzania ipo shwari chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye Amiri...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye wa waandishi wa habari, Rugemaliza Nshala amekemea kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima kuhusu CHADEMA kukosa sifa za kushiriki Uchaguzi.
Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Ramadhan Kailima alisema kuwa CHADEMA...
Vijana wanaotafutaga teuzi bhana huwa wana miyeyusho sana Tlaatlaah njoo umchukue kaka ako
===
Mchambuzi wa Siasa na Uchumi Evance Kamenge akifanya mahojiano na kituo cha Star Tv kwenye kipindi cha medani za siaza kinachoongozwa na Edwin Odemba, ameeleza kuwa Rais samia kwa mambo aliyoyafanya...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano wa waandishi wa habari Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Rugelemeza Nshala leo amekosoa uwepo wa takrima kwenye kipindi hiki cha Uchaguzi akitaja masuala kama vitendo vya wanasiasa kuandaa futari, kugawa Tshirt na vizawadi vingine ni rushwa ya wazi na tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.